Makachero wa Kagame mbaroni Dodoma

Makachero wa Kagame mbaroni Dodoma

hakuna ukachero pale, watu wamekuja kupata sehemu kidogo la ile posho yetu ya laki 3 kwa siku kupitia sekta isiyo rasmi. (ukahaba)
 
1 kati ya magazeti yanayochochea uhusiano mbovu kati ya TZ na RWD n mtanzania na jamhuri
 
habari zingine hazina hata maana. kwa hiyo hao makachero wanataka kuingiza maslahi ya rwanda kwenye katiba mpya au?......! hahahaa, ukilaza nao.
 
Hakuna mjinga humu ndani wa kupotoshwa na habari zisizo na mashiko. Hata kama ni fools day basi kuna tofauti unapodanganya facebook ambapo hata "housegirl yupo" na unapodanganya JF ambako wasomi wa aina mbali mbali watu wenye reasoning power kubwa tupo. Kuna mambo mawili yanakinzana... "wameingia wakijihusisha na shughuli ya ukahaba" naamini kuna utaratibu wa kuingia nchini na vibali Tanzania hairuhusu biashara hiyo. Na sidhani kama hao wageni wangepewa vibali kuingia nchini kufanya hiyo biashara. Jipange tena mwakani siku ya wajinga kutoa post nzuri zaidi inayoendana na unaotaka kuwadanganya.
 
Si hao tuunajua watu wakagame wako wengi sana hapa na SMT inapaswa kuwa macho
 
kajamaa{kagame}..iko akili mingi sana aisee!!!,:A S 465:...kana2vizia ka2chape!!!......inabidi 2muwahi 2mchape sisis kwanza!!!miaka inavozidi kwenda ndo kanazidi kujichimbia..ona,kampa uwaziri m2 ambae 2lidhani ni mtanzania,na alisoma bongo kwa fedha ze2..je?nae huyo ameondoka na mangapi?..ok,kuna mjeda mm'ja nae alikimbia jeshi na kukimbilia kigali..je?nae kaondoka na cyndicate gani?na ni kwa nini na sisi 2sipeleleze yeye?..na viongozi we2 wapunguze uzinzi na ulevi,wanaacha wake zao home then wakifika huko wanafanya zinaa kama kawaida!!!lol!!
 
Weka picha ya hao warembo makachero wa kinyarwanda tuwaone. Haya mimi natangulia jamii photo kuziangalia hapa najua wataanza kuleta siasa kwenye picha.
 
Tuna kumbuka matokeo ya uchaguzi mkuu miaka kazaa iliyopita ilichakachuliwa kupitia mzee wa samunge sasa namchakachue na hili bunge la katiba tuwawaonyeshe wa tz tulivyo choshwa na hizo flush age zenu za kutuzurumu tumechoka nawabieni sawa.
 
Back
Top Bottom