Ufisadi mkubwa Mambo ya Nje: Mradi wa ujenzi Nairobi wasimama

siwaachi hata kidogo maana inauma sana kama sasa hali iko hivi Membe naona ana vijana tayari ametangaza 2015 hapo juu

Oyoyoo,

Ndugu yangu, unataka urais 2015? Au unaye mgombea unayemuunga mkono? Agenda yake ni nini? Muhimu kwangu si mgombea, muhimu ni agenda. Nchi hii ina matatizo ya msingi ya kuyashughulikia kuliko kuhofu urais wa 2015. Tupate agenda kwanza, agenda ndio zitakazotuambia nani anafaa. Membe hajatangaza kama atagombea wala hajaainisha agenda yake kwa taifa letu. Hivyo, usipate hofu. Kama una mgombea, tutambulishe na utupatie agenda zake, zikiijibu matatizo yetu ya msingi ya taifa nitamuunga mkono.
 
hakuna cha hoja hapa naona mmeanza kudanganya umma kwa kudhani watu hawajui hapa MFAIC kuna nini, yaani fedha zetu na muda wa umma ndio mnatumia kujisafisha hapa. Tunataka ifahamike wazi kuwa CDM tunatazama sana wizi ama matumizi ya fedha za umma kusakia madaraka. Subiri Dk wa ukweli ashike nchi ndio mtasema hiyo uwekezaji wa maputo mmekula ngapi
 
Akipewa Padre Slaa basi Vatican wataendesha nchi hii kwa remote na sote tutakuwa wa mlengo wao kiimani.

sala ya Bikra maria ndo utakuwa wimbo wa taifa.
 
Back
Top Bottom