Recent content by tumsifukisiki

  1. tumsifukisiki

    Korea Kaskazini leo wameogopa kufanya majaribio ya silaha

    kila siku kabla ya kulala lazma nfanye maombi maalum kwa ajili ya tz na marekani vivaaa america piga hao mmbwa
  2. tumsifukisiki

    Niko na cold war na mpangaji mwezangu. Nifanyeje??

    Fanya kwanza majaribio ya silaha zako kwa jirani mwingine
  3. tumsifukisiki

    Kafa kaoza kwangu lakini muathirika wa UKIMWI

    labda nikuulize..je yeye majibu ya vipimo vyako aliyaona? kwa sababu nadhani angeyaona asingaliendelea kukusumbua maana lazma ayaonee maisha yako huruma pia.
  4. tumsifukisiki

    Nilichokutana nacho jana Temeke sina imani na wanawake wa Dar

    ndo mambo nsiyopendaga jf haya ...mtu huelezei sehemu yenyewe vizuri unaeleza tuu jujuu sasa ntapajuaje?
  5. tumsifukisiki

    Arusha: Mahakama yatupilia mbali rufaa ya mawakili wa serikali kwenye kesi ya Lema

    MPIGA RAMLI WENU SOON ATAACHIWA ...NA AKIBASHIRI TENA UJINGA TUNAYE HADI AKOME.
  6. tumsifukisiki

    Kigangwala kuairisha kutaja Mashoga

    BORA TUU KAKA EBU MAFUNDI WAKAE VIZURI URUDI UBADILISHE UPEPO WA DAUDI BASHITE
  7. tumsifukisiki

    German defence minister resigns in PhD plagiarism row

    DAUDI BASHITE DAUDI BASHITE MTAPINDA MIDOMO KWA KUMTAKA MAKONDA APATWE NA MABAYA WENGINE HATA KUWAPIGIA WAZAZI WENU SIMU KUWASALIMIA MUDA HAMNA MMEKALIA TUU DAUDI BASHITE ...MWENZENU NDO KWANZA MUNGU ANABARIKE WAJINGA NYINYI
  8. tumsifukisiki

    Nini hutokea na kupelekea risasi kupungua madhara kutokana na umbali?

    SIKILIZENI NYIE MLOKIMBIA PCM..IKO HIVII RISASI INASUKUMWA NA HOSE POWER INAYOITWA HOLLY POWER OF DIGEST THE CONJECTION AMBAYO INAWEZA KUVUTANA NA HEWA KWA MFANO WEWE UNA MAMA MDOGO WAKO AKAJA LAKINI SIKU HIYO ANAPENDA SANA MSOSI OF THE GRAVITY INAWEZA KUKIMBIA UMBALI KWA MFANO KAMA UMEKASIRIKA...
  9. tumsifukisiki

    Hivi kwanini gredi C students wanafanikiwa sana maishani?

    MIMI NILIPATA DIV FIVE 5...LAKINI NINA MADUKA MAWILI NA MBUZI THEMANINI KWANI CHETI NI NINI BWANA PIGENI KAZI ACHENI UBISHOOO
  10. tumsifukisiki

    Natafuta mke mwenye vigezo hivi

    WEWE UNA MIAKA 40 UNATAKA 25...UKO SAWA KWELI WEWEEE UJANA WAKO UMEKULA NA NANI HADI UZEE UJE UTUHARIBIE WATOTO ... NDO MAANA NASEMAGA ELIMU INAWAPA MATATIZO BAADHI YA VIJANA ...SASA MIAKA 40 UNAOA UNAKAA KWENYE NDOA MIAKA 3 NDO FIRST BORN AKIANZA CHUO KIKUU WEEE UNATEMBELEA MKONGOJO AKIOA AU...
  11. tumsifukisiki

    Makonda, onesha Vyeti vyako halali wanaokutuhumu waaibike

    JAMANI HIVI WATANZANIA MUMEKUMBWA NA NINI?..CHETI CHA MAKONDA WEWE MWANANCHI WA KAWAIDA KULE KARUME AU TANDIKA KINAKUHUSU NINI?KINAKUSAIDIA NINI? NA MIMI HAPA NAONGEA MH.RAISI KAMA ATAIONA COMENT YANGU....ASICHUKUE HATUA YOYOTE DHIDI YA MH.MKUU WA MKOA KWA NI UKISIKIA KOOO UJUE...
  12. tumsifukisiki

    Kwa wale wenye umri wa miaka 50 na kuendelea unakumbuka jiji la Dar mwaka gani?

    SAA NYINGNE NAOMBA TUWE NA AKILI SASA SISIS TUNAJADILI MAMBO YA MAENDELEO MTU MWINGNE ANALETA HOJA ZA NYUMBA MIAKA HIYO ATA SIJAZALIWA ZINATUSAIDIA NINI...JADILINI MAMBO YA MAENDELEO NA SIYO KUDUMAZA AKILI ZENU..MAMBO MEMA KAMA KUMSIFIA MH.RAIS KUNUNUA NDEGE MPYA ,KUJENGA RELI,ELIM BURE,MIKOPO...
  13. tumsifukisiki

    Milton Mahanga: RC Makonda jisafishe na kashfa hii au jiuzulu

    NASEMA HIVI ISIJE IKATOKEA MKANIONA MIMI MNOKO AU NINA ROHO MBAYA HUMU JF...SITAKI NA NASEMA SITAKI KUSIKIA MAMBO YA AS.GWAJIMA HUMU KWA SABABU YULE NI MTUMISHI WA MUNGU SASA NYIE KAMA HAMNA YA KUJADILI NI BORA MKALALE AU MKANUNUE MAHARAGWE YA MBEYA MLE...ONGEENI YOTE LAKINI HAYA NASEMA...
Back
Top Bottom