Recent content by Tunko

  1. T

    JamiiForums Tanzania Majimbo ya Ubunge yaliyosimamisha wagombea wa CCM bila wagombea wa Upinzani

    Ongeza na Jimbo la KAVUU KATAVI
  2. T

    JamiiForums Tanzania CHADEMA tujitafakari

    Nikiwa kama Mtanzania wa kawaida kabisa nachukua fursa hii kuwapa ushauri tu mjitafakari kuna sehemu mmejikwaa na hama hama hii ya wabunge wenu ipo siku mtajikuta hamna mbunge hata mmoja na ndio itakua mwisho wa CHADEMA.CHADEMA badilikeni mambo yanayosemwa semwa ndani ya chama chenu yawezekana...
  3. T

    JamiiForums Tanzania Lowassa na Pinda ndani ya Katavi kutafuta wadhamini

    Burton86jm LOWASSA leo amekumbana na zomea zomea mpanda
  4. T

    JamiiForums Tanzania Msafara wa boda boda toka Mbarali wavamia nyumbani kwa Lowassa, Dodoma

    Kumbe hawa walioenda Dodoma ni wakuchonga.Lowassa unatabu
  5. T

    JamiiForums Tanzania Mizengo Pinda, Mzururaji anayelitelekeza Bunge kwa kumchafua Rais Kikwete

    Wewe ni mjinga kama hajui jambo hutakiwi kuzungumza na uongo wako haukusaidii chochote sana sana unaonekana mjinga,Pinda kaenda JAPANI kumuakilisha RAIS Kwenye mkutano na si ziara yake ya kujipangia unaelewa wewe mbumbu
  6. T

    JamiiForums Tanzania Nape: Sijayapata matokeo ya Serikali za Mitaa ya Sumbawanga

    ukweli ni kwamba sumbawanga kata zilizokuwa zinarudia uchaguzi ni 3 na sumbawanga inakata 11 Lakin ambazo hakufanya uchaguzi ni Tatu na ndzo zilifanya uchaguzi ili kukamilisha na CCM imeshinda kwa 70% sumbawanga mjini ila vyombo vya habari vimepotosha ukweli kama mtu anabisha afuatilie ila...
  7. T

    JamiiForums Tanzania Ukweli mchungu kuhusiana na Waziri Mkuu mh. Pinda

    Mbona jambo hili liko wazi kabisa kwamba Rais ajae ni Pinda ingawa watu huwa wakiambiwa wanakuja propaganda nyepesi kabisa mara ni mtu wa kulialia Lakin ukweli Upo wazi kabisa Pinda ni Rais anaesubilia kuapishwa
  8. T

    JamiiForums Tanzania Mgombea urais kwa tiketi ya CCM 2015 ameshapatikana

    Tatizo watu Bado hawajui tu ila ukweli ni kwamba Rais ajae ni Pinda najua watu watabisha sana ila ukweli ndio huo, Pinda alikuwa hana mpango na Urais ila Marais wastaafu ni aliepo madarakani ndio walio mshawishi agombee ngoja Muda ufike ndio mtakumbuka maneno yangu
  9. T

    JamiiForums Tanzania Yanayojiri Bungeni Dodoma: Alhamisi, January 29, 2015

    Acha uongo TUNDULISU unasema uongo bungeni uongo TBC imekata matangazo wakati inaonesha KAMA HUJAFANYA UTAFITI HUNA HAKI YA KUONGEA
  10. T

    JamiiForums Tanzania Mkoa wa Katavi kutoa rais 2015

    Nitakuwepo:Team Pinda
  11. T

    JamiiForums Tanzania Pinda wewe ni kiongozi bora

    Pinda ni kiongozi atabaki kumikali katika Taifa la Tanzania,kwanza Ni kiongozi ambae hakulupuki katika kutoa maamuzi Ni kiongozi mwenye misimamo mikali ni mkweli ambae hadanganyi na hawezi kusema kitu ambacho hana uhakika nacho na hata Kwenye sakata la ESCROW aliposema fedha ile ilikuwa sio ya...
  12. T

    JamiiForums Tanzania Bernard Membe: Ndoto zake za urais zimejaa Fitna, Visasi na Mbeleko

    Tetesi ambazo zimeanza kuzagaa na ambazo zimetoka katika source ya kuaminika ndani ya IKULU inasema Rais ameamua kulifanyia mabadiliko makubwa Baraza la mawaziri na taarifa hizo zinasema Mawaziri wote ambao walikuwa wakifanya hampeni kubwa ya kuiangusha serikali katika sakata la ESCROW sasa...
  13. T

    JamiiForums Tanzania Swahiba wa Mizengo Pinda ashinda Urais Namibia, walishiriki wote jopo la kuandika katiba ya Namibia

    Unajua watu bado hawamjui vizuri Pinda ila nadhani taratibu watamjua,watu wengi wanamjua tu kwa kazi yake ya Usalama wa Taifa lakini bado hawamjui nini alifanyia Taifa katika Utumishi wake toka Enzi hizo mpaka sasa ,lakini ngoja niwafahamishe kitu kingine alichofanyia Taifa wakati wa vita vya...
  14. T

    JamiiForums Tanzania Mungu hamtupi mja wake

    Pinda twende zetu katavi mdogomdogo tutafika 2015 for PINDA
  15. T

    JamiiForums Tanzania Diamond Platnumz ni fundi

    Kusema ukweli jamaa anajua nimetoka kuicheki video ya wimbo wake mpya Unaoitwa NITAMPATA WAPI ambao umetoka kupigwa muda si mrefu kwenye kituo cha TV cha TRACE video yake imesimama kweli kweli na ukichanganya na modal wake wa kizungu ipo vzuri sana ila ameniudhi tu vituo vya bongo vya TV na...
Back
Top Bottom