Recent content by tunene

  1. T

    Kenya wameingiza Embroy ya Girolando(Gir) Dairy cow kutoka Brazili.

    Hata kwa Tanzania kwa sasa hivi embryo za aina zote za ng'ombe wa maziwa zinapatikana ikiwemo na hawa grilando . embryo moja ni million moja hadi million na laki mbili
  2. T

    Ukweli umebainika : Ndege za Marekani zilifanya Udanganyifu katika kulipua Vinu vya Nyuklia Iran

    Una elimu gani ya kijeshi ,tuanzie hapo kwanza. Maana naona kama hujui mbinu za kijeshi ila unataka watu wakuelewe. Bro soma sana ujue night attack kwa nini hutumika
  3. T

    Natamani sana kuacha pombe ila nashindwa

    Nitafute nikupe dawa ya kuacha pombe
  4. T

    Lissu amesahaulika kabisa na watu hawana habari naye kabisa mitaani. Ni lazima ajue hana umuhimu wowote

    Takataka wewe kama amesahaulika mbona siku ya kesi yake police wote wa dar wanajazana mahakamani mpaka mitaani
  5. T

    Mshangao! Nimetongozwa na mwanamke mtaani

    Du hizo bahati mbona mimi sijakutana nazo.demu amenizimikia namkubalia simsumbui
  6. T

    Hivi hii ni hali ya kawaida? Miaka 27 sasa nakojoa kitandani

    Nitafute ninayo dawa ya kutibu kukojoa kitandani 06217970903
  7. T

    Ripoti Muhimbili: Wanaume 4 hadi 8 wanaishi na Maambukizi ya Virusi vya Homa ya Ini

    Kuna jamaa mmoja anatibu Sana huu ugonjwa 0717707565
  8. T

    Niulize chochote kuhusiana na ugonjwa wa Homa ya Ini

    Kama unaumwa homa ya ini na unataka kupona namba hiyo hapo 0717707565
  9. T

    Wafahamu Wachezaji hatari wa Al Ahli Tripoli, Simba hawatoboi

    Utopolo kwa hiyo ninyi mnafurahi mmepangiwa vibonde. Sisi Simba tunafurahi tunapopangwa na timu ngumu hao ndo saizi yetu
  10. T

    Hizi english Medium zimejikita kuwaridhisha wazazi wa wanafunzi kuliko kutoa elimu

    Wa Wanaokuushambuli kwa hujui chochote kwa sababu unaharibu biashara zao. Wazazi wengine nao badala wafatilie nao wanakushambuli,basi endeleeni kulipa Hela mtashituka kumesha kucha
  11. T

    WALIMU: Kwa wale wanaotaka kubadilishana vituo vya kazi

    Njoo sengerema nije- Kilombelo Ifakala Mlimba Malinyi Ulanga Gailo Chamwino Mpwapwa Kongwa Idara msingi 0683 694 088
  12. T

    WALIMU: Kwa wale wanaotaka kubadilishana vituo vya kazi

    Natafuta mwalimu wa shule ya msingi wa kubadirishana kituo Cha kazi .Mimi Niko wilaya ya sengerema.nabadirishana na mwalimu aliye wilaya ya kilombelo au ifakara .namba yangu ni 0683 694 088
Back
Top Bottom