Matawana: Umeuaaaa.Tena aliposti vidotidoti tu.Kweli mshindo mkuu umesikika!Uwezekano wa kiongozi wa kitaifa mwenye akili finyu kama Nape kufikia umri wa uzee ni mdogo. Juzi juzi alisema kimya chake kina mshindo, kumbe mshindo wenyewe ni kuwatusi wazee.
Last edited by a moderator: