Mara nyingi nimekuwa naamini kuwa hapa JF wote ni GREAT THINKERS,kumbe si wote, kazi ipo.
Kwa wale mliobahatika kutembea katika nchi yetu,tembelea mikoa ya mwanza,kagera,Kigoma,utakutana na watu wengi wenye sura kama za ndugu yetu. Sina hakika wale wanaokimbilia kuhukumu kuwa yeye ni MTUSI...