Recent content by TUWEKANE BAYANA

  1. T

    JamiiForums Tanzania Shehe Mkuu wa Tanzania awakataza Waislamu kushiriki maandamano ya kisiasa

    Huyo ni shee wa ccm kama shee yahaya.. Astake kupangia waumini saa hizi.. Inaezekana akawa ni shehena katika meli ya mafisadi vilevile!
  2. T

    JamiiForums Tanzania Vijana wote tushirikiane kwa hili

    The best groundswell movements render the existing power structure irrelevant, because the new belief system adopted by the masses overwhelms the capacity of the elite to maintain control over the former mass delusion over which they presided.
  3. T

    JamiiForums Tanzania Kikwete aagiza Nyumba za Serikali zilizouzwa zirejeshwe

    Mmh tupe source ya data zako
  4. T

    JamiiForums Tanzania The Healing Cup: When Faith Meets Needs - A Categorial Indictument of CCM's Policies

    Mwanakijiji! Thank you for making it clear! NO COMENT..
  5. T

    JamiiForums Tanzania Dr. Slaa: Kikwete mmiliki wa DOWANS...

    Yaani hawa serikali they claim our wealth without our consent! Wananchi si washapinga hatutaki dowans tunulieni umeme wa jua au hata wa upepo au hata mawimbi ya bahari.. Dharura dharura tuko gizani miaka 20 sasa ndo wanatuletea zarura zao leo wanataka watupige changa la macho la mwisho wa...
  6. T

    JamiiForums Tanzania Tufanye fundraising kuwasaidia waJapan

    We sema unataka tuchangie ule wewe.. Japan visenti vyako hana shida navo.. Wewe ukishaoneshwa kuguswa tu na maafa kwa taifa kama lile inatosha. I lived in japan for 6 years.. Trust me mchango kwa taifa kama letu wataona aibu kupokea Manake wakituangalia hata umeme hatuna na hatujapata maafa...
  7. T

    JamiiForums Tanzania Kikwete atoa agizo wastaafu wa EAC walipwe!

    Hata kama kaongea walipwe hawatolipwa.. Jamaa hana control ya staff wake.. Bosi kivuli..
  8. T

    JamiiForums Tanzania Rostam awaparamia CHADEMA

    jamani musimseme mjomba rostam, yeye anaiba kutokana na upenyo anaowachiwa na wajinga i.e ccm
  9. T

    JamiiForums Tanzania Majina ya wauza Madawa ya Kulevya: Kikwete anayo!

    wanaruharibia vizazi hawa watu.. ni maadui si kwa binadamu tuu bali hata mungu hayunao watu hawa..
  10. T

    JamiiForums Tanzania Ulikuwa unajua hili? Naomba mnisamehe kwani sikudhamiria......!

    nimeipenda
  11. T

    JamiiForums Tanzania IMF sees slower growth, high inflation in Tanzania

    Nipeni mie tanesco muone kama mtakaa gizani.. Lakini sitoruhusu siasa zenu ziniathiri kama mwekezaji.. Yaani umeme ukikatika mimi nalipa fidia..
  12. T

    JamiiForums Tanzania Ni woga wa Kikwete ama ndio serikali inavyotakiwa kuwa

    Kama usemayo ni kweli basi si haki!
  13. T

    JamiiForums Tanzania babu Loliondo ni mbinu ya ccm kumfunika slaa

    Hata wewe umeliona hilo! @ shomari
  14. T

    JamiiForums Tanzania I Think I love my wife

    Na kwa nini usimpende? Ulimuolea nini?
  15. T

    JamiiForums Tanzania Ufisadi mkubwa Mambo ya Nje: Mradi wa ujenzi Nairobi wasimama

    Hii si nchi hii.. Kote kumeoza!
Back
Top Bottom