Wanawake tumekuwa tukiwaweka wanaume kwenye ‘friend-zone’, sasa wamekuja na hii

Mi huwa nawakubalia kinyonge waniweke friend zone huku nina jambo langu moyoni,akiniamini kama rafiki anaanza kuniambia kasoro za mtu wake nazifanyia kazi yaani kama hamjali mi ninajitahidi kumjali,yaani najitahidi kumfunika aliyenae,mwisho wa siku lazima aliwe kimasihara na akiingia kwenye JamiiForums' Community Engagement Guidelines | Mwongozo wa Ushiriki kwenye Mijadala zone yangu hachomoki,nina rafiki zangu wa kike walishaolewa hata waume zao wananifahamu na mke wangu anawafahamu ila tukipata upenyo tunapasha kiporo.
Mkuu hiyo ni long range. Yaani kichwa cha chini kinasubiri tu?, yote ya nini wakati kuna short range and you can hit on target easily.

Sent from my SM-A107F using JamiiForums mobile app
 
Huwa natumia long range kwa ajili ya matumizi ya muda mrefu,nina mipango ya muda mfupi na mingine endelevu,marafiki zangu asilimia kubwa wakija mkoa ninaoishi kwa sasa iwe wamekuja kwa semina,msiba au harusi lazima wanitafute tudumishe urafiki wetu.

Kuna mmoja walizinguana na Mme wake akaja kwangu nikamfariji na kumpa pole za kutosha,siku namsindikiza kwenda kwao aliniambia anajuta kwa kuniweka friend zone amekuja kugundua mi ni type yake wakati na mi nimeshaoa.
 
Hi guys,

Kikawaida na mara nyingi mwanaume ndio wanakuwa wahanga wa kuwa friendzoned na wanawake ambao wana hisia nao za kimapenzi. Na wanawake tunayo tabia ya kuwa friendzone wanaume ambao wameshaonesha hisia za kimapenzi kwetu lakini hatujavutiwa nao kama wapenzi.

Mbali na kuwakataa kama wapenzi tunaona they are obligated to keep being our friends na ikitokea tofauti basi unakuta tunaanza kulalamika “Fulani mbona siku hizi haunipigii, umenigaya siku hizi n.k”

Nimewahi kuambiwa kwamba mwanaume anayemweka mwanamke kwenye friendzone anaweza kuwa gay, sasa wanaume wakaamua kuja na "zone" yao ambayo ni fuckzone. Mwanaume ukiwa na hisia naye za kimapenzi na kama hakupendi yeye hakuweki friendzone (ni makosa) bali anakutupia kwenye fuckzone au anakuacha kabisa.

Akikuweka kwenye fuckzone kila mkikutana ni sex tuu lakini hakupendi na hataki ubaki kwake kama rafiki yake tu. Huwa inauma sana pale unampenda mwanaume lakini yeye anakuona kama fucking material, na sio mtu anayeweza kuwa na mahusiano na wewe.

Je, ulishawahi kumweka mtu kwenye frienzone licha ya kuonesha hisia zake za kimapenzi juu yako? Ipi ilikuwa sababu ya kutaka au kumfanya awe rafiki yako na sio mpenzi wako?

Je, ulishawahi kuwekwa kwenye friendzone na mwanamke au mwanaume unayempenda? Ulijisikiaje? Je, ulikubali kuwa kwenye friendzone au uliamua kumfuta kabisa kwenye maisha yako?

Vipi ulisha-fuckzone na mtu yoyote, ulijisikiaje ulipogundua kwamba hakuwa anakupenda? Na wewe kwanini uliamua kumweka kwenye fuckzone na siyo kumkubali kama mpenzi wako? Ipi ni mbaya kati ya friendzone na fuckzone?

Yangu hii, I met this guy licha ya kunionesha hisia zake juu yangu niliamua kumwomba awe rafiki yangu, he walked away with no further word, kwa kweli sikutamani kumpoteza nilitamani abaki kwenye maisha yangu, nikawa nampigia namtext hapokei wala hajibu until he told me he just couldn’t be around me because it was too painful. Nikajifunza kama simpendi mtu haina haja ya kumtaka awe rafiki yangu.

Karibuni.
Sometimes things are twisted than we think....

Hakuna urafiki kati ya ke na me.... ndiyo maana kila kukicha zinaletwa mada za unexpected sex humu.... my fellow girls na wamama these guys mara nyingi huweza kuwatumia wasichana au wanawake kukidhi haja zao bila kuangalia athari..
 
Huwa natumia long range kwa ajili ya matumizi ya muda mrefu,nina mipango ya muda mfupi na mingine endelevu,marafiki zangu asilimia kubwa wakija mkoa ninaoishi kwa sasa iwe wamekuja kwa semina,msiba au harusi lazima wanitafute tudumishe urafiki wetu.

Kuna mmoja walizinguana na Mme wake akaja kwangu nikamfariji na kumpa pole za kutosha,siku namsindikiza kwenda kwao aliniambia anajuta kwa kuniweka friend zone amekuja kugundua mi ni type yake wakati na mi nimeshaoa.
Kakumbuka shuka kumekucha
 
As a Man, I have a hard time trying to be friend with a girl I am sexually attracted to. Wakati huko namwona eti yupo na mwanaume mwingine na mimi nacheka tu?.

Kuna huyo mmoja aliniweka friendzone nikaachana naye. Kasikia nimeoa akaanza wivu na kujidai kaumia. Alidhani I would stay single and parsue her forever. Sasa hivi nimeoa na nimemweka kwenye fuckzone maana ndipo anapostahili.

Hongera braza kwa kujitambua
 
Mm ilishawai nitokea nilikuwaga kikazi mjini Dar es salaam mwaka juzi japo nimeoa kuna mdada nilimpenda sana nikataka awe mpenzi wangu mana upweke ulinizidi sana nilikuwa mbali na familia lakini yule dada alinikatalia katukatu cha kushangaza akawa ananiomba pesa mara Kwa mara nikaona nimpotezee tuu mana ataki niwe mpenzi wake Ila pesa yangu anaitaka hii no nonsense...
 
Mi huwa nawakubalia kinyonge waniweke friend zone huku nina jambo langu moyoni,akiniamini kama rafiki anaanza kuniambia kasoro za mtu wake nazifanyia kazi yaani kama hamjali mi ninajitahidi kumjali,yaani najitahidi kumfunika aliyenae,mwisho wa siku lazima aliwe kimasihara na akiingia kwenye JamiiForums' Community Engagement Guidelines | Mwongozo wa Ushiriki kwenye Mijadala zone yangu hachomoki,nina rafiki zangu wa kike walishaolewa hata waume zao wananifahamu na mke wangu anawafahamu ila tukipata upenyo tunapasha kiporo.
Unatakiwa kutiwa risasi ya mk#nd
 
Kuna baadhi ya Wanawake mnajitakia Tu
Kuna huyu dada mmoja yupo vizuri tu Ngozi laini ,Sura ya kitoto na figure nzuri tu ya kukufanya ugeuke nyuma kumtizama tena .Dada huyu nilikua namwonaga mtaani ninaoishi sema hatujawahi kusalimiana . Kuna siku akapata tatizo watu wa pale wakamuelekeza anitafute nimsaidie na hapo ndio ukawa mwanzo wa kuingia kwenye huba mimi na yeye mwanzoni alikua anakuja anafanya mambo yote pale geto na unapata na sex moja ya nguvu ikafika wakati nikapotezea michepuko yangu yote maana nilikua nawaona kama mbuzi tu wanaolitamani shamba langu aiseee lilikua ni kosa yule mtoto alivoona ameshaniteka akaanza mauzauza mara geto akija anawaza umpe simu aanze kujisnap kupika kwa manati demands zikaanza kuwa nyingi as a man nikachukulia kawaida ikafika kipindi anaeza akataka 50k Keshokutwa nyengine nikabuni mbinu ya kijasusi kukwepa vizinga hivi nikafanikiwa ,sometimes anaweza kwambia kuna mtu sijui ana range amenitongoza mara sijui kuna mtu anataka anipe iphone 13 namwambiaga tu fanya kitu nafsi inapenda ,ku cut long story short kuna siku binti huyu akavuka mipaka nikamuuliza mbona ana actions sizielewi akanitamkia kwamba zile house chores ndani hafanyi kwa sababu sikumtolea mahari nitafute vitu vya kutosha ndo atafanya hivo vitu nikasema sasa huyu hanijui yani kameanza kuona nakaelewa kanaleta drama nikasema kuanzia siku hiyo she will be the servant of my dick no feelings attached anisaidie kusogeza siku mbele nikamtafuta ex wangu mmoja nna bond nae sana shida naye mapenzi ya kihindi sana na nna rafiki angu mwengine yeye alisema tuwe friends with benefit tu hataki mahusiano nikapata nyongeza ya mashamba ya kumwagilia mbolea zaidi .Nisiwachoshe wapwa mpaka leo bi dada huyu nadate nae lakini ameshaanza kuelewa namchukuliaje namsubili aseme tu tubreakup japo anakaa anaamini nampenda sana sema nachomfanyia mm ni kumuonyesha ule upendo wa kimahusiano kwa sababu ndo mtu pekee aliye karibu yani hata ugwadu ukinishika saa 8 usiku naweza pata access yake …
 
Back
Top Bottom