Kigangwala kuairisha kutaja Mashoga

Kigangwala kuairisha kutaja Mashoga

Eeh kwani vepee? Ulikua unatishia kujamba wakati unaarisha? Tulikua tunajua jeuri hiyo huna, maana huko bungeni wamejazana kama kumbi kumbi, naona wame ku steve nyerere na wewe ,unataka kumuiga makonda,mwenzio kaaga yule shauri zako
96cec6d6b35907c3e91ec825db5bcbbb.jpg
Kwahyo umeona raha mwenyewe...
 
Hehehe ati sababu za kiufundi, yeye alikua kachukua uamuzi wa kufanya jambo la kijinga sana. Dr mzima anakaa anaumiza kichwa na elimu yake yote, anaishia kuamua ngoja akataje mashoga kwenye press conference. Hehehe! hadi naona aibu aisee, watanzania tumekuaje?

Kutangaza mashoga ili iweje sasa? wao nao ni watu wanatakiwa wahakikishiwe usalama wao, kuwataja wakitafutwa na extremists itakuaje? Kama kuna sheria ya kudeal na mashoga then wafuatwe kimya kimya wawajibishwe. Kuuza sura kwenye TV kwa hawa wanasiasa kunakera wamekua ka watoto wa chekechea wanalilia uji.
Exactly kuna vitu vya msingi sana vya ku deal navyo Tanzania tuna matatzo makubwa sana hususani upande wa afya kwanini asijikite kutatua chanjo mahospitalini hakuna!! Poor Tz
 
Huyu naye asije akasema mwenyekiti wa chama Ni hivo, akaongeza na mfanyabiashara Fulani.Hawakawii masifa ya kutafuta umaarufu.
 
Anaogopa maana na yeye anatumia vyeti feki
 
Eti due to technical problem!This country is so funny
 
Kuna uzi humu unaozungumzia jinsi Kigwangala anavyotumia jina si lake kwa kupora nafasi ya mtu mwingine kwenda kusoma
Nadhani anahofia yaliyo mkuta Daudi Bashite
 
Watu wana full data, hadi msosi uliokula jana, we dogo jishaue tu. Watatia mchanga kitumbua chako hicho!!!
 
"kwenye kampeni mliahidi kulinda miknd ya wanaume"?
Mange kimambi
 
Pengine hilo lingekuwa jambo la kipuuzi kupata kutokea katika hii dunia..

Mtu anajitangaza kwenye mitandao na wewe unamtaja tena mbele ya wanahabari..huoni kama ndio unamtangazia biashara vyema?

Katika jamii hata kutaja neno shoga tu ni jambo la aibu.. Sasa waziri sijui alifikiria nini??

Kwanini asiwakamate wakafunguliwa mashtaka bila kiwaongezea umaarufu??
 
Duh ilihitaji ufundi gani kuandika tu kwa mkono, potelea mbali hata angekosea majina ... Ingejulikana tu. Au kaogopa nini
 
atakuwa kakatazwa na watu wenye akili kuwa aachane na huo ujinga alotaka kufanya watu walioungaunga vyeti wana matatizo sana
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom