Uigizaji husisha na wa jukwaa | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Uigizaji husisha na wa jukwaa

Discussion in 'Jukwaa la Lugha' started by TWANJUGUNA, Jun 23, 2010.

 1. T

  TWANJUGUNA Member

  #1
  Jun 23, 2010
  Joined: Jun 6, 2010
  Messages: 27
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 3
  Tangu enzi za wagiriki uigizaji wa jukwaa procenium theatre umechukuliwa kuwa ndiyo theatre kamili. wanachuo wasomapo huwa wanasomea stage theatre.
  Lakini je ni ipi iliyo bora baina ya ile ya kuhusisha umati- ambayo ndiyo ya ki-afrika?
  Katika jukwaa, watazamaji huwa wachunguliaji tu - huku wakiwachukulia wachezaji kuwa vibonzo wa kuwachekesha au kuwaliza. ilhali hii yetu kila mtu huwa mshiriki - hucheka au hulia pamoja na wahusika.
  Ikiwa umuhimu wa kuigiza ni kuwasilisha kwa kuhisisha watazamaji basi mimi naona drama yetu ndiyo theatre halisi. yafaa tuikuze.
   
 2. Mentor

  Mentor JF-Expert Member

  #2
  Jun 23, 2010
  Joined: Oct 14, 2008
  Messages: 18,719
  Likes Received: 8,269
  Trophy Points: 280
  You have a point twanjuguna ila nadhani tumeshakuwa brain washed kuchukia vya kwetu!
  Mungu ibariki Afrika, Mungu ibariki Tanzania.
   
Loading...