babu Loliondo ni mbinu ya ccm kumfunika slaa

Mar 10, 2011
45
0
Tokea babu wa loliondo atambe magazeti dr slaa amesizi kutokea katika front page za magazeti.. Ndo ujue kama wabongo wanapenda mambo ya kidaku kuliko maendeleo!
 
Tatizo letu wabongo ni kuwa Mbayuwayu, likitokea jambo jipya hata kama halina uzito huwa tunaacha na kulisahau la muhimu zaidi kama Dowans n.k, Ni watu wa kusahau haraka sana na CCm wanalijua hili vizuri sana, ndio maana sio kazi ngumu sana kwao kututawala.
 
Kumbukeni Duniani janga la Ukimwi unaongoza kwa kuua watu huku kwetu Barani Afrika tena kusini mwa Jangwa la Sahara na Tanzania ni miongoni mwa nchi zilizopo upande huo, Pili moja wapo ya tatizo lisababishwalo na ugonjwa wa kisukari ni upungufu wa nguvu za kiume na kwa mwanaume wa kiafrika kukosa nguvu za kiume ni balaa kuu. Hivyo kujitokeza BABU WA LOLIONDO kudai anatibu magonjwa sugu ikiwamo na hayo niliyoyataja ni lazima AFUNIKE HABARI ZOTE yaani habari nyingi zitafunikwa, mi nakwambia tutakuja shtukia GADAFI keshatolea madarakan huko LIBYAi sisi hatuna taarifa maana bado tupo na CD yetu ya LOLIONDO maana ndio inayouza kwa sasa
 
Hilo ni kweli,lakini kwa sasa ndiyo habari moto iliyopo,ipe muda itachuja tu, serikali imesharuhusu babu aendelee, kwa sasahivi hakuna migongano tena, sasa media zitaandika nini? kuwa watu wameenda, au wamepona , maana vyote vinaeleweka....
 
Kumbukeni Duniani janga la Ukimwi unaongoza kwa kuua watu huku kwetu Barani Afrika tena kusini mwa Jangwa la Sahara na Tanzania ni miongoni mwa nchi zilizopo upande huo, Pili moja wapo ya tatizo lisababishwalo na ugonjwa wa kisukari ni upungufu wa nguvu za kiume na kwa mwanaume wa kiafrika kukosa nguvu za kiume ni balaa kuu. Hivyo kujitokeza BABU WA LOLIONDO kudai anatibu magonjwa sugu ikiwamo na hayo niliyoyataja ni lazima AFUNIKE HABARI ZOTE yaani habari nyingi zitafunikwa, mi nakwambia tutakuja shtukia GADAFI keshatolea madarakan huko LIBYAi sisi hatuna taarifa maana bado tupo na CD yetu ya LOLIONDO maana ndio inayouza kwa sasa
Naloli pumbavu sana nimecheka nusu nijikojolee
 
Tokea babu wa loliondo atambe magazeti dr slaa amesizi kutokea katika front page za magazeti.. Ndo ujue kama wabongo wanapenda mambo ya kidaku kuliko maendeleo!
Mkuu nawe heding yako pia inaonyesha udaku.Ni kweli kuwa magazeti yote yanahangaika na Loliondo kwa sasa,na mambo yote ya muhimu yamesahaulika.Lakini usiniambie kuwa hii ni mbinu ya CCM...Lets be serious
 
Kumbukeni Duniani janga la Ukimwi unaongoza kwa kuua watu huku kwetu Barani Afrika tena kusini mwa Jangwa la Sahara na Tanzania ni miongoni mwa nchi zilizopo upande huo, Pili moja wapo ya tatizo lisababishwalo na ugonjwa wa kisukari ni upungufu wa nguvu za kiume na kwa mwanaume wa kiafrika kukosa nguvu za kiume ni balaa kuu. Hivyo kujitokeza BABU WA LOLIONDO kudai anatibu magonjwa sugu ikiwamo na hayo niliyoyataja ni lazima AFUNIKE HABARI ZOTE yaani habari nyingi zitafunikwa, mi nakwambia tutakuja shtukia GADAFI keshatolea madarakan huko LIBYAi sisi hatuna taarifa maana bado tupo na CD yetu ya LOLIONDO maana ndio inayouza kwa sasa

kweli aisee. Mabomu ya g.mboto yenyewe tushayasahau.
 
Back
Top Bottom