Recent content by Tumbo Chura

  1. Tumbo Chura

    JamiiForums Tanzania Mdogo wangu Nusrat Hanje, kama uko 'serious' ujasiri mkubwa ni kufanya hivi

    Chadema walifanya uchaguzi Mdogo wa wabunge lin?
  2. Tumbo Chura

    JamiiForums Tanzania Waziri Bashe tambua wewe ndiye Yusufu wa Biblia, tafadhali usimpotoshe mfalme

    Korosho ni bora ulime kunde ..tuu
  3. Tumbo Chura

    JamiiForums Tanzania Ulaghai wa wakoloni

    Dini ni njia nyingine ya kuhakikisha tunatawalika kirahisi.
  4. Tumbo Chura

    JamiiForums Tanzania Msaada: Jinsi ya kwenda (kujilipua) Ireland au European countries kwa ujumla

    Asee nami ninahangaika kuingia US, Canada, Norway na Finland. Nimecheza Sana Dv lottery, Na Express entry ya Canada Ila bado.huu ni mwaka wa tatu sijatimiza ndoto zangu. Ingawa elimu yangu iko chini Sana.Nina diploma ya famasia. Kama kuna connection yeyote ile niunge asee. Nitakushukuru Sana.
  5. Tumbo Chura

    JamiiForums Tanzania Mdogo wa mke wangu (binti) amenidharau na kunitukana mbele ya mke wangu

    Ningemkanda yeye na dadaake
  6. Tumbo Chura

    JamiiForums Tanzania Dkt. Mwakyembe Kuongoza Uchunguzi Malalamiko ya Mtihani wa Law School

    Kuna Pharmacy council nayo ni Jipu saaana.
  7. Tumbo Chura

    JamiiForums Tanzania Pongezi kwa jeshi la polisi, mafanikio ya operation PANYA ROAD mitaani tunayaona

    Hakuna mapatano na mtu anayeua
  8. Tumbo Chura

    JamiiForums Tanzania Ijue sababu Kuu ya kwanini Injinia Hersi Said aliambatana na Haji Manara kwenda kumuomba Radhi Rais wa TFF Karia

    Nishaona neno inasemekana, nasikia, nimeambiwa najua hakuna kitu hapo.
  9. Tumbo Chura

    JamiiForums Tanzania Nchi inapitia wakati mgumu kuwahi kutokea. Gunia la mahindi limefika Tsh 180,000

    Wewe ulitaka ununue bei gani? Jiulize ulishawahi kulima? Mbolea unajua unauzwa bei gani? Unajua mbegu ya mahindi inauzwaje? Unajua nguvu kazi ya kulima sasa gharama imepanda kiasi gani? Ifike hatua mtuonee huruma wakulima. Yaan tunahangaika kulima Ila mnanunua kwa bei chee tena kwa masimango...
  10. Tumbo Chura

    JamiiForums Tanzania Ninamkumbuka mwanamke niliyeachananaye japokuwa nilishaoa tayari

    Kaa utunze wanao,hilo limbwata litaisha nguvu polepole tu.
  11. Tumbo Chura

    JamiiForums Tanzania Kuna tofauti kubwa kati ya kutafuta mke/mume na kutafuta mpenzi

    Ila mbona mara nyingi mpenzi ndio hupanda daraja na kuwa mke? Kuna ndoa nyingi tu zilianza kwa mmoja kusema ngoja niwe nae kwa muda wakaishia kwenye ndoa. Kwa uhalisia mahusiano ya sogea tukae,yaani kuishi kinyumba kimya kimya halafu wakaja kubariki ndoa baadae,hudumu zaidi kuliko hizo za...
  12. Tumbo Chura

    JamiiForums Tanzania Mitego mahiri ya kunasa warembo

    Nimecheka kweli,sasa mkuu kwa mtindo huu banda litajaa kweli? Vipi kuhusu mayai,hakuna waliotaka kukaanga,kuchemsha au hata kuondoka nayo?
  13. Tumbo Chura

    JamiiForums Tanzania Wanawake tumekuwa tukiwaweka wanaume kwenye ‘friend-zone’, sasa wamekuja na hii

    Huwa natumia long range kwa ajili ya matumizi ya muda mrefu,nina mipango ya muda mfupi na mingine endelevu,marafiki zangu asilimia kubwa wakija mkoa ninaoishi kwa sasa iwe wamekuja kwa semina,msiba au harusi lazima wanitafute tudumishe urafiki wetu. Kuna mmoja walizinguana na Mme wake akaja...
  14. Tumbo Chura

    JamiiForums Tanzania Wana JF yamenikuta ya huyu binti mwenye mtoto, tafadhali naombeni ushauri

    Piga chini huyo atakutesa maisha yako yote,tuliza moyo jitahidi kufikiria kwa kutumia kichwa cha juu mkuu ukikifatisha cha chini kitakuponza
Back
Top Bottom