Phoenix
JF-Expert Member
- Sep 6, 2012
- 10,587
- 15,450
Mtafanya nini?Kawaambieni waendelee kujitekenya hao wapuuzi waliojiambia wamepita bila kupingwa. Safari hii hatutaruhusu upuuzi wa aina hiyo.
Mtafanya nini?Kawaambieni waendelee kujitekenya hao wapuuzi waliojiambia wamepita bila kupingwa. Safari hii hatutaruhusu upuuzi wa aina hiyo.
Haya hongera kwa bao la mkono.
Okey, tuma salamu kwa mataga wenzako 180 popote walipo.Mpira magoli
Huwezi kushiriki uchaguzi Kwa muda mrefu kama CCM walivyoshiriki na ukashindwa kujaza form, nadhani CCM Wana resources na experience kubwa compared to other parties ambazo to be honest vingine ata ofisi ya kujazia hizo forms hawana..kile kigezo cha kujua KUSOMA na KUANDIKA kitawaangusha wengi Sana..but I still believe NEC wako strictly Sana Kwa wapinzani kuliko wagombea wa CCM but still sio excuse ya wapinzani kuwa reckless katika kufuata maelekezo.Najiuliza tu "HIVI KUNA SEHEMU WA UPINZANI ATAPITA BILA KUPINGWA?"
HIVI HAWA WA CCM WANA UWEZO WA KUJAZA FOMU KULIKO WENGINE!?
Yaani utafikiri lengo ni kupata mjazaji fomu bora, jamii inahitaji zaidi ya mjazaji fomu.Ha ha inashangaza sana.
Kwanini NEC wasitoe mafunzo maalumu ya ujazaji hizo form kabla ya zoezi wa ujazaji kuanza kwa uwazi na haki kabisa?
Okey, tuma salamu kwa mataga wenzako 180 popote walipo.
Mkuu umewahi kuiona fomu ya ugombea? Hapa utawalaumu wapinzani bure, yaani mtu aliyekuwa mbunge kipindi kilichopita asiweze kuambatanisha passport size?Huwezi kushiriki uchaguzi Kwa muda mrefu kama CCM walivyoshiriki na ukashindwa kujaza form, nadhani CCM Wana resources na experience kubwa compared to other parties ambazo to be honest vingine ata ofisi ya kujazia hizo forms hawana..kile kigezo cha kujua KUSOMA na KUANDIKA kitawaangusha wengi Sana..but I still believe NEC wako strictly Sana Kwa wapinzani kuliko wagombea wa CCM but still sio excuse ya wapinzani kuwa reckless katika kufuata maelekezo... Mpinzani kushinda have to be really on point bila dosari yoyote. Wanahitaji kuwa na usaidizi Mpana WA wanasheria ambao unfortunately they don't come cheap especially kipindi hiki.
Nani atawafanyia kazi hiyo, AMSTERDAM au nani kwani mwanasheria wenu na mwanaharakati anagoja apande majukwaani kutukana watu. He is very busy learning new insults and abuses towards fellow presidential candidates badala ya kujitayarisha na "sera mpya"!Yote lazima yawekewe pingamizi
Uhuni sasa basi
Are you sure!?Subiri NEC waseme. Hao ndio wenye goma lao.BREAKING
Mkoa wa Morogoro una Majimbo 11 hadi sasa CCM Imepita bila kupingwa 6
1.Kilosa (Prof Kabudi)
2. Gairo (Ahmed Shabiby)
3. Mvomero (Jonas Vanzland)
4. Morogoro kusini (Innocent Kalogeris)
5. Morogoro kusini mashariki(Babu Tale)
6 Morogoro Mjini (Abood)
................
Subiri NEC wakujibu? Na itachukua muda kwani that is a new Constituency!Jimbo la Chattle vipi?