Natafuta mke mwenye vigezo hivi

NAOMBA NISIJIBU HII HOJA YAKO KWA KUWA HUELEWI KIINI CHA TATIZO!! MWANAMKE HUWA ANATAMANI NDOA KABLA HAJAIPATA, AKIISHAOLEWA THAMANI YA NDOA HUSHUKA!! HII NI KULINGANA NA YALIYONIPATA PAMOJA NA UCHUNGUZI WANGU USIO RASMI!!!
Ndoa hujengwa na wote wawili... Yaani Mwanamke na Mwanamume.... Kila mmoja ana roles za kufanya.... Je, wewe kwa upande wako una uhakika kuwa ulikuwa unatimiza yakupasayo? Au ni kukagua tuu makosa na mapungufu ya mwezi wako?
 
Tatizo wanaume mnageuza ndoa inakuwa mzigo ndio maana wanawake wengi wanachoshwa na ndoa, huwezi ukaacha uvumiliwe wewe tu, nani atakaye mvumilia yeye?
 
Ndoa hujengwa na wote wawili... Yaani Mwanamke na Mwanamume.... Kila mmoja ana roles za kufanya.... Je, wewe kwa upande wako una uhakika kuwa ulikuwa unatimiza yakupasayo? Au ni kukagua tuu makosa na mapungufu ya mwezi wako?
Kama ingekuwa hivyo maandiko yasingesema,mwanamke mjinga huibomoa ndoa yake kwa mikono yake yeye mwenyewe!! Hii inamaanisha kuwa mwanamke ana sehemu kubwa katika uhai wa ndoa.
 
WEWE UNA MIAKA 40 UNATAKA 25...UKO SAWA KWELI WEWEEE UJANA WAKO UMEKULA NA NANI HADI UZEE UJE UTUHARIBIE WATOTO ... NDO MAANA NASEMAGA ELIMU INAWAPA MATATIZO BAADHI YA VIJANA ...SASA MIAKA 40 UNAOA UNAKAA KWENYE NDOA MIAKA 3 NDO FIRST BORN AKIANZA CHUO KIKUU WEEE UNATEMBELEA MKONGOJO AKIOA AU KUOLEWA WEEE NDO HADI USHAKUWA CHIZIIII,,,...ZAENI MAPEMA ACHENI UBISHOOO
 
Kwa maana yako wewe mwanamke wa miaka 25 ni mtoto?Acha kudhalilisha jinsia ya watu ndiyo maana sisi tunaowaheshimu tumewapa heshima yao!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom