Recent content by tumaini massawe

  1. T

    Waliohukumiwa miaka 13 na miezi 6 kesi ya EPA wameachiwa huru

    :angry:!!! hao ndio walio2ma wa2 wamchape mzee mheshimiwa jaji warioba!!!hii nchi 2naelekea kubaya!!
  2. T

    Kamati kuu ya Uchaguzi Simba yamuondoa Wambura katika mbio za kugombea Urais wa Simba SC

    :frusty:NINA HASIRA!! kwa nini wamchukie Wambura? kuna ajenda gani ya siri hapo? nijuacho ni kwamba"mti wenye matunda,ndio unaorushiwa mawe"
  3. T

    Kinana awagomesha wananchi kubomoa nyumba zao kupisha ujenzi wa barabara

    sio kila ki2 2napinga bila sababu za msingi wowote!! natamani nikupige :frusty:[VICHWA}!! Kinana yupo sahihi kabisa!! hakuna kuhama,mpaka wananchi walipwe,hajagomesha wanainchi,ila amewaambia,"wasikubali kubomolewa mpaka walipwe kwanza!!! ACHA UZUSHI WEWE!!!
  4. T

    Nimeumizwa na Mwanamke; sifikirii kupenda tena kwa sasa!

    :frusty: Wewew vipi? kipisi nini!!! ina maana wewe siku zote ulikuwa wanawake wote ni waongo?....natamani hata kukupiga vichwa!!! ina maana wewe unaanza kuwekeza kwa wanawake kabla haujawaonoa!! wewe mfupiii nini/
  5. T

    Makachero wa Kagame mbaroni Dodoma

    kajamaa{kagame}..iko akili mingi sana aisee!!!,:A S 465:...kana2vizia ka2chape!!!......inabidi 2muwahi 2mchape sisis kwanza!!!miaka inavozidi kwenda ndo kanazidi kujichimbia..ona,kampa uwaziri m2 ambae 2lidhani ni mtanzania,na alisoma bongo kwa fedha ze2..je?nae huyo ameondoka na...
  6. T

    Its Official: Polygamy is the law of the Land.

    :hat:Hiyo sheria imekaa poa sana aisee,hata huku TANZANIA inabidi 2iapply,maana,wanawake huku wajifanya wako juu sana kwa ajili ya yale mambo ya BEIJING!!matokeo yake wanawake sasa wawapa shida sana wanaume,,hata unyumba wa2 wanapewa kwa ratiba maalum.....BACK TO NATURE!!!
  7. T

    Mgomo wa vi-hiace na magari aina ya Costa mjini Moshi

    ....komaeni machalii'angu!!!! wanafikiri wa2 wa Moshi ni wa kuchezea....hiyo inaitwa MO-TOWN{mji wa wagumu} :hat:
  8. T

    Serikali yaridhia umeme kupanda Kuanzia January 2014!

    :A S 12: Du!! ama kweli,ninaamini kabisa,mpaka nije kuzeeka,i mean nikianza kuface miaka 50{uzee} hali itakuwa mbaya sana,na hakika,hapo ndipo 2takaposhuhudia,yaale maandamano ya TUNISIA!!! ujue hii ni noma 2pu!!! MOYO wangu umevunjika!!
  9. T

    Mbeya: Wananchi wenye hasira wachinja hadi kuua watoto wawili wa Diwani wa CCM

    Marehemu NESTA MARLEY{BOB}....aliwahi kutamka kwamba"BILA HAKI,AMANI HAMNA}....sasa iwapo kuna wa2 wanafikiri wanaweza kufanya chochote kwa kuwa wameiweka serikali pamoja na taasisi zake mikononi,hiyo imekula kwao mazima...jana sio leo,na kesho kamwe haiwezi kuwa leo........!!!:cool2:
  10. T

    Mangi aamua kupiga kiberiti nyumba yake mara baada ya kubaini mke anasaliti penzi lao

    huyu jamaa kiazi kwelikweli!! ni mchagga mwenzangu lakini ni kiazi!!
  11. T

    Reginald Mengi on Nape: Muache Mungu afanye Kazi Yake

    :bored:Tatizo lake anaongea kama printer"printer ikiwa inaprint,haijui ni nini kimeandikwa nadini yake!" naa, jamaa anatafakari baada ya kuongea,badala ya kuongea baada ya kutafakari"............"DOMO KAYA"
  12. T

    Nape: Gazeti la Mtanzania wamepotosha kuhusu kauli yangu!

    :bored:Tatizo lako brother NAPE....unaongea kama printer,i mean,printer inapoprint,haijui ilichoandika,yenyewe inaproduce tu!!!au kwa maana nyingine,"'badala ya kutafakari ndipo utamke,wewe unatamka ndipo unatafakari!!"...matokeo yake ndo hayo sasa!! KAMATA ULIMI WAKO BRO!!
  13. T

    Azzan: Nitajiuzulu ikibainika nauza dawa za kulevya

    :bored:Halafu kuna mbunge mmoja anaitwa a.k.a ZUNGU...hivi hilo jina lilitokana na nini,maana limnaendana na biashara yenyewe!!!.....naomba aulizwe histroria ya jina hilo!
  14. T

    U.S. tells Rwanda to immediately end support for M23 rebels

    Du!!!tall amebanwa!!!achapweeeeeeeeeeeeeeeeee!
  15. T

    Agizo la Pinda laitikiwa na polisi: Waua na kutelekeza maiti!

    ni kweli PINDA ni m2 hatari sana!!!lakini naomba kila m2 afikiri kwa kina hizi silaha wanazomiliki wa2 na kuzikodisha kwa majambazi,je zimeshamwaga damu kiasi gani za ngu ze2?,mimi nilishawahi kuvamiwa na majambazi usiku walikuwa na SMG!"SHUGHULI YAKE USOMBEE"mkeo au mumeo na watoto wako...
Back
Top Bottom