Ukabila mara nyingi hunatumiwa na wanasisa katika mkabala wa uchaguzi.........wanasiasa huipata fursa ya kukusanya vijana wasio na ajira ya kudumu na kuwaonyesha jinsi chanzo cha shida zao zinasababishwa na kabila jirani. Tuondoe ufukara, ukabila utakosa makali.
Wakuu, nawaamkueni! jamani dua langu JUKWAA LA EAC. hii EAC utaipata katika nyuzi katika karibu kila jukwaa - international, kiuchumi, elimu, kisheria, kitamaduni, kisiasa nk. ni bora masuala ya EAC yajadiliwe chini ya jukwaa lake.
dua na mtazamo wangu.
Wakuu nawaamkueni, dua langu ni kuanzishwe jukwaa la hii EAC. Naona kutakuwa na mengi kujadili kisiasa, kiuchumi, kitamaduni nk. na itakuwa vigumu kufuatilia nyuzi zinazotaja EAC katika majukwaa tofauti. Tayari kuna nyuzi kadhaa: zihamishwe JUKWAA LA EAC. dua na mtazamo wangu.
Tangu enzi za wagiriki uigizaji wa jukwaa procenium theatre umechukuliwa kuwa ndiyo theatre kamili. wanachuo wasomapo huwa wanasomea stage theatre.
Lakini je ni ipi iliyo bora baina ya ile ya kuhusisha umati- ambayo ndiyo ya ki-afrika?
Katika jukwaa, watazamaji huwa wachunguliaji tu - huku...
unapojifunza lugha nyingi, msamiati wa kwanza huwa tarakimu moja hadi kumi. lakini wajua kuwa neno la herufi 3 ni karibu sawa katika asilimia 70 ya lugha za ki-bantu?
wajua kuwa lugha nyingi huwa base 10- yaani ni mafungu ya kumi kumi. ishirini ni mafungu ya kumi mara mbili, mia ni makumi...
Asanteni nyote kwa mchango wenu. nafikiri kila lugga ni kukuzwa na hivyo basi jina militarism naamua ni UJESHIJESHI. tayari nachangia liorodheshwe kwenwe kamusi.
Basi yaelekea kila lahaja ina dai halali kuwa yao ndiyo....ndicho kiswahili halisi- wanachuoni watuamulie. kwanza waeke nguzo tutakazo fuata.
Kiswahili ni nini? lugha halisi ni nini? nini uhusiano wa lugha bayana tamaduni? je, idadi ya waneni ni hoja? kazi kwetu wanaJF.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.