Recent content by tulizo 2

  1. T

    JamiiForums Tanzania Serikali kukamata watu wote wanaoshabikia kanada na kuwatimua huko ndio dawa pekee nayohisi itafaa

    uzalendo my foot....ukweli utabaki kuwa ukweli, bora nionekane siyo mzalendo kuliko kuwa bendera .
  2. T

    JamiiForums Tanzania USAHIHI: Kilichotokea kati ya Juliana Shonza na Wabunge wa Upinzani kwenye viwanja vya Bunge, Dodoma

    kha kumbe alikuwa ameokoka akumbuke maandiko yanasema hakuna la litakalofichika, yaani yale ya sirini yatakuwa bayana ikiwa ni ya haki au siyo ya haki.
  3. T

    JamiiForums Tanzania USAHIHI: Kilichotokea kati ya Juliana Shonza na Wabunge wa Upinzani kwenye viwanja vya Bunge, Dodoma

    Nadhani wanasahau kuwa wabunge wa kuchaguliwa wameaminiwa na wakazi wa majimbo yao, kuwatoa bungeni kuumiza wakazi wa majimbo hayo na raia kwa ujumla. natamani watanzania wote wafuatilie wabunge wanaoshabikia au kusababisha wenzao kuwa nje ya bunge,hawa ndo wapinga haki za mwananchi wa kawaida...
  4. T

    JamiiForums Tanzania USAHIHI: Kilichotokea kati ya Juliana Shonza na Wabunge wa Upinzani kwenye viwanja vya Bunge, Dodoma

    kwa kweli hu kwa kweli, hata mimi ndo nimemsikia mweeee
  5. T

    JamiiForums Tanzania Tamko la serikali ya wanafunzi Chuo Kikuu cha Dar es salaam juu ya ripoti ya makinikia

    Hapo sawa maana ningeshangaa
  6. T

    JamiiForums Tanzania Hali tete Barrick Gold Mine huko Dominica

    tatizo la nchi hii kelele zitoke kwa njiwa zitasikilizwa zikitoka kwa bundi anazibiwa masikio yashakuwa mabaya ndo tunashtuka...
  7. T

    JamiiForums Tanzania Anachotafuta Makonda ni laana, anafokea maafisa Elimu

    Hapo ndo tujue kuwa hicho cheo kinahitaji elimu, maana angeweza kujaribu kupitia sababu zote zinazofanya mwanafunzi afeli badala ya kushurutisha maafisa elimu. Mwalimu hafurahii kazi mshahara haukidhi mahitaji ya msingi, hakuna michango, hakuna tuition.wanafunzi wanatoka mazingira magumu hata...
  8. T

    JamiiForums Tanzania Msomi Wakili Lissu, TLS ichukue hatua dhidi ya Wakili Msomi Albert Msando

    kama Msando hajavunja taratibu sidhani kama ni issue ya msingi sana,ataimaliza na familia yake na viongozi wake wa dini. raia wengine ikiwa hajawahi kuonyesha udhaifu ktk kazi basi tutaendelea kufanya naye kazi. wengi wanafanya aliyofanya na zaidi ya hayo tusikuze kwa sababau yeye ameonekana
  9. T

    JamiiForums Tanzania Mfumo wa wazazi kuchagua wenzi wa maisha kwa wanao ni suluhisho la kupunguza migogoro ya ndoa

    kiukweli hii tabia ni mbaya sana, na imeharibu maisha ya watu. mtu anajikuta anaoana na mtu ambaye wanshindwa kwenda sawa kimtazamo wa maisha kwa ujumla kisa wazazi walimpenda mke au mume, matokeo yake ni ndoa kuvunjika au kuishi kwa kukomoana na kudhorotesha maendeleo.wazazi jukumu la kuchagua...
  10. T

    JamiiForums Tanzania Ogopa namba hii 0713567596.

    Aponywe huyo maana sina hakika kama ni mzima .Anadhani hela zinaokotwa.!
  11. T

    JamiiForums Tanzania Shemeji?!nimebaki mdomo wazi!

    siyo busara hata kidogo kuwasiliana na mke wa rafiki yako bila sababu za msingi. mwambie wazi aache kabisa kuwasiliana na wewe labda tu kwa dharura tena inayojulikana na mumewe.
  12. T

    JamiiForums Tanzania Wapi nilipokosea

    kwa mtazamo wangu kuna mahali unakosea. nako ni kama ifuatavyo., 1. umeshirikisha watumishi wa Mungu ni vizuri sana lakini zaidi mshirikishe Rhoho Mtakatifu akufishe namna halisi ya kumjua mke wako na kukuwezesha kuishi kwa amani huku ukifurahia ndoa yako. biblia inasema, ' Enyi waume ishini na...
  13. T

    JamiiForums Tanzania When love is just not enough

    That is the only true love.
  14. T

    JamiiForums Tanzania Mtoto amepotea, msaada please

    ameeen
  15. T

    JamiiForums Tanzania Cikia hiyo

    he dogo unanichosha....
Back
Top Bottom