U.S. tells Rwanda to immediately end support for M23 rebels

U.S. tells Rwanda to immediately end support for M23 rebels

Being patient and calm with maximum determination philosophy responses to any matter is only required than insult eruption that been shown out by our neighbor....how can we rate this?....:disapointed🙁over maximum confidence...)
What's behind...???

hamna kinachompa kiburi mkuu zaidi ya ushamba alionao wa kufikiri yeye ni mjanja kuliko mataifa mengine yanayomzunguka na hamna anayeweza kumshauri lililojema. Mbaya zaidi anashindwa kujua ni Tanzania hii hii anayoitukana ndiyo iliyobeba mzigo mkubwa wa wakimbizi wa kinyarwanda kwa miaka zaidi ya 10 tukiwavumilia wakituharibia mazingira yetu, kuchukua kazi nyingi ambazo zingeweza kufanywa na wazalendo, nchi kutumia fedha nyingi kwa ajili ya kufadhili elimu zao n.k . wakati huo kidteta kagame alikuwa akichochea vurugu na mauaji kutokea kwa mjoba ake m7. kagame njoo, come, tutakufundisha kilichomtoa kanga manyoya.
 
Godlisten i support u.....nashangaa baada ya kutoa pendekezo mhe Rais wa TZ kuwa waasi wa maziwa makuu wasikilizwe kwenye meza moja na govts zao....kesho yake Membe akatuma kikosi DRC sijaelewa mhe JK anahubiri Maji huku akinywa wine?tuache unafki kama kweli bwana mkubwa ulimaanisha kwanini utume jeshi Congo?

akili ndogo kama za bwana wako dikteta kagame, membe atume jeshi kongo yeye kama nani? JWTZ ilipelekwa DRC na UN kama sehemu ya kikosi cha umoja wa mataifa cha kulinda amani. JWTZ ipo DRC kisheria na wala si kwa kificho kama majeshi katili ya rwanda yanayojiita waasi wa m 23 yaliopo kongo kwa ajili ya uporaji na mauaji ya raia wasiokuwa na hatia, mwisho wenu unakaribia damu ya wanawake na watoto wasiokuwa na hatia mnayomwaga itawalilia muda si mrefu.Kutaneni na fldr ni raia wenzenu wa rwanda kama mlivyo nyie wapo fldr ambao wakati mauaji yanachochewa na dikteta kagame walikuwa hata hawajazaliwa, nao eti walihusika na mauaji ya kimbari! kweli dunia hii ina watu mufilisi.
 
Jasusi JokaKuu Kagame amejiweka katika wakati mgumu. Kama UN sec council imemtupia macho ajue siku zinakaribia.
Mwisho wa Kagame ni mbaya sana. Sasa hivi atakuwa bize na usalama wake kuliko kuivuruga EAC.
This is just the beginning of, kila uovu wa DRC atahusishwa nao. Kagame ipo siku ataungana na Charles Taylor the Hague.

kama atanusurika kifo.
 
Utasema sana ni story za vijiweni lkn ukweli nyie watutsi (tena nyie wa rwanda na uganda)mnaiba mali ya drc. Ulisema eti M23 ni wakongo..guy you are dreaming. Hao ni watutsi na walishiriki kuvamia rwanda kutokea uganda mkijiita rpf. Usidhani tabia zenu na yote mnayofanya huko DRC hayajulikani. Ngoja siku tuanze kuwasaka huku nchini kwetu tuwarudishe kwenu kwa sababu mshaanza vurugu huko karagwe na ngara. Na hivi kagame ameanza ujinga wa kumtukana Rais wetu Mh Kikwete, ile huruma tuliyo waonyesha miaka yote sasa hamna! Nyie sio watu kabisaaa..mrudi kwenu mkauane wenyewe maana ndo raha yenu watutsi kuona damu za watu zikimwagika..
Ninawasiwasi na uwezo wako wa kufikiri....am sorry,rwanda haitegemei madini ya congo hatamwara moja kama usingekuwa unapoteza muda mwingi kwenye vijiwe vya kahawa ungejua kagame alirudisha tani ngapi za gold na copper wakati zilivokamatwa zinatoroshwa kupitia rwanda....alafu we nani kurudisha watu?umemwonea nani huruma wewe?hivi kukurupuka kunafundishwa kidato cha ngapi?ndo maana tunatukanwa...tuache kukurupuka....
 
Not worth debating na mwendawazimu kama wewe,waulize wenzako waliokuwa na mawazo kama yako labda utajifunza kitu.

siku zenu zinahesabika, jiandaeni kurudi ukimbizini kama mlivyozoea maana nyie kuishi na binadamu wenzenu inaonyesha ustaarabu ni zero kabisa. Na mara hii sijui ni taifa gani litakalowapokeeni maana mmeshanyea kambi mchana kweupe!
 
USA anaunga mkono waasi wa Syria na anawapatia silaha ili waipindue Serikali ya Syria, mbona hao Human Right Watch sijawasikia waipinge USA silaha zake zinamwaga damu za wasyria, nyani haoni kundule?
Wana JF sio kama wanaunga mkono M23/Rwanda, sipendi unafiki wa USA hasa maslahi yake yanapoguswa.
Vile vile sisi wa-Tz hatutakiwi kuunga mkono vikosi kwenda Congo, mzozo wa Congo hauwez kutatuliwa kwa bunduki hata Yesu atakapo rudi, mzozo wa Congo utatatiliwa na wacongo wenyewe kukaa mezani na kujadili namna wote watakavyonufaika na raslimali za ile nchi, tusiwe mashabiki maandazi.

acha siasa za kizamani wewe ?
 
HIZO NI MBWEMBWE za mjaruo....alisitisha misaada ikaanzishwa AGACIRO uchumi wa RW umekua hata zaidi ya wakati ule kuna misaada,by the way hayo nisiongelee sana...hivi waasi wa Congo M23 na wale wa syria wanatofauti gani?mbona marekani unalazimisha sababu ya kuingia congo?maswala ya nani kamtukana nani mi simo ila concern yangu ni ...kama kweli kaka wa Taifa JK unaamini amani itapatikana kwa njia ya mazungumzo na si mtutu mbona umetuma jeshi.....??nauliza tu usinielewe vibaya
 
Mgogoro wa congo ni congolese wenyewe,waache kulaumu Rwanda maana theres no Rwandese single soldier in Congolese land,the only foreign military ndani ya congo ni monusco and genocidal FDLR ambao wanawasaidia congo kupigana na wapinzani wao M23,maimai etc story za majeshi ya Rwanda ndani ya congo kusaidia waasi or kuiba mineral is pure allegations and ridiculous at best,chinese and western companies wako busy kujichotea Congolese wealth huku Congolese wakiwa busy kuchinjana then Rwanda is the problem...kweli wajinga ndio waliwao.

kadanganye washamba, wauaji, mamluki na wenzako wenye hamu ya kuishi maisha ya ukimbizi kama wewe na si watu waliostarabika. Ni mara ngapi jeshi la DRC limeua askari wa rwanda waliovalia magwanda ya jeshi la rwanda na kutangazia ulimwengu bila jeshi au serikali ya rwanda kukanusha? zaidi ya kele za mfa maji jeshi la UN linashirikiana na fldr kuishambulia rwanda? rwanda si bora kuliko nchi nyingine na wala watusi siyo bora kuliko fldr
 
kagame kashakosea, nchi ambayo ingeweza kumlinda hapa ni Tanzania tu sasa katudhihaki, tutamfundisha adabu! kama anaitegemea kenya imekula kwake mazima! hamna rafiki mkubwa wa iddi amini dada kama alivyo kuwa mzee kenyata, lakini baada ya kunuka alimtelekeza kama inzi wa kijani.
ha ha ha haaaaa! Naam!
 
HIZO NI MBWEMBWE za mjaruo....alisitisha misaada ikaanzishwa AGACIRO uchumi wa RW umekua hata zaidi ya wakati ule kuna misaada,by the way hayo nisiongelee sana...hivi waasi wa Congo M23 na wale wa syria wanatofauti gani?mbona marekani unalazimisha sababu ya kuingia congo?maswala ya nani kamtukana nani mi simo ila concern yangu ni ...kama kweli kaka wa Taifa JK unaamini amani itapatikana kwa njia ya mazungumzo na si mtutu mbona umetuma jeshi.....??nauliza tu usinielewe vibaya

kweli wewe ni mtumwa wa dikteta kagame! kama hujui tofauti ya waasi wa syria na m23 we kweli ni mufilisi na mnywa damu za watu. DRC hamna waasi zaidi ya magenge ya kihuni ya watusi yanayofadhiliwa na serikali ya dikteta kagame.
 
HIZO NI MBWEMBWE za mjaruo....alisitisha misaada ikaanzishwa AGACIRO uchumi wa RW umekua hata zaidi ya wakati ule kuna misaada,by the way hayo nisiongelee sana...hivi waasi wa Congo M23 na wale wa syria wanatofauti gani?mbona marekani unalazimisha sababu ya kuingia congo?maswala ya nani kamtukana nani mi simo ila concern yangu ni ...kama kweli kaka wa Taifa JK unaamini amani itapatikana kwa njia ya mazungumzo na si mtutu mbona umetuma jeshi.....??nauliza tu usinielewe vibaya

sasa swali lipo wapi hapo? Alitoa ushauri mkamuijia juu mkidhani angeyala maneno yake!
Kama bado kuelewa, Tz imepeleka jeshi la kulinda (neutral) kuwa sehemu ya UN peace keeper na kurudisha amani kama ukichwa mgumu wa PK utaendelea, hawajaenda kupigana, ila mkitaka wapigane ili kuwalazimisha mkae meza ya majadiriano hivyo ndivyo itakuwa! JK alijua kuwa mwisho wake umefika na ktk kumsaidia PK na Mseven aliwapa option nzuri ambayo wangeizingatia na kuifanyia kazi wangeingia ktk list ya wapenda amani duniani kama 'Mandera' ingawa hawana hadhi hiyo ukizingatia mafuriko ya damu za watu waliyoyasababisha. Sasa kwa kuwa hata IQ ni limited PK akamkomea bila hata staha! Hiyo ndo ilikuwa anguko lake!
 
WASHINGTON | Tue Jul 23, 2013 3:06pm EDT

r

A M23 rebel trainer walks behind recruits during a training session at the Rumangabo military camp in eastern Democratic Republic of Congo, May 16, 2013.
Credit: Reuters/James Akena​

(Reuters) - The United States on Tuesday called on Rwanda to end support for M23 rebels in neighboring Democratic Republic of Congo, saying there was evidence Rwandan military officials were involved.

"We call upon Rwanda to immediately end any support for the M23 (and) withdraw military personnel from eastern DRC," State Department spokeswoman Jen Psaki said.

She declined to say whether Rwandan President Paul Kagame was implicated. "I wasn't speaking to Kagame himself," she added.

The call comes two days before U.S. Secretary of State John Kerry leads a special session of the United Nations Security Council on Africa's Great Lakes region.

Psaki said the concerns followed a "credible body of evidence" in a recent report by Human Rights Watch that said M23 rebels in Congo were to blame for executions, rapes and forcible recruitment of men and boys while receiving support from Rwanda.

M23 began taking parts of eastern Congo early last year, accusing the government of failing to honor a 2009 peace deal.

(Reporting by Lesley Wroughton; Editing by Doina Chiacu)

Source: REUTERS: http://www.reuters.com/article/2013/07/23/us-congo-demoncratic-un-idUSBRE96M0X620130723?rpc=401&feedType=RSS&feedName=worldNews&rpc=401

2. Yahoo! News UK & Ireland - Latest World News & UK News Headlines

Marekani haijawhi kushinda vita yoyote ile, Kagame wakazie hao mashoga.
 
Jasusi JokaKuu Kagame amejiweka katika wakati mgumu. Kama UN sec council imemtupia macho ajue siku zinakaribia.
Mwisho wa Kagame ni mbaya sana. Sasa hivi atakuwa bize na usalama wake kuliko kuivuruga EAC.
This is just the beginning of, kila uovu wa DRC atahusishwa nao. Kagame ipo siku ataungana na Charles Taylor the Hague.
Nguruvi3,

..kuna watu hawajali kabisa kwamba kuna wa-Congo milioni 3 wamepoteza maisha kutokana na vurugu za vikundi vinavyokuwa sponsored na Kagame na genge lake.

..hivi hakuna Mnyarwanda anayeweza kuongoza nchi hiyo bila kusababisha mauaji kwa wa-Congo wasio na hatia??

cc: Koba, RUTAJUMBUKIRWA, Jasusi
 
Last edited by a moderator:
siku zenu zinahesabika, jiandaeni kurudi ukimbizini kama mlivyozoea maana nyie kuishi na binadamu wenzenu inaonyesha ustaarabu ni zero kabisa. Na mara hii sijui ni taifa gani litakalowapokeeni maana mmeshanyea kambi mchana kweupe!
haha haa kelele kibao kumbe hakuna lolote,peleka pua yako Kigali for the name of kuikomboa congo na genocidals wenzako then ukimaliza rudi hapa uandike ulichoandika.
 
Ninawasiwasi na uwezo wako wa kufikiri....am sorry,rwanda haitegemei madini ya congo hatamwara moja kama usingekuwa unapoteza muda mwingi kwenye vijiwe vya kahawa ungejua kagame alirudisha tani ngapi za gold na copper wakati zilivokamatwa zinatoroshwa kupitia rwanda....alafu we nani kurudisha watu?umemwonea nani huruma wewe?hivi kukurupuka kunafundishwa kidato cha ngapi?ndo maana tunatukanwa...tuache kukurupuka....

Hiyo ni donganya toto! Yaani PK awafadhiri waasi wa DRC for nothing!!! Sasa anayeleta porojo za kijiwe ni nani hapa!
 
Hiyo ni donganya toto! Yaani PK awafadhiri waasi wa DRC for nothing!!! Sasa anayeleta porojo za kijiwe ni nani hapa!
Too bad mmekalia kuamini kwenye propaganda!
 
hamna kinachompa kiburi mkuu zaidi ya ushamba alionao wa kufikiri yeye ni mjanja kuliko mataifa mengine yanayomzunguka na hamna anayeweza kumshauri lililojema. Mbaya zaidi anashindwa kujua ni Tanzania hii hii anayoitukana ndiyo iliyobeba mzigo mkubwa wa wakimbizi wa kinyarwanda kwa miaka zaidi ya 10 tukiwavumilia wakituharibia mazingira yetu, kuchukua kazi nyingi ambazo zingeweza kufanywa na wazalendo, nchi kutumia fedha nyingi kwa ajili ya kufadhili elimu zao n.k . wakati huo kidteta kagame alikuwa akichochea vurugu na mauaji kutokea kwa mjoba ake m7. kagame njoo, come, tutakufundisha kilichomtoa kanga manyoya.

Tanzania imehifadhi wakimbizi wa Rwanda tangu mwaka 1959. Umesahau Watutsi walikuwa wanaishi kambi ya MWESE iliyoko Mpanda mkoa wa Katavi?? Mpaka sasa kuna baadhi bado wanaishi huko. Ndiko akina Koba, Murutongore, n.k. walizaliwa, wakala na kusoma bure kwa kodi za Watz na sasa wanajifanya wajanja! Kweli shukurani ya punda ni mateke.
 
Back
Top Bottom