Recent content by Twayemba

  1. T

    Bado tu Makonda hajasimamishwa kazi kupisha uchunguzi?

    Angetaja na aina ya matusi ili tujue kama kweli ni matusi.Maana kumtukana Rais ni jambo kubwa ambalo halitakiwi kupuuzwa hata kidogo.
  2. T

    Rais Samia ni mponya nchi muungeni mkono tusonge mbele

    Mimi ni mzalendo tu,sina uchawa wala chama cha siasa.Na kwa kweli sina sababu za kutafuta sijui uchawa wala teuzi.
  3. T

    Rais Samia ni mponya nchi muungeni mkono tusonge mbele

    Nikikumbuka tulikotoka, ugumu wa maisha kisiasa na uhalisia wa maisha ya mtu mmoja mmoja, nashawishika kumkubali Samia hadharani bila hata haya wala soni. Watanzania tuna mengi ya kuridhika kupitia huyu mama kwa kuangalia rekodi za hapo nyuma, ambapo watu wengine waliishi kwa hofu, kutokana...
  4. T

    KERO Songwe, Hospitali ya Mkoa boresheni idara zenu hasa Idara ya Macho

    Mfano mzuri wa changamoto ya Hospitali ya Rufaa ya Mkoa wa Songwe ni Idara ya Macho ambayo kiukweli haina utulivu kabisa. Mgonjwa anaambiwa aje Saa 2:00 Asubuhi kwa ajili ya operation, analazimika kusubiri kwa zaidi ya Saa 6 huku akiwa hajui kinachoendelea. Akiingia chumba cha upasuaji, kelele...
  5. T

    Fastjet kama itawapendeza warudi Tanzania, ilitufaa sana

    Yawezekana mazingira ya kufanya biashara ya safari za ndege nchini kwa wakati ule ilikuwa ngumu, ndio maana fastjet wakaondoka, lakini kwa sasa nchi imetulia, na nimekuwa nasikia wawekezaji wa nje wanakaribishwa nchini kuwekeza. Basi na Fastjet wahakikishiwe usalama wa biashara yao ili warejee...
  6. T

    Tunahitaji bunge lenye mawazo kinzani kwa ajili ya maendeleo ya nchi

    Nikikumbuka bunge la Spika Sitta, hoja nzito za akina Lissu, Mbowe, Lema, Kabwe na wengine wengi waliokuwepo bungeni kipindi kile, unaona tofauti kubwa iliyopo kati ya bunge la wakati ule na hili la sasa. Wabunge wa upinzani walikuwa wanajenga hoja mbadala nzuri na za kusisimua sana. Ni lazima...
  7. T

    Nyerere alikuwa mkoloni mwenye ngozi nyeusi

    Mfumo wake wa kutawala,na mtazamo wake juu ya watu, ulipelekea shida nyingi sana kwa watu.Inawezekana alikuwa na dhamira njema kinadharia na kufikirika zaidi lakini kiukweli hali ilikuwa mbaya sana. Alikuwa na wasomi wachache lakini hawakujiamini mbele yake maana hakupenda mawazo...
  8. T

    Watanzania ni wasahaulifu au wana mioyoni ya kipekee?

    Hivyo ndivyo tulivyo.Yalianza zamani za miaka ya 70's,watu walichomewa miji yao ili wahamie vijiji vya ujamaa.Baada ya miaka michache, watu wengine wakapewa tena yale maeneo na maisha yanaendelea bila kuhoji. Kuna kipindi viongozi waliwapitisha watu kwenye maisha ya ajabu sana kuogea sabuni...
  9. T

    Mwenyekiti Serikali ya Mtaa, Diwani, Mbunge na Rais wote CCM; vipi maendeleo mtaani kwako unayaona?

    Siasa za vile,na uchaguzi wa namna ile,haifai kabisa katika ulimwengu wa leo.Lazima watu wawe tayari kukubali mabadiliko kwa vitendo na bila hofu kabisa. Uchaguzi wa kisiasa unatakiwa kuwa huru bila mizengwe yoyote,kwa sababu vyama vyote vipo kwa ajili ya ustawi wa watu.
  10. T

    Shida za watu ni nyingi sana,haziwezi kutatuliwa kwenye mikutano ya viongozi

    Wapo viongozi wa kisiasa nchini mwetu,ambao wanaonekana kuguswa sana na matatizo ya mtu mmoja mmoja na hivyo kupenda kuwasikiliza hadharani kwenye mikutano yao ya kisiasa. Hutokea watu wachache wakapata nafasi ya kujielezea shida zao,na kiongozi hutoa maelekezo na hivyo kuonekana shujaa kwa...
  11. T

    Naomba msaada mafundi wa mafridge Songwe

    Niko huku mkoani Songwe Mbozi,naomba msaada kwa anaewajua mafundi wazuri wa mafridge huku tafadhali. Fridge halipozi kabisa.Kuna fundi njaa alikuja kadai ni gesi imeisha,kajifanya kujaza lakini tatizo liko palepale.
Back
Top Bottom