Ni woga wa Kikwete ama ndio serikali inavyotakiwa kuwa | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Ni woga wa Kikwete ama ndio serikali inavyotakiwa kuwa

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Giddy Mangi, Mar 12, 2011.

 1. G

  Giddy Mangi JF-Expert Member

  #1
  Mar 12, 2011
  Joined: Feb 14, 2011
  Messages: 833
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 0
  Ndugu zangu,Wanafunzi wa Primary na Secondary wameandamana kupinga nauli kupanda,polisi wakatumia nguvu kubwa sana kuzuia maandamano.Je hili ni haki?
   
 2. T

  TUWEKANE BAYANA Member

  #2
  Mar 12, 2011
  Joined: Mar 10, 2011
  Messages: 45
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Kama usemayo ni kweli basi si haki!
   
 3. m

  mzambia JF-Expert Member

  #3
  Mar 12, 2011
  Joined: Dec 31, 2010
  Messages: 885
  Likes Received: 19
  Trophy Points: 35
  :A S-coffee:
   
 4. Mzee wa Rula

  Mzee wa Rula JF-Expert Member

  #4
  Mar 12, 2011
  Joined: Oct 6, 2010
  Messages: 8,177
  Likes Received: 89
  Trophy Points: 145
  Mkuu weka thread yako vizuri, maandamano hayo yamefanyika wapi, shule zipi zimeshiriki maandamano hayo? Sishangai matumizi makubwa ya polisi katika kuzima maandamano kwa sababu ni kama mto unavyoweza kurukia eneo lingine kama usipodhibitiwa ambayo ndiyo imani ya serikali kuu kwa sasa. Walianza Arusha lakini external force ndiyo iliyosababisha kanda ya ziwa angalau kupewa kibali cha kuandamana bila mizengwe.
   
 5. S

  Societa Jesuit JF-Expert Member

  #5
  Mar 12, 2011
  Joined: Feb 1, 2011
  Messages: 200
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0

  ni haki tu si tunawalegeza nguvu ili watoto wetu waje kutawala kiulaini......  ''nawahi kumgonga nyoka kwani akija nigonga je,..I was born with it and not without it,to whom should I leave it.''
   
 6. K

  KICHAPO Member

  #6
  Mar 13, 2011
  Joined: Oct 19, 2010
  Messages: 51
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  TUOMBE:
  Ee KIKWETE uliye tufilisi, jina lako USANII MTUPU,utakalo lifanyike BAGAMOYO tu, utupe leo mabilioni yetu ya EPA, uwapeleke MAFISADI wote mahakamani, uwalipe wastaafu pesa zao,CCM ianguke kwenye uchaguzi ujao kama wewe unavyoanguka majukwaani,usiwalipe DOWANS kama vile unavyofikiria AMIN Mungu ibariki Tanzania na Watanzania
   
 7. nsimba

  nsimba JF-Expert Member

  #7
  Mar 13, 2011
  Joined: Oct 7, 2010
  Messages: 785
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  nimecheka karibu kuzimia "version hii ya sala"
   
 8. Mlangaja

  Mlangaja JF-Expert Member

  #8
  Mar 13, 2011
  Joined: Nov 2, 2010
  Messages: 541
  Likes Received: 28
  Trophy Points: 45
  Yamefanyika wapi? Ee Mungu tuepushe na balaa hii.
   
Loading...