Pinda wewe ni kiongozi bora

Tunko

Senior Member
Dec 24, 2013
181
41
Pinda ni kiongozi atabaki kumikali katika Taifa la Tanzania,kwanza Ni kiongozi ambae hakulupuki katika kutoa maamuzi Ni kiongozi mwenye misimamo mikali ni mkweli ambae hadanganyi na hawezi kusema kitu ambacho hana uhakika nacho na hata Kwenye sakata la ESCROW aliposema fedha ile ilikuwa sio ya Umma watu na wanasiasa mbalimbali walimsakama na kuonekana nae fisadi, hakuishia Hapo alilimbia Bunge kuwa muwe makini katika maamuzi yenu kuhusu kulijadili swala la iptl bungeni Kwa sababu Kuna kesi zinaendelea mahakamani kuhusu Iptl wakambeza Sasa angalia kilichotokea iptl wameenda mahakamani kupinga maamuzi ya Bunge laiti Pinda angesiklizwa hayo yasingetokea, kuhusu hela ni za Umma iptl Rais jana Kapasua jipu kwamba ni za iptl sana kabisa na Pinda alio sema Kwahiyo ni unweli kuwa Pinda siku zote hakulupuki katika mambo, Pinda UNAFAA kuwa. RAIS WA NCHI
 
pinda for president post 2015,yaani huyu mzee amekaaa ikulu 40 years,kwanini tusimpe miaka 10 mingine atimize nusu karne ikulu,kutoka security officer,cleark of cabinet,personal asst to president to prime minister ,yuungane tumpe miaka 10 mingin ee
 
Back
Top Bottom