Recent content by tumwe273us

 1. T

  Mbatia ameonyesha mfano wa kuigwa...

  Ni kiongozi anayeonyesha mfano mzuri!am proud of him kwa alichofanya
 2. T

  Kusoma open university na vyuo vikuu vingine

  Nimesoma open na ukweli ni juhudi binafsi.sio swala dogo na kwa ubora usiliongelee kabisa,tunazungumzia udsm na sua kwamba ndio best bt sijui mnatumia kigezo gn!nachojua,aliyemaliza open na kama kuku wa kienyeji anaetafuta mwenyewe kwa juhudi zake,hvy kumaliza open ni juhudi zako na aliyesema...
 3. T

  bila umeme na maji inawezekana?

  mi ni mpya kidogo humu ndani ila naomba kuuliza swali hili Kwa mtazamo wangu naona bila maji na umeme inawezekana kwani yapata miaka mitatu bila umeme na maisha yanasonga mbele hasa sisi wa kijijini haina shida na hata maji kwetu ni poa kwani hata maji yenyewe ni ya visima na muda wa kulala ni...
 4. T

  Picha nzuri tena za kupendeza

  Ni pazuri sn
 5. T

  This is not a joke...

  Safiiiii....alifikiri pombe ni maji,hy imekaa njema na je hy chick alilala wp!?
 6. T

  Baa la njaa linakuja

  Mi np kibaigwa mkoani dodoma na hapa ni soko kuu la mahindi na anweza kusema ndio soko kubwa la mahindi hapa dodoma.mwaka jana muda kama huu tulikua tunanunua mahindi kwa sh elfu 25 kwa gunia la debe 7 na gunia la alizert tulinunua kwa elfu 22 ela ya kitanzania,but leo gunia hilo linauzwa kwa sh...
 7. T

  MTANZANIA: CCM mnahangaika na Lowassa, CHADEMA wanachanja mbunga!

  Wtz,haina haja kutafuta msimamo wa mwandishi wa makala hii,ni dhahiri ni gamba but ka alivyosema,cdm inasonga mbele na uzuri anatupa cha kuwaambia wananchi wht is wrong kwa magamba.ukitaka kumshinda adui yako,mwashe akuelezee matatizo yake na kupitia hapo,utajijenga na kumbomoa vizuri.
 8. T

  Ahsante mheshimiwa Zitto, lakini huyo ni mbuzi kwenye gunia!

  Samahani wakubwa,mi ni mwl katika mkoa wa dodoma tz na nafundisha katika shule ya kata na nina degree yangu ya elimu niliyoipata last year.nimesoma vizuri mliyoandika na kama nimewaelewa,mnazungumzia posho za vikao, Kwanzia nimeanza kazi sijawahi kwenda kwenye semina wala washa yoyote na na km...
 9. T

  Wapenzi wa Muziki: Hivi umbo la mwanadada Besta ni mchina au...!?

  Yes yutong,waweke picha tujadili vizuri
 10. T

  Could I have this KISS FOREVER?

  I love ths song very much na nakumbuka niliucrem wakati nipo form 6 nilipoagana na mpz wng kwani alikua anaenda mkoani kusoma.tht time nilikua nasoma jiteute na yeye alikua anaondoka kwanda musoma a'level.till leo,ni wimbo tunaoupenda na tunauimba siku zote tukiwa pamoja. Thanx kwa...
 11. T

  Binti na mama mkwe

  Safi sana na kama ningekuwa mme m2,na nikasikia anampa mama madonge hayo,Ningempa zawadi ya ushindi usiku huo.
 12. T

  Jamani budget inasemaje kwa wanachuo elimu ya juu boom up or?

  Ni kweli kuwa u mwanafunzi na maisha ya chuo ni magumu,we knw tht na ninamdogo Wng namsomesha mwenyewe udsm na hana mkopo bt thanx to her anajua kuwa maisha yakoje,anajibana sn na maisha yanakwenda,najua boom kazi yake kubwa ni kujirusha tu,naishi dodoma na naona kipindi wanachuo wanapoekewa...
 13. T

  Bunge la bajeti 2011/2012 na yatokanayo

  Katika hy tri 4 za maendeleo,nazo zinategemea msaada wa wahisani ili mambo yaende na cha ajabu kuliko yote,miundombinu wanataka tri 3. Na humo kuna barabara,reli,bandari na viwanja vya ndege.reli pekee inaitaji zaidi ya tri 1,hv hii nchi yangu inaenda wp jamani,yaani ni maajabu na cha...
 14. T

  Mambo ya MDUARA lahaaa sana

  Hamuuuummmm.......yaaaaa!?
 15. T

  Love in time of torture

  Its very interesting story and kwa watu wanaojua kupenda,ths is the true love
Top Bottom