Mpenzi wangu anataka kuniacha kisa siwezi kazi

Mpenzi wangu anataka kuniacha kisa siwezi kazi

tupendane1

Member
Joined
Jan 27, 2013
Posts
11
Reaction score
8
Ndugu wana JF,
Nakumbuka ilikuwa tarehe 6/2/2013 nilipoleta tatizo kwenye jukwaa hili kuhusiana na mpenzi wangu kutaka kuniacha kisa siwezi kumridhisha(zaidi ya goli moja).Nawashukuru sana tena sana,hakika nakubaliana na usemi usemao MFICHA UCHI HAZAI.Nilifuatilia kwa umakini mchango wa kila mmoja na kujaribu kuyafanyia kazi.Ilibidi nitafute dawa kwa wamasai,na nilipotumia nikajaribu sehemu flani (japo sikupenda kumsaliti nimpendae, aisee,kama kawaida,ka kwanza hakakuchukua hata dakika mbili (nikaogopa),lakini jamaa alizidi kudaii,kapili zaidi ya dakika kama kumi,na nilichokuwa nafanya ni kujaribu kujiamini maana nilishaogopa kuwa siwezi. Siku nyingine nikajaribu sehemu nyingine(kwa umakini zaidi japo siyo matendo mazuri-Mungu hapendi) nikapiga tatu japo kakwanza kaliwahi sana.Mpaka sasa nafikiri naweza.

Na bahati mbaya baada mwezi mmoja my girldfriend alonikosoa akanipigia na kuniambia kuwa hawezi kuendelea na mimi kwa sababu haoni faida ya kuwa nami kwani siwezi siwezi kumridhisha.Wale mliofuatilia tatizo langu mtakumbuka.Nikamwambia tatizo langu nilikuwa na stress,lishe mbovu na nahitaji tuwe pamoja.Nikamwambia mwanaume kama anaweza kusimamisha huyo ni mzima labda kama mzee hasimami kabisa,nikamwambia kuwa ajaribu kuuliza hata kwa wakubwa,akasisitiza kuwa hataki tena kuwa nami.Mi nikamwambia kama Mungu kapanga tuwe wote utarudi tu baada ya kujua ukweli.

Nami nikakaa kimya kwa wiki kama mbili,naona ameanza kunitafuta eti nimsamehe tuendelee kuwa marafiki,amegundua hakuna aliyekamilika,hivi kweli hapa kuna mapenzi ya dhati.Nipeni njia ili siku nikimkamata nimtafune vizuri mpaka ajutie maneno ya kunidhihaki kuwa siwezi kazi,eti mimi ni mwanaume suruali.Kwa mwanaume alokamilika,wastani wa dk(la kwanza,la pili,la tatu huchukua dk ngapi?

Hakika nawashukuru sana tena sana,kwa kutaja wachache,horsepower,iMind,pason,asigwa,saudari,londoni1,wanna,mlati na wengine wote mlochangia.Mmenitia moyo na sasa natembea nikijiamini. Nahisi siku nikikutana naye nitafanya mambo mpaka anishangae!Nawashukuru wana JF,hakika humu ndani ni GREAT THINKERS
 
Kumridhisha mwanamke siyo idadi ya magoli kaka, unaweza usipige hata kamoja lakini akafika kileleni
 
Tatizo mlilonalo vijana wa siku hizi ni kupalamiana kama kuku. Mapenzi yanaanza kwa maandalizi kufanyana ni hitimisho.
 
::
Kama huko nako ameachwa,ulitegemea aende wapi
Mhifadhi tu akipata mwingine atazua jingine,akiachwa tena atakuja tena MAANA wewe una roho nzuri na unasamehe sana
=
 
Ila usisahau kumwambia kama ulishindwa kuvumilia ikakubidi ujirushe na wawili watatu.
 
duh:smile-big::smile-big::smile-big::smile-big:
 
Jalbu kupima afya yako labda unatatzo .kama auna tatzo bas klaunapo fanya tendo landoa jtaid kuwa m'bunifu usiwe nahalaka mdogo mdogo utafka ukimwaga lakwanza tulia chekanae mflaishe klamala yeye mwenyewe utakuta anataka. so apo kaz kwako s atuta kuwepo
 
ahaaa kwi kwi kwiii....
sijui kama unaweza aisee
 
Wewe hujui kale kausemi kanakosema "ukiona umependwa ujue kuna mjinga katendwa na ukiona umetendwa ujue kuna mjanja kapendwa".
Mmm lakini kama ingekua mie ndio basi tena asinifanye Toy.. hata kama sijampata wakuanae na yeye pia simtaki hata kama hodari vipi aende asinichokoe roho bure bora nivumilie tuu ...
 
enjoy your new found experience....
kuwa careful though:nono:
 
wanapokuwa wawili kuna kitu kimoja ambacho huwa kimewaweka pamoja na chenyewe ni penzi lilotoka moyoni na wala silakulazimisha. na pia tusisahau hakuna aliyekamilika na hivyo kila mtu hukosea ila tunaunganishwa tena na neno kusamehe, ni vyema ukampa tena nafasi nyingine na hisitoshe ni vizuri umeishamjua kuliko kuanza tena safari nyingine ya mapenzi, ni kazi. its better the devil u know than the angel u dont know
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom