Wana JF yamenikuta ya huyu binti mwenye mtoto, tafadhali naombeni ushauri

Wadau habari, poleni na majukumu.
Kilichonileta apa leo ni kuomba ushauri je nifanye nini juu ya hili,

Niliingia kwenye mahusiano na mwanamke mmoja ambaye alizalishwa na jamaa uko tunduma, mwanzo sikuwa naiona athari yoyote ya kuwa na mwanamke ambaye alizaa nikiamini kwamba sio wanawake wote waliozaa ni shida hasa likija suala la baby dady dramer, lililonipa nguvu zaidi ni pale baada ya mwanamke kunambia yeye alizalizaa tu na huyu mwanaume na hawezi kuwa na mahusiano yoyote ya kimapenzi na baba mtoto zaidi ya kumlea mtoto na ukizingatia uyu bwana ni mume wa mtu wa ndoa uko alipo na nilihakikisha hili.

Nimeishi pamoja na uyu mwanamke mwaka sasa, japo tangu mwanzo kulishatokea vitimbwi vingi sana mara kwa mara na nilivivumilia, ni mwanamke flani hivi ambaye alishapitia ujana mwingi sana, ninavyosema ujana namaanisha alishakuwa mwanamke wa kujirusha sana uko ma night club na kadhalika.

Mimi ni kijana mwenye kazi yangu nzuri tu, na kwa kipato changu nna uwezo wa kumtimizia kila hitaji atakalo uyu mwanamke na sio yeye tu hadi uyu mtoto wake ambaye c wangu, namlea mtoto wa mwanaume mwenzangu bila kinyongo ' msinilaumu kwa hili ni kwa upendo tu '.

Sasa shida iliyopo ni hivi,, kila nikizinguana na uyu mwanamke ata liwe jambo dogo tu na hata kama alinikosea yeye then kiume tu nika react kuonyesha kutopendezewa na hilo jambo alilofanya, basi siku hiyo baba mtoto atatafutwa kwa speed zotee, ataitwa dady nikutumie picha za mwanao umwone, dady tutumie pesa za matumizi tumeishiwa, dady iv dady vile..

Hali hii hutokea mara kwa mara kwa huyu binti, kuna nyakati nilichoshwa na huu mtindo wake 'inakera' na nilimuuliza so why kila tukiwa hatupo sawa unamtafuta uyu mtu alinijibu kuwa ata yeye haelewi ni nini huwa kinampata kufanya hivi, lakini ilijirudia hivyo zaidi ya mara 3 hata baada ya kumuuliza tayari na kunijibu kuwa ata yeye haelewi lakini siku zingine alirudia kufanya hivyo.

Ikafika wakati nilichoka, nikamwambia tu kuwa siwezi tena kuwa pamoja nae kwa sababu alimweka baba mtoto kama tishio kwangu, tuliachana kwa ghadhabu sana na kila maneno ya kumkatisha tamaa niliyanena kwake, lakini hakutaka kukubaliana na hili, nilimblock kila kona ya mawasiliano baina yetu, lakini alionyesha kujutia hili na kuni ahidi kuwa awezi rudia tena kufanya hivyo, wakati huo alinifuata adi ofisini bila uwoga wowote alianza kulia na kutia huruma, wafanya kazi wenzangu waliliona hilo na kunishauri kuwa nimpe tu chance nyingine. Basi kwa sababu tumeumbiwa huruma nilimhurumia na kurudiana nae.

Mwanamke ni mzuri tena bado ni mdogo tu, ajachakaa kiivo, nimemzidi karibu miaka 10

Sasa juzi kati tena apa umetokea ugomvi kati yetu mkubwa tu, alicharuka tu ghafla akinambia kuwa anahitaji niende nyumbani kwao nikaonekane ili nimchukue official kwenda kuishi nae, mimi nilimjibu kwamba asubiri asiwe na haraka, basi kujibu kuwa asiwe na haraka ikawa kosa, usiku huo baba mtoto katafutwa, dady mambo, jamaa kajibu poa, dady mimi nimechoka kukaa apa nataka kuondoka kama vipi tuje uko ulipo nitafutie mishe ya kufanya uko mimi apa nimechoka kuishi, au basi nipe pesa ya mtaji nianze biashara uko mbali na apa ' Aisee iliniuma sana na kujiuliza kapata wapi huu ujasiri tena wa kumweleza haya yote uyu bwana '

Mimi ni Afisa Katika Kampuni flani ya mawasilino, hivyo nimetrack simu yake huyu binti kila afanyalo katika simu yake naona, ule usiku alimtafuta sana jamaa ad kujaribu mara nyingi kumpigia lakini jamaa hakupokea simu, zaidi jamaa alimwandikia sms kuwa mbona unanieleza haya yote na hali nimesikia yupo mwanaume uko anayekutunza kwa kila kitu na matumizi anatoa, lakini akajibu kwa kushangaa kuwa hakuna mwanaume yeyote anayefanya chochote juu yake 'alinikana kwa jamaa ' , alinipigia simu nikapokea, nikamuuliza umefanya nini, akanijibu kuwa ajafanya kitu, nikamuuliza umewasiliana na nani na hayo yote uliyomweleza, akanijibu kuwa yeye amechoka kwa sababu nimegoma kujionyesha nyumbani kwao ili tukaishi pamoja, nikamjibu sawa kwaheri.

Nikamblock then program nayoitumia kumtrack nikai remote ifute kila kitu kwenye simu yake, na kweli cm ikawa formated, nilifanya hvo ili asiwe na kumbukumbu zangu zozote kwenye simu yake, ili iwe rahisi kwake kunisahau.

Alinitafuta kwa namba nyingine na kunambia hayupo tayari nitoke kwake kwa sababu bado ananipenda na kunambia kwamba pia sitoweza kutoka kwenye maisha yake, kauli hii ilinitisha kidogo, nikamjibu sawa ila hesabu kwamba mimi sitoweza kurudi tena kwako, TUMEACHANA. Aliwaambia dada zake wakaanza kunitafuta wakinisihi nisimwache mdogo wao bado ananihitaji kwa hasira nao niliwablock, kaka zake pia walianza izo habari nao pia nikawablock, wote nikawajibu kuwa sitoweza rudi kwa mdogo wao. Kama kawaida mwanamke anaonyesha tena hali ya kujuta mno, anaomba msamaha adi kero sasa, kila namba atakayoitumia kunitafuta sikujibu lolote zaidi niliiblock.

Kiukweli nimechoka na haya mapichapicha ninajuta tena kuingia kwenye mahusiano na huyu binti mwenye mtoto, dramer ni nyingi hasa za uyu baba mtoto pindi tukigombana, ni mjeuri, kuna wakati anayamiss yale maisha ya club japo nilimkataza akuna kwenda club na hakwenda, kuna tabia nyingi sana nilimbadilisha na tukaenda sawa, ata kuanza kuhudhuria nyumba za ibada.

SHIDA NI KWAMBA BABA YAKE MZAZI KANIPIGIA SIMU LEO, SIJAWAHI ONGEA NAE HUYU MZEE ZAIDI UWA NAMWONAGA TU KWA MBALI, ALIJITAMBULISHA LAKINI NIKAWA NIMESHAIFAHAMU SAUTI YAKE, MZEE ANANAMBIA BINTI YAO HAWAMWELEWI NI MNYONGE MNO, KULA HALI HAKUNA LOLOTE ANALOWEZA KUFANYA, WALIVYOJARIBU KUMBANA AMENITAJA MIMI NDO CHANZO, BABA ANANIOMBA NIYAMALIZE NA BINTI YAKE NA KWAMBA BINTI ANAONYESHA KUJUTIA SANA, MZEE ANANIOMBA MSAMAHA MIMI TENA!!! NA KUSEMA ANAFAHAMU KUWA YEYE AKUTAKIWA KUINGILIA LOLOTE KATIKA JAMBO HILI LAKINI ANANISIHI SANA NIYAMALIZE NA BINTIYE, AISEEEEEE!! MZEE KATIA HURUMA SANA NA NINAMHESHIMU SANA YULE MZEE DAAAH!!

SASA SIELEWI LA KUFANYA NA NILISHAISET AKILI YANGU KWAMBA SIMTAKI TENA UYU MWANAMKE, KWA HAYA ANAYOFANYA LEO VIPI KESHO NA KESHO KUTWA SI ATAZIDI KUJILENGESHA HIVIHIVI, MWISHO WA SIKU BABA MTOTO AMMEGE.

KWA SITUATION HII NAOMBENI USHAURI NIFANYE NINI?

Nawasilisha..........
Pole Sana Kaka angu inaonekana suala Hilo linakutatiza Sana nakukupa usumbufu mwingi katika maisha kaa ufikiria faida na hasara zakuwa na uyo mwanamke ukishachumbua angalia uzito uko wapi ndio uchukue maamuzi...baada ya apo unaweza nitafuta kwa msaada zaidi
 
Achane nae naludia achane mrudie mungu wako wewe si una mke wako .nakusihi tena achane atakwaribia maisha yako wahi kwenye madhabahu ya mungu ukoka mkuu.Usije ona unapendwa na ndugu zake uongo wanakulia timing ili uwe zezeta sasa ivi unapewa limbwata.
 
Piga chini huyo atakutesa maisha yako yote,tuliza moyo jitahidi kufikiria kwa kutumia kichwa cha juu mkuu ukikifatisha cha chini kitakuponza
 
Nilitaka nikupe ushauri lakini uliposema ni binti wa 2000.
Nikaufuta kabisa ushauri wangu.
Mkuu nasemajeeee"fata moyo wako unavyotaka".
 
Pole sana kaka , hongera kwa moyo wa kheri na huruma nyingi , ila kaka daima tenda mema usisubiri shukran za binadamu , maana utaumia sana na utashangazwa na binadamu pia , kwa yote uliyomfanyia,Mungu atakulipa ila usisahau tabia ni kama ngozi hivyo, haiepukiki kirahisi hivyo , unamuheshimu mzee wake ila isikurudishe nyuma kwa huyo shemeji , mpe go ahead tu , kama unajiweza pia mpe hata mtaji ili aendelee na maisha yake , ila si mwema kwako leo hata kesho.
Ni ushauri ni jukumu lako kuufuata au kuupuuza ,
Jioni .
 
Hakuna cha kwenda kwa mzee wala nini mwanaume ukiweka huruma nyingi kwenye mahusiano basi wewe huyawezi majukumu ya kifamilia
 
SASA SIELEWI LA KUFANYA NA NILISHAISET AKILI YANGU KWAMBA SIMTAKI TENA UYU MWANAMKE, KWA HAYA ANAYOFANYA LEO VIPI KESHO NA KESHO KUTWA SI ATAZIDI KUJILENGESHA HIVIHIVI, MWISHO WA SIKU BABA MTOTO AMMEGE.
Hahahaaaaa... Kwa akili yako unafikiri hajammega..... Anammega Sana tu we fatilia na ndio maana mkitibuana anamtafuta ili ammege na si ajabu kila anapotoka kwako anapata nafasi ya kumegwa na baby dady hahahaaaaa.... Wanawake ni wajanja Sana... Kikubwa we usikilize moyo wako ..... Ila kwa inavyoonyesha hata wewe huwezi kumuacha kabisa .... Amekukamata..... Ko chagua kusuka au kunyoa
 
Ila ki ukweli familia zimetofautiana mzazi anawezaje kumpigia simu mkwe wake ambaye hata nyumbani mtu hajatambulishwa.

Siku zote nasema mahusiano ni kusikiliza moyo wako kupima kina cha maji kikoje maana wewe ndo unayeishi na huyo mtu.Kubadilika ni tabia ya mtu haijalishi ataombewa msamaha mara ngapo kama ndani ya nafsi yake hayupo tayari kubadilika basi hata aombewe msamaha na kijiji kizima utapotokea mgogoro atafanya hayo anayofanya.
 
Mkuu!mkuu!mkuu! achana nae haraka sana huyo mwanamke nina kisa kinataka kufanana na wewe kidogo ila yangu makubwa unapoenda watakushika kiswahili yamenikuta mazito sana sana kwa masingle mama tena mimi mwenzako alikua double mama😂😂 dah dunia hii acheni tu
 
Wadau habari, poleni na majukumu.
Kilichonileta apa leo ni kuomba ushauri je nifanye nini juu ya hili,

Niliingia kwenye mahusiano na mwanamke mmoja ambaye alizalishwa na jamaa uko tunduma, mwanzo sikuwa naiona athari yoyote ya kuwa na mwanamke ambaye alizaa nikiamini kwamba sio wanawake wote waliozaa ni shida hasa likija suala la baby dady dramer, lililonipa nguvu zaidi ni pale baada ya mwanamke kunambia yeye alizalizaa tu na huyu mwanaume na hawezi kuwa na mahusiano yoyote ya kimapenzi na baba mtoto zaidi ya kumlea mtoto na ukizingatia uyu bwana ni mume wa mtu wa ndoa uko alipo na nilihakikisha hili.

Nimeishi pamoja na uyu mwanamke mwaka sasa, japo tangu mwanzo kulishatokea vitimbwi vingi sana mara kwa mara na nilivivumilia, ni mwanamke flani hivi ambaye alishapitia ujana mwingi sana, ninavyosema ujana namaanisha alishakuwa mwanamke wa kujirusha sana uko ma night club na kadhalika.

Mimi ni kijana mwenye kazi yangu nzuri tu, na kwa kipato changu nna uwezo wa kumtimizia kila hitaji atakalo uyu mwanamke na sio yeye tu hadi uyu mtoto wake ambaye c wangu, namlea mtoto wa mwanaume mwenzangu bila kinyongo ' msinilaumu kwa hili ni kwa upendo tu '.

Sasa shida iliyopo ni hivi,, kila nikizinguana na uyu mwanamke ata liwe jambo dogo tu na hata kama alinikosea yeye then kiume tu nika react kuonyesha kutopendezewa na hilo jambo alilofanya, basi siku hiyo baba mtoto atatafutwa kwa speed zotee, ataitwa dady nikutumie picha za mwanao umwone, dady tutumie pesa za matumizi tumeishiwa, dady iv dady vile..

Hali hii hutokea mara kwa mara kwa huyu binti, kuna nyakati nilichoshwa na huu mtindo wake 'inakera' na nilimuuliza so why kila tukiwa hatupo sawa unamtafuta uyu mtu alinijibu kuwa ata yeye haelewi ni nini huwa kinampata kufanya hivi, lakini ilijirudia hivyo zaidi ya mara 3 hata baada ya kumuuliza tayari na kunijibu kuwa ata yeye haelewi lakini siku zingine alirudia kufanya hivyo.

Ikafika wakati nilichoka, nikamwambia tu kuwa siwezi tena kuwa pamoja nae kwa sababu alimweka baba mtoto kama tishio kwangu, tuliachana kwa ghadhabu sana na kila maneno ya kumkatisha tamaa niliyanena kwake, lakini hakutaka kukubaliana na hili, nilimblock kila kona ya mawasiliano baina yetu, lakini alionyesha kujutia hili na kuni ahidi kuwa awezi rudia tena kufanya hivyo, wakati huo alinifuata adi ofisini bila uwoga wowote alianza kulia na kutia huruma, wafanya kazi wenzangu waliliona hilo na kunishauri kuwa nimpe tu chance nyingine. Basi kwa sababu tumeumbiwa huruma nilimhurumia na kurudiana nae.

Mwanamke ni mzuri tena bado ni mdogo tu, ajachakaa kiivo, nimemzidi karibu miaka 10

Sasa juzi kati tena apa umetokea ugomvi kati yetu mkubwa tu, alicharuka tu ghafla akinambia kuwa anahitaji niende nyumbani kwao nikaonekane ili nimchukue official kwenda kuishi nae, mimi nilimjibu kwamba asubiri asiwe na haraka, basi kujibu kuwa asiwe na haraka ikawa kosa, usiku huo baba mtoto katafutwa, dady mambo, jamaa kajibu poa, dady mimi nimechoka kukaa apa nataka kuondoka kama vipi tuje uko ulipo nitafutie mishe ya kufanya uko mimi apa nimechoka kuishi, au basi nipe pesa ya mtaji nianze biashara uko mbali na apa ' Aisee iliniuma sana na kujiuliza kapata wapi huu ujasiri tena wa kumweleza haya yote uyu bwana '

Mimi ni Afisa Katika Kampuni flani ya mawasilino, hivyo nimetrack simu yake huyu binti kila afanyalo katika simu yake naona, ule usiku alimtafuta sana jamaa ad kujaribu mara nyingi kumpigia lakini jamaa hakupokea simu, zaidi jamaa alimwandikia sms kuwa mbona unanieleza haya yote na hali nimesikia yupo mwanaume uko anayekutunza kwa kila kitu na matumizi anatoa, lakini akajibu kwa kushangaa kuwa hakuna mwanaume yeyote anayefanya chochote juu yake 'alinikana kwa jamaa ' , alinipigia simu nikapokea, nikamuuliza umefanya nini, akanijibu kuwa ajafanya kitu, nikamuuliza umewasiliana na nani na hayo yote uliyomweleza, akanijibu kuwa yeye amechoka kwa sababu nimegoma kujionyesha nyumbani kwao ili tukaishi pamoja, nikamjibu sawa kwaheri.

Nikamblock then program nayoitumia kumtrack nikai remote ifute kila kitu kwenye simu yake, na kweli cm ikawa formated, nilifanya hvo ili asiwe na kumbukumbu zangu zozote kwenye simu yake, ili iwe rahisi kwake kunisahau.

Alinitafuta kwa namba nyingine na kunambia hayupo tayari nitoke kwake kwa sababu bado ananipenda na kunambia kwamba pia sitoweza kutoka kwenye maisha yake, kauli hii ilinitisha kidogo, nikamjibu sawa ila hesabu kwamba mimi sitoweza kurudi tena kwako, TUMEACHANA. Aliwaambia dada zake wakaanza kunitafuta wakinisihi nisimwache mdogo wao bado ananihitaji kwa hasira nao niliwablock, kaka zake pia walianza izo habari nao pia nikawablock, wote nikawajibu kuwa sitoweza rudi kwa mdogo wao. Kama kawaida mwanamke anaonyesha tena hali ya kujuta mno, anaomba msamaha adi kero sasa, kila namba atakayoitumia kunitafuta sikujibu lolote zaidi niliiblock.

Kiukweli nimechoka na haya mapichapicha ninajuta tena kuingia kwenye mahusiano na huyu binti mwenye mtoto, dramer ni nyingi hasa za uyu baba mtoto pindi tukigombana, ni mjeuri, kuna wakati anayamiss yale maisha ya club japo nilimkataza akuna kwenda club na hakwenda, kuna tabia nyingi sana nilimbadilisha na tukaenda sawa, ata kuanza kuhudhuria nyumba za ibada.

SHIDA NI KWAMBA BABA YAKE MZAZI KANIPIGIA SIMU LEO, SIJAWAHI ONGEA NAE HUYU MZEE ZAIDI UWA NAMWONAGA TU KWA MBALI, ALIJITAMBULISHA LAKINI NIKAWA NIMESHAIFAHAMU SAUTI YAKE, MZEE ANANAMBIA BINTI YAO HAWAMWELEWI NI MNYONGE MNO, KULA HALI HAKUNA LOLOTE ANALOWEZA KUFANYA, WALIVYOJARIBU KUMBANA AMENITAJA MIMI NDO CHANZO, BABA ANANIOMBA NIYAMALIZE NA BINTI YAKE NA KWAMBA BINTI ANAONYESHA KUJUTIA SANA, MZEE ANANIOMBA MSAMAHA MIMI TENA!!! NA KUSEMA ANAFAHAMU KUWA YEYE AKUTAKIWA KUINGILIA LOLOTE KATIKA JAMBO HILI LAKINI ANANISIHI SANA NIYAMALIZE NA BINTIYE, AISEEEEEE!! MZEE KATIA HURUMA SANA NA NINAMHESHIMU SANA YULE MZEE DAAAH!!

SASA SIELEWI LA KUFANYA NA NILISHAISET AKILI YANGU KWAMBA SIMTAKI TENA UYU MWANAMKE, KWA HAYA ANAYOFANYA LEO VIPI KESHO NA KESHO KUTWA SI ATAZIDI KUJILENGESHA HIVIHIVI, MWISHO WA SIKU BABA MTOTO AMMEGE.

KWA SITUATION HII NAOMBENI USHAURI NIFANYE NINI?

Nawasilisha..........
I personally nashangaaga sana

Unakuta dada kama hivo hana hela, hana kazi, na ana mtoto kapata mtu wakumbebea shida zake y hatulii lakini daaah😅😅😅😅 waliosema “world is not fair’ hawakukosea🙌🏾🙌🏾🙌🏾
 
umekutana na kicheche, anachokimaanisha, siku usipompa anachokihitaji, akipata wa kumpa anakusaliti wewe
 
Asiye sikia la mkuu huvunjika guu,wamesema wengi nami nasema kwa maelezo uliyotoa hatuhitaji hata kusikiliza upande wa pili,huyo muache kama ulivyomkuta,na ukijitia mwenye huruma nayo huruma itakuponza na jamii itakucheka
 
Back
Top Bottom