Raia Fulani
JF-Expert Member
- Mar 12, 2009
- 10,877
- 2,758
Kama ni kweli huo mti ndio kazi yake, Babu aliujulia wapi kama si maono kweli? By the way, nakupongeza kwa kazi hii nyeti/adimu. Nadhani pia umejibu maombi ya Counterpunchtuna uhakika ndio mmea huo huo? maana huo mmea una madawa fulani na yanahusiana na kupunguza maumivu na kusisimua kinga..