Ahsante mheshimiwa Zitto, lakini huyo ni mbuzi kwenye gunia! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Ahsante mheshimiwa Zitto, lakini huyo ni mbuzi kwenye gunia!

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by W. J. Malecela, Jun 16, 2011.

 1. W. J. Malecela

  W. J. Malecela Tanzanite Member

  #1
  Jun 16, 2011
  Joined: Mar 15, 2009
  Messages: 13,609
  Likes Received: 1,896
  Trophy Points: 280
  @ Facebook: by William Malecela on Wednesday, June 15, 2011 at 10:57pm

  @ NEW YORK CITY - USA: Ujira wa Wabunge wetu wanapokuwa bungeni kutuwakilisha wananchi, je ni mkubwa sana kuliko uwezo wetu Nationally, au ni just another political stunt aiming at gaining temporary political populism? I mean Mh. Zitto anahitaji heshima kwa kuibua hii debate, lakini at the same token ni haki yetu wananchi kuuliza maswali magumu on the ishu ili tusiishie kuuziana mbuzi kwenye magunia. Binafsi ninasema kwamba I am very troubled na this ishu of what exactly is the logic behind it on Mheshimiwa's side, kwa sababu toka isemwe nimejaribu kuangalia what is the long term to our National interest on it to no avail kabisa , WHY? Tanzania ndio kwanza tumetoka kwenye siasa za the Doomed Communism, we are still in the transition or work in progress towards Capitalism and then kabla hatujaenda mbaali sana recently kumekua na vilio vya kutaka kurudi kwenye Azimio La Arusha na the so called maadili ya uongozi, now here comes this which in the large picture ni kupunguziana ujira makazini. Hapa ndipo huwa ninauliza hivi: Hili taifa tulilogwa na nani?


  - People, look here I don't care what, haya ni mambo ya kurudishana tulikotoka yaani kwenye maisha ya Usawa usawa nonsense ambayo ndio yamelifkisha hili taifa hapa tulipo! I mean kama kiongozi mmoja ameamua kwamba hela anazolipwa ni nyingi sana kwake hazihitaji tena, great azichukue na kupeleka kokote anakotaka, lakini trying to make a National policy out of it ni misguided thinking na the answer is NO! Wa-Tanzania tumetoka mbali sana na matatizo ya ujira makazini, taifa letu limepoteza wataalamu wakubwa sana waliobobea kwenye fani mbali mbali Duniani kwa sababu ya kuogopa kwao kufanya kazi Tanzania kisa cha ujira mdogo sana kulinganisha na ujuzi walionao ambao sisi as a Nation tuliuhitaji sana, ni only miaka ya karibuni ndio pole pole tumeanza kuwa na National progress on ujira infact mpaka sasa we can claim having a Middle Class, ambayo ni simply the results of ajira zenye ujira nafuu makazini. Sasa why now throw this Mheshimiwa Zitto's thing in the mix? I mean ukianza na posho za wabunge leo, kesho utaanza kuingilia Madakitari, sasa where would you draw the fine line na standards za ujira? Ndio maana ninasema kwamba the idea ni only temporary political populism stunt, lakini haina anything good on the long term and permannet National interest na itaishia kutukimbizia wananchi wataalamu as it has done in the past, ambao hili taifa tunawahitaji sana sasa kuliko wakati wowote mwingine toka tupate uhuru.


  - Tulipoingia siasa za vyama vingi as a nation, tulikubaliana kimsingi kwamba Viongozi wetu wa taifa tuwalipe kulingana na hali halisi ya maisha, ili kuwaondoa kwenye tamaa za Rushwa, huenda Mheshimiwa hakuwepo wakati huo au alikuwa mdogo sana kiumri, lakini anapaswa kuelewa kwamba huo ujira uliwekwa kwa sababu za kimsingi sana zilizojali maisha ya Viongpozi wetu kama sisi wananchi wengine wote, ambao in the wake of ujira mdogo wakati tunalitumikia taifa inaweza kutupelekea kufanya maamuzi mengi against taifa kuelekezea kwenye matumbo yetu zaidi kwa sababu ya ujira mdogo sana kutoka kwenye taifa letu wenyewe tunalolitumikia usiku na mchana. Hakuna taifa Duniani lililopata maendeleo kwa haraka sana kwa kupounguza ujira wa Viongozi wake wa Taifa, na if the point ni political symbolism zaidi then wananchi wa chini twafwa, kwa sababu ni lazima upunguze ujira wa kila sekta katika taifa, huwezi kuishia kwenye Wabunge tu. Na the worst of all the idea inapanda mbegu za kuanza kuongozana kwa kutumia mob rule au mob justice in the process badala ya natural justice ambayo ni hatari sana kwa our future National political Stability, yaani hii ya kiongozi yoyote kukurupuka tu na misguided hojas bila hata kuki-consult chama chake cha siasa, wananchi tuzikatae siasa za namna hii kwenye taifa hatuzihitaji kabisaa, ndio maana tuna sheria ya vyama vya siasa.


  :- Kwa hayo yote ninasema hivi Mh. Zitto hongera sana kwa uamuzi wako, lakini tafadhali sana uishie kwako tu, usituuzie hili taifa mbuzi kwenye gunia!- tunataka kwenda mbele sio kurudi nyuma tena tulikotoka, ukiweza pigania kuongezeka kwa ujira makazini lakini sio kupunguzwa kwa sababu at the heart ya hoja yako ni kusonga mbele kwa kurudi kinyume nyume which is impossible!


  William Malecela @ New York City; US.
   
 2. M

  Moelex23 JF-Expert Member

  #2
  Jun 16, 2011
  Joined: Oct 8, 2006
  Messages: 497
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  Mkuu William, I beg to differ. Issue iliyopo sio remuneration, but ALLOWANCE.

  Nakubali mishahara iongezwe, lakini scale ziwe wazi na madaraja yote yaongezwe, lakini POSHO (ALLOWANCE) za vikao zifutwe. Huwezi kumpa boss random power ya kujiongezea kipato kila anapojisikia. Yaani sasa hivi kwenye maofisi ya serikali, bosi anaitisha vikao kama 10 kwa siku average time 10 mins kila kikao, na anapata posho TEN TIMES, in just 1 day. HAPANA, hii ndio sababu TZ sasa hivi kutwa ni warsha, semina na kila upuuzi ili mradi watu wale posho. Yaani almost 10% ya budget posho!!!, HAIWEZEKANI.

  Zitto anataka posho ya vikao iondolewe bungeni, sababu huko ndiko chimbuko la huu upuuzi. Ukiondoa posho bungeni, then serikalini AUTOMATICALLY nako Zitaondoka.

  Sasa hivi kama BOSS Hakupendi, unakosa posho, hapa nguvu zihamishiwe kwenye SALARY, ili maboss wasiwe na hii power dhidi ya watumishi walio chini yao.

  Ahsante mkuu
   
 3. W. J. Malecela

  W. J. Malecela Tanzanite Member

  #3
  Jun 16, 2011
  Joined: Mar 15, 2009
  Messages: 13,609
  Likes Received: 1,896
  Trophy Points: 280
  - Mkuu heshima yako sana loong time, kama nimekusoma vizuri sana, una ishus mbili moja ni ya mabosi na power ya posho, pili ni kwamba posho iondolewe kote mapaka serikalini, hapo ndipo ninapopata tatizo, sasa ukiondoa hizo posho bungeni itabidi uondoe kwenye kila sekta za taifa, ambayo naiona kuwa ni National disaster, kuanzia politically mpaka economically, kwa sababu sasa unaondoa competition makazini na unawafukuza wataalamu wetu wazawa, wananchi wakikosa motisha ya kuyafanyia kazi mashirika yetu kama ilivyokuwa zamani, tutarudia kule kule tulikotoka yaani taifa la kwanza Duniani kuwa na Viwanda vya Sigara na Bia visivyoingiza faida!

  William @ NYC, USA.
   
 4. M

  Moelex23 JF-Expert Member

  #4
  Jun 16, 2011
  Joined: Oct 8, 2006
  Messages: 497
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  Mkuu William, tunaongelea kitu kimoja.

  Issue yako ni kuwa ibaki hivi

  Total Compensation = Salary +Sitting Posho + Sitting Posho + .........

  Mimi nasema Total Compensation = A good Salary.

  Kwa hiyo Mishahara iongezwe nchi nzima, na SITTING ALLOWANCE ZIFUTWE KWENYE JAMHURI NZIMA.
   
 5. Zing

  Zing JF-Expert Member

  #5
  Jun 16, 2011
  Joined: Jun 24, 2009
  Messages: 1,780
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 0
  Mkuuu na mm hii ndo Idea yangu.

  Watu tunaona wabunge wanapata posho au mshahara mkubwa sababu kiwango wanachopata hakiendani na kiwango wanachopata watedaji wengine wenye majukumu sawa au zaidi na wao. Nimeliandika kwenye uzi mwingine kwa nn mbunge mazidi take home salary

  • Afisa Elimu wa mkoa au wilaya
  • Mganga Mkuu wa mkoa au wilaya
  • Mhandisi wa mkoa
  • Afisa kilimo/mifugo/Misitu wanyapori wa mkoa
  • RPC au DSO
  So bunge linatakiwa kuhaikisha standard za salary a watumishi wa umma zinaendanana majukumu na wajibu na scope. Na kwamaoni yangu mshahara wa mbunge unatakiwa kuwa chini au sawa na hao watuniliowataja

  Otherwise kilimo kwanza ni wimbo tu lakini tunachofanya ni siasa kwanza. Serikali inatakiwa kuhaikikisha naondona kasumba ya kufanya politics ndo best paying career.
   
 6. VUVUZELA

  VUVUZELA JF-Expert Member

  #6
  Jun 16, 2011
  Joined: Jun 19, 2010
  Messages: 3,106
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 135
  Private sector inajitegemea na iko out of question here! Hakuna haja ya politicians ama wananchi kuingilia makubaliano kati ya employer na employee... how much the employer wish to compensate the employees hiyo will be non of our business au bunge's business. Kama CEO wa Majembe auction Mart Inc. analipwa $ 5 Million a month so be it.
  Lakini when it comes to tax payers monies hapo wananchi ama congressmen kama Zitto na January Makamba wanayo haki ya kucontrol unnecessary spending kama hizo sitting allowances, wabunge mzigo wa viti maalum, safari za mkuu wa kaya zisizoisha, etc.
  Yankees 9 Texas Rangers 4! Go Yankees!!
   
 7. Mzito Kabwela

  Mzito Kabwela JF-Expert Member

  #7
  Jun 16, 2011
  Joined: Nov 28, 2009
  Messages: 17,507
  Likes Received: 1,683
  Trophy Points: 280
  Mkuu@NYC, USA, Lukuvi jana wakati anahojiwa na Gabriel Zakaria TBC alikiri mwenyewe kuwa concept ya posho ambayo Chadema wanaipigia kelele iko sahihi. Na yeye akasema wanachopinga ni kuwa Zitto ameipersonalize,kwamba hoja sio kaanzisha yeye ila imeanzishwa na serikali.
  Msimamo wa serikali ni kupitia upya mfumo wa kulipana posho ili kuwe na tija serikalini. Na hii itaenda sambamba na mkakati wa serikali wa kupunguza matumizi yake.
  Kwa hiyo Mkuu @NYC, USA kimantiki serikali imetambua kuna tatizo kwenye ishu za posho kwa hiyo hukuwa na ulazima wa kupinga.
   
 8. W. J. Malecela

  W. J. Malecela Tanzanite Member

  #8
  Jun 16, 2011
  Joined: Mar 15, 2009
  Messages: 13,609
  Likes Received: 1,896
  Trophy Points: 280
  - Mkuu mimi ninakataa kabisaa kufutwa kwa anything kuhusiana na ujira unaotambulika kisheria, infact mimi ninasema hivi kama inawezekana uongezeke na iwe kila sekta katika taifa, siasa kuingilia uchumi ndio imetufanya hili taifa kudumaa na kufikia hapa tulipo, mambo ya uchumi waachiwwe wana-uchumi, kama the right hand wants to know what is on the left, basii si ni suala la kuuliza the left hand kwanza!

  - I mean hivi tunataka kurudi kwenye zile enzi mbunge anasota kama sisi wananchi hana kitu na yeye ni kiongozi wetu? Na infact the way I see this ishu ni kwamba tunataka kurdia kule kule kwenye mawazo ya kwamba kiongozi mzuri lazima awe masikini, ideology ambayo haikutusaidia hili taifa kabisaa, infact ndio ime-create mafisadi!


  William @ NYC, USA.
   
 9. Nyambala

  Nyambala JF-Expert Member

  #9
  Jun 16, 2011
  Joined: Oct 10, 2007
  Messages: 4,470
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 135

  Mkuu William suala la posho is just a messy serikalini na linahitajika kuwa resolved now, imagine mpaka invitees (wasiop wafanyakazi sehemu husika) kwenye mikutano yao wanalipwa posho. Say wewe una idea ya kuendeleza utalii ukaenda kuiuza hiyo wizarani wanaconvene mkutano kujadili na wewe unaitwa kutoa ufafanuzi. Mwisho wa siku na wewe unakunja bahasha!!!!! Watu wanaattend morning meeting kabla ya kuanza kazi, wanalipwa posho ya kikao. Mabosi hawaonekani ofisini kisa wako kwenye mahoteli kadha wa kadha ya kitalii kuendesha vikao ili wapate posho.

  To be frank hata ukisema mfano katibu mkuu wa wizara, kamishna, waziri na ile executive yote ya wizara uipe avg ya mshahara wa USD 60,000 a year utakuwa umeokoa hela nyingi sana kuliko kwa utaratibu uliopo.

  Pia mkuu kumbuka hii ni nchi mama wajawazito hospitali ya Ilala wanala kwenye sakafu, wht about Nkasi?
   
 10. W. J. Malecela

  W. J. Malecela Tanzanite Member

  #10
  Jun 16, 2011
  Joined: Mar 15, 2009
  Messages: 13,609
  Likes Received: 1,896
  Trophy Points: 280
  - Well, Mh. Zitto angekataa au angefanya whatever he wanted na posho zake, lakini nina haki ya kuwa na tatizo kuhusu the whole ishu, huko nyuma Wabunge walikuwa hawalipwi ipasavyo, matokeo yakawa Wabunge kutokuwepo kwenye vikao, Wabunge kutojali kazi zao maana ni lazima wakahangaike mtaani, Wabunge wakanza kula rushwa kuliko kipimo, as taifa tukakubaliana kwamba hawa viongozi wetu tusipowalipa ipasavyo, hawatatutumikia wananchi ipasavyo!

  - Well ningeelewa kama ingshauriwa kwamba mbunge anayekaa tu bungeni bila kushiriki activelly na wenzake kuwakilisha wananchi kwa viwango flani, asilipwe may be!, lakini kuwaondolea anything, ninapinga sana kwa sababu ni njia rahisi sana ya kurudishana kwenye njia za kijamaa jamaa, Serikali ibuni njia za kujiongezea kipato ili kulipia ujira unaofaa kwa Wabunge, lakini la kuipunguza sitaki kabisaa kusikia ninasema ni misguided na haina faida yoyote kwa the future ya ujira na taifa letu!


  William @ NYC, USA.
   
 11. W. J. Malecela

  W. J. Malecela Tanzanite Member

  #11
  Jun 16, 2011
  Joined: Mar 15, 2009
  Messages: 13,609
  Likes Received: 1,896
  Trophy Points: 280
  - Mkuu wangu una hoja nzito sana, lakini basically naona kama unaongeelea serikali kuwa na sound supervision na utakelezaji wa sheria zake, maana sheria za kuwabana hao unaowasema zipo, lakini hazifuatwi wala kusimamiwa sasa hali haliwezi kuwa kosa la viwango vya ajira unless kama siajkuelewa lakini otheriwse una hoja nzito sana mkuu!

  William @ NYC, USA.
   
 12. t

  tumwe273us Member

  #12
  Jun 16, 2011
  Joined: Aug 26, 2010
  Messages: 43
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Samahani wakubwa,mi ni mwl katika mkoa wa dodoma tz na nafundisha katika shule ya kata na nina degree yangu ya elimu niliyoipata last year.nimesoma vizuri mliyoandika na kama nimewaelewa,mnazungumzia posho za vikao,
  Kwanzia nimeanza kazi sijawahi kwenda kwenye semina wala washa yoyote na na km mjuavyo,mshahara wa mwl nchini kwetu tz,ni mdogo hata nesi mwenye certificate anamzidi mwl mwenye bachela.so issue hapa ni kuongeza mishahara na kupingza au kutoa kabisa hizo posho.hatuwalindi wafanyakazi (dr,eng,au waadhiri) kwa kuwalipa posho nzuri,la wakubwa mbali kwa kuwalipa mishahara mizuri.motisha unayoizungumzia si kwa kulipana posho ila ni kwa kulipana salary nzuri.
  May be niulize swali wakubwa,wakati tunatafuta kazi tunatafuta sehemu wanayolipa posho nzuri au wanapolipa mishahara mizuri!????let be honest to each other.
  Pro shivji alisema hv"mwl akipewa mshahara wa laki km nane na kuendeleea,hata chini ya mti anaweza kufundisha watoto na wakafaulu"so motivation makazini si posho za mawasha na masemina mbali ni mishahara mizuri kwa wafanya kazi.
  Nimezungumzia walimu km mfano kwani huku ndiko niliko.
  Nawakilisha
   
 13. kinepi_nepi

  kinepi_nepi JF-Expert Member

  #13
  Jun 16, 2011
  Joined: Aug 16, 2007
  Messages: 870
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 0
  Allowances: Ex-German president warns govt
  [TABLE="class: cms_table_contentpaneopen"]
  [TR]
  [TD="class: cms_table_contentheading, width: 100%"]Allowances: Ex-German president warns govt [/TD]
  [TD="class: cms_table_buttonheading, width: 100%, align: right"][/TD]
  [/TR]
  [/TABLE]

  [TABLE="class: cms_table_contentpaneopen"]
  [TR]
  [TD="class: cms_table_createdate"]Wednesday, 15 June 2011 23:46 [/TD]
  [/TR]
  [TR]
  [TD]

  By Polycarp Machira
  The Citizen Reporter

  Dar es Salaam. The debate on allowances paid to civil servants took a new turn yesterday when former German president Horst Kohler warned the government that its image was at stake.Prof Kohler said in Dar es Salaam that donors were closely monitoring the debate, adding that it might end up tarnishing the government's image before development partners if it was not handled properly.Responding to a question during a dialogue at Movenpick
  Hotel, he said the debate did present a good picture of the country's expenditure priorities.

  Prof Kohler said it was not in order for a country like Tanzania, which received substantial assistance from donor countries, to set aside huge sums as allowances for government officials, who were also being paid salaries. Giving an example of his own country, he said: "In Germany, such officials have to foot their own
  bills while attending official duties." He added that payment of allowances was not a proper way of spending taxpayers' money.

  Prof Kohler said at the Maendeleo Dialogue, organised by Konrad Adenauer Stiftung (KAS) and the Tanzania Development Initiative Programme (Tadip), that Western countries were likely to react once they had all the facts on the allowances debate.

  He spoke as debate on allowances paid to public officials raged. Opposition MP Zitto Kabwe last week said he would not accept allowances during Parliament's ongoing Budget sitting in Dodoma. The Kigoma North MP said parliamentarians and government officials did not deserve to be paid allowances as they went about their official duties.

  Prof Kohler urged the government to uphold transparency and accountability.Prof Kohler noted that Tanzania had made great strides in development, but added that a lot more needed to be done to promote the rule of law, saying this would enhance the public's trust on the government.

  The former Head of State, a well-known proponent of Western development assistance for African countries, said only the people, leaders and government can bring about real change in Tanzania.

  Speaking on the theme of "Cooperation and Solidarity – Opportunities for International Social Market Economy", he said there were variations among countries, making the dream of a global social market unlikely in the near future.

  On the road to the new Constitution, Prof Kohler said it was necessary to bring in national
  values in the envisaged law. He said the process was an opportunity for Tanzanians to discuss values to be incorporated in the Constitution, noting, for instance, that the German constitution opened up with the line "Dignity for human being is untouchable."

  While praising Tanzania for steps taken towards development, Prof Kohler said the country had numerous long-term development plans that should be implemented to accelerate growth."It is not only important to discuss visions but you should also reflect on implementation. Let accountability prevail such that leaders are held accountable for promises they made," he said.

  Bank of Tanzania (BoT) governor Benno Ndulu said Tanzania had for a long time faced the challenge of balancing what the government and the private sector ought to do.

  He said the government had the important role of complementing the positive impact of the private sector.
  "The government should put in place infrastructure that supports private sector initiatives to boost growth as well as improve institutions that stand for property rights and resolve disputes," Prof Ndulu said.

  Another panelist, Dr Camilius Kassala from the Institute of Finance Management (IFM), said many African leaders would do only what is practical even if it was unethical.

  He noted that a social market economy should be inclusive and provide for accountability.
  Dr Kassala urged the government to facilitate the private sector's participation in the market, adding that freedom of market must be matched with social justice.
  [/TD]
  [/TR]
  [/TABLE]

   
 14. s

  sem2708 JF-Expert Member

  #14
  Jun 16, 2011
  Joined: Nov 4, 2010
  Messages: 3,092
  Likes Received: 503
  Trophy Points: 280
  Posho zoote nchini kote zitolewe,na mishahara ipandishwe kulingana na ngazi husika.posho posho posho ni mwanya mkubwa sana wa mabosi kuiibia serikali...
   
 15. Lole Gwakisa

  Lole Gwakisa JF-Expert Member

  #15
  Jun 16, 2011
  Joined: Nov 5, 2008
  Messages: 3,962
  Likes Received: 403
  Trophy Points: 180
  I quite agree with you there William,hawa vijana waliopata umaarufu hawajui taifa hili limetoka wapi.
  Idadi ya ma Engineer, Madaktari na wataalamu wengi tu waliotimkia nchi za nje kwa sababu moja tu-mishahara midogo nafikiri Mh Zitto hili halijui.
  Atalijuaje wakati hata uzoefu wakazi kwake ni bungeni tu?
  Ni vizuri kealipa watu vizuri na kuwawajibisha katika utendaji.
   
 16. Pukudu

  Pukudu JF-Expert Member

  #16
  Jun 16, 2011
  Joined: Jan 7, 2011
  Messages: 2,970
  Likes Received: 735
  Trophy Points: 280
  kelele za wananchi wengi ni ukubwa wa posho na marupurupu za wabunge ukilinganisha na mishahara ya proffessionals ka madaktari, walimu, mahakimu n.k. tena sasa hii imereflect hadi serikalini watu kukaa tu hata kupitisha maamuzi ambayo ni part and parcel ya majukumu ya ajira zao walipwe? Mkuu tutafika kweli? Analipwa posho kwa kuwa Dodoma tu! Then akiingia tena analipwa nyingine kwa nini basi asilipwe akiingia na kuchangia maana wengine wanaenda kuzomea na kushangilia! Mi naona suala la posho lianishwe kinagaubaga ili liwe wazi, wapi posho zinatakiwa na kwa scale ipi, na ni vikao vipi posho itolewe hapo kidooogo kutakuwa na ahueni
   
 17. s

  sem2708 JF-Expert Member

  #17
  Jun 16, 2011
  Joined: Nov 4, 2010
  Messages: 3,092
  Likes Received: 503
  Trophy Points: 280
  JK make a mark,FUTILIA MBALI POSHO ZOOOTE,TUTAKUKUMBUKA KWA HILI!
   
 18. Kaunga

  Kaunga JF-Expert Member

  #18
  Jun 16, 2011
  Joined: Nov 28, 2010
  Messages: 12,590
  Likes Received: 796
  Trophy Points: 280
  Mimi nafanya kazi kwenye inter NGO, na naimani wengi humu wako kama mimi; tunalipwa per diem ukiwa nje ya kituo chako cha kazi, but never any fu..ing sitting allowance when having meeting at our work place!

  Tunaona coz tunafanya kazi na halmashauri za wilaya jinsi gani au vikao vya maana vinashindwa kufanyika kisa hakuna pesa za sitting au kipindi pesa wamepata vikao vinakuwa vingi vingi ambapo vinaleta maswali zaidi!

  Watu wote including serikali (baada ya kushauriwa for ages na ILO na mashirika mengine) waboreshe mishahara na si kufidia ufinyu wa mshahara kwa miposho; ili hata wakati wa kustaafu mafao na pesa zilizowekwa kwenye mifuko ya kijamii km NSSF yanakuwa Makubwa kdg!

  Watu hawakimbii nchi kwa kuwa posho ndogo, Bali mishahara midogo lkn sababu zingine ni pamoja na application ya walichosoma wana sayansi zaidi; kwani linchi letu linawekeza kwenye siasa zaidi kuliko science!
   
 19. W. J. Malecela

  W. J. Malecela Tanzanite Member

  #19
  Jun 16, 2011
  Joined: Mar 15, 2009
  Messages: 13,609
  Likes Received: 1,896
  Trophy Points: 280
  - Unajua mkuu Lole, I am very troubled na majibu ya viongozi wengi wa siasa kuhusu hii hoja wengi naona wanajikanyaga kanyaga tu bila kuelewa what is at stake, hasa kwa taifa kwa sababu katika Demokrasia ya kweli hugusi ujira wa Wabunge tu, ni lazima ufike kwenye kila sekta na the big picture question inatakiwa kuwa vipi wataalamu wetu ambao siku hizi wanarudi nyumbani kwa wingi toka nje kwa sababu ya mabadiliko ya ajira nyumbani je watakubali kubaki na marekebisho ya hizo ajira kama hoja ya Zitto inavyosimama?

  - MUCH RESPECT MKUU!


  William @ NYC, USA.
   
 20. Kaunga

  Kaunga JF-Expert Member

  #20
  Jun 16, 2011
  Joined: Nov 28, 2010
  Messages: 12,590
  Likes Received: 796
  Trophy Points: 280
   
Loading...