Rais Samia ni mponya nchi muungeni mkono tusonge mbele

Tanzania haijawai kuwa na fujo,imetulia miaka yote!!
Kugombana ni udhaifu wa nafsi na kuomba huruma.Nchi imetulia.Hakuna ujinga.Kinachowakwaza wehu ni kutaka wakiamka wawe na mahela chekwa mifukoni.Haiwezekani.Kama mnayataka maisha ya Myanmaar na myapate
 
Alianza vizuri, tulikua na imani sana.....ila baada ya kurudisha wale wahuni plus kumpa savimbi hapo alipo nyota nyota zikaanza.
 
Nikikumbuka tulikotoka,ugumu wa maisha kisiasa na uhalisia wa maisha ya mtu mmoja mmoja,nashawishika kumkubali Samia hadharani bila hata haya wala soni.
Watanzania tuna mengi ya kuridhika kupitia huyu mama kwa kuangalia rekodi za hapo nyuma,ambapo watu wengine waliishi kwa hofu, kutokana pengine na itikadi zao, misimamo tofauti na pengine hata chuki binafsi.
Aidha nakubaliana nae juu ya mabadiliko kadhaa ya sheria zetu zinazohusu namna bora ya uendeshaji siasa zetu,na kwa kweli huu ni mwanzo mzuri kwa demokrasia yetu.Hongera Rais,ni mwanzo mzuri.
Ni mponyaji kwa nyinyi wala rushwa, wapigaji, wezi na wabadhirifu wa mali ya umma. Ila kwa wananchi wa kawaida, kiukweli huyu Mama siyo msaada hata kidogo. Maana maisha ya mtaani yamekuwa ni magumu kupitiliza! Na yeye hata hajali.

Bei ya bidhaa mbalimbali imepanda mara dufu tangu alipoingia madarakani! Na hakuna hatua yoyote ile ya kueleweka aliyochukua! Hela mtaani hakuna! Na hata ukiipata hiyo hela yenyewe, unakuta haina thamani!! Muda mwingi amekuwa ni Rais wa kusafiri tu nje ya nchi, na pia kuteua na kutengua wasaidizi wake!

Binafsi namshauri 2025 asigombee ili kuwapunguzia mateso Watanzania walio wengi.
 
Nchi hii bado saana ila wajinga hawaelewi. Tizama mfano Ethiopia kilaleo wanakimbilia souzi lkn kwao Kuna hayo matreni mnayojisifu mnayajenga, wanama Ethiopian airways ninyi mnajitafuta na ATCL mkinunua kadege mnaandamana
kuishangaa,ma dam yaumeme wanayo lkn wapi wananchi umaskini nimwingii!!
1.) Tunapaswa tulijenge taifa lenye haki na fursa sawa kupitia KATIBA ya haki.
2.) Tujenge taasisi imara zinazoweza kusolve MATATIZO na kuleta tija stahiki
Tusitegemee mtu Bali taasisi imara.
3.) Mfumo wa elimu uboreshwe na utoe watu walimojengeka vyema kikazi,kiroho,kimataifa.
4.) Tuwekeze saana sana kwenye kilimo ndicho kinaweza badili maisha ya wengi.
...
 
Mimi nipo serikali hao wapinzani ndio walitaka sehemu ya biashara za serikali kubinafsishwa wakidai Magufuli alikuwa anachukua pesa kupitia hizo taasisi.

Baadhi ya taasisi walisema TPA, TASAC ,GPSA ,sasa nan mbaya ? wakati rais Samia alipochukua tu nchi alianza kufanyia kazi hilo na mchakato ulianza ...Alichobugi kuwasikiliza wapinzani haswa kwa hoja zazlizojaa nadharia ipo interview ya Lissu akiongelea hilo suala.

Kashafanya sasa ulitegemea nn?
UONGO,
Wapinzani walitaka shirika la ndege la ATCL na la mabasi ya mwendokasi UDART ndio vibinafsishwe, hawajahi kusema bandari ibinafsishwe.
 
Ukikuwa utaelewa watu walewale waliokuwa wakiongoza vita ya kumtukana Magufuli ndio hao hao wanaomtukana Samia.

Shida yao kwasasa ni moja tu Makonda atolewe serikalini, hayo matusi yameanza baada ya ugomvi unaodaiwa wa GSM na Makonda.

Walitegemea Makonda atemwe, kaishia kupewa ukuu mkoa, sio rocket science kujua ni hakina nani wapo nyuma ya hayo matusi.

Halafu ‘bi-tozo’ siku ya baraza la Eid alirusha kijembe cha kukwepa kodi kutumia mfano wa kiongozi wa serikali ya Zanzibar aliekuwa anasaidia kutorosha karafuu kimagendo. Ile story ya Zanzibar ni ‘euphemism’ mlengwa pale ni mstaafu ambae biashara zake zinaendeshwa na watu wengine ambao ni maarufu kwa kukwepa kodi.

Huu ni mtihani wa ‘bi-tozo’ anataka kubaki kuwa remote yao watu wasioridhika; au ni muda wa kuendesha nchi kwa kichwa chake kupitia ushauri wa wataalamu wa serikali.

Kazi kwake, uzuri ni kwamba Nchimbi akiwaamulia wakorofi anawamudu ndani ya chama (mama nae technical), ni kama mtu ambae aliejiandaa kwa vita muda wowote.

Bi tozo amekataa kuwa remote mbona amechelewa. Kafukuza wote wenye uwezo mkubwa wa kumsaidia, akakubali kuweka vilaza na kumnyamazisha PM.

It makes sense hizi siri huyu binti anapewa na walioshikilia remote, ili SSH asigombee tena 2025. Ila ni uzembe wake umemfikisha hapa. Inaonekana alishtuka mapema kutokana na body language yake wengine wanasema. Ila ni kiongozi dhaifu, hajachukua hatua yoyote sasa meza inapinduliwa wamuweke kijana wao.
 
View: https://www.instagram.com

Mkuu ogopa sana movement za mtu mpole akikasirika.

Ukimchokoza mtu mwenye hasira za haraka walau unategemea reaction yake ya papo kwa papo maisha yakaendelea.

Iła watu wa pole noma unaweza muona fala hajibu, kumbe kichwani kwake anakulia timing hujui siku wala saa.

Ku respond kwa haraka wote tutajua mama sio mvumilivu na pengine kuzua mijadala mingine.

Pamoja na kwamba yupo kimya lakini hatujui kichwani kwake anafikiria nini, na yeye tactical pia kwenye teuzi zake za hivi karibuni inaonekana fitna anaijua; ngoja tuipe muda Iła sidhani kama ni slouch vile kama tunavyodhani.
 
UONGO,
Wapinzani walitaka shirika la ndege la ATCL na la mabasi ya mwendokasi UDART ndio vibinafsishwe, hawajahi kusema bandari ibinafsishwe.
Uliona clip ya Lissu ? Punguza kuleta ujuaji wakati akili zero...Lissu alisema baada ya kugawanya baadhi ya mashirika ni njia ya Magufuli kujipatia pesa..Sasa kwa akili yako tu kawaida ATCL na TPA ipi ni sensitive kweny uchumi wa nchi? kama hujui bandari zaidi ya lulu kwa taifa ...Mapato makubwa ynatokea hapo ATCL ya nn wakati kule Ethiopia mashirika yanawashinda..

Kaeni kwa kutulia kwa upumbavu wenu!
 
Mkuu ogopa sana movement za mtu mpole akikasirika.

Ukimchokoza mtu mwenye hasira za haraka walau unategemea reaction yake ya papo kwa papo maisha yakaendelea.

Iła watu wa pole noma unaweza muona fala hajibu, kumbe kichwani kwake anakulia timing hujui siku wala saa.

Ku respond kwa haraka wote tutajua mama sio mvumilivu na pengine kuzua mijadala mingine.

Pamoja na kwamba yupo kimya lakini hatujui kichwani kwake anafikiria nini, na yeye tactical pia kwenye teuzi zake za hivi karibuni inaonekana fitna anaijua; ngoja tuipe muda Iła sidhani kama ni slouch vile kama tunavyodhani.
Inaonekana ameshafanya makosa ya kiufundi. Inaonekana wana file lake, namba yake na video zake. Akiwazingua wanampigia.
 
Inaonekana ameshafanya makosa ya kiufundi. Inaonekana wana file lake, namba yake na video zake. Akiwazingua wanampigia.
Unampigia mtu ambae hawezi shitakiwa mkuu; wakiachia hayo ma file ana mamlaka, nguvu na watu wakuwashughulikia vilivyo wahusika na kuwapoteza kwenye siasa za Tanzania for good.
 
Nikikumbuka tulikotoka, ugumu wa maisha kisiasa na uhalisia wa maisha ya mtu mmoja mmoja, nashawishika kumkubali Samia hadharani bila hata haya wala soni.

Watanzania tuna mengi ya kuridhika kupitia huyu mama kwa kuangalia rekodi za hapo nyuma, ambapo watu wengine waliishi kwa hofu, kutokana pengine na itikadi zao, misimamo tofauti na pengine hata chuki binafsi.

Aidha nakubaliana nae juu ya mabadiliko kadhaa ya sheria zetu zinazohusu namna bora ya uendeshaji siasa zetu, na kwa kweli huu ni mwanzo mzuri kwa demokrasia yetu. Hongera Rais, ni mwanzo mzuri.
Tunasimama na Mange kwa sauti🤣
 
Back
Top Bottom