Shemeji?!nimebaki mdomo wazi!

Shemeji?!nimebaki mdomo wazi!

kaazi kweli kweli! Ukionja jiandae kunasa,mimi nitakuwa nakusubiria Amana hospital nikunasue,utanipa sh ngapi?
 
Mimi nafikiri shemeji yako ana tatizo na anahitaji msaada ila hajapata wa kumfunulia tatizo lake na kama mkiendelea kuchat huenda akafunguka.

Unaweza kuta mshkaji wako amepunguza uwajibikaji ktk mambo ya ndoa hivyo shemeji kazidiwa na hamna wa kummalizia kiu yake ambaye yuko karibu zaidi yako wewe.

Sasa! Tafuta namna umchape mara moja tu. Nasisitiza mara moja tu. Wakati ukigonga, mdodose tatizo ni nini alafu kama ni jamaa....uje utafute namna nzuri na yenye busara kumfikishia mshkaji ujumbe. Unaweza hata kujifanya wewe ulikua na tatizo kama hilo la kwake na ni kwa jinsi gani ulikua ukimkera mkeo.

Jamaa anaweza kufunguka kuwa na yeye ana tatizo hilo pia au akauchukua ujumbe kimyakimya na kujirekebisha. Tena mpe namna ulivyofanya kutatua hilo tatizo.

Hapo utakua umetenda dhambi takatifu na hauta hukumiwa maana umeokoa ndoa ya mshkaji.

Vinginevyo huyo shemeji atapeleka mzigo nje kwa mtu msie mfaham alafu kakawa ndio kamchezo akawa anagombaniwa kama mpira wa kona. Mkitoka nae anatoka kuipeleka, vijana wa kitaa wanairukia kinomanoma na mwisho wa siku waje kumgeuza kabisa....si unajua vijana wasivyo na simile watatest kila kitu.

Hapo utakua hujamsaidia mshkaj na pia wewe nawe utadharaulika kwa kutomshauri rafiki yako na mbaya zaidi kikisanuka jamaa anaweza hisi hata wewe utakua umegonga pia.

Bora lawama kuliko fedheha, chukua hatua. Chapa mzigo ila Mara Moja Tu!

Du, ushauri mwingine jamani!!

Haya; Baada ya kumshauri jamaa yake itabidi arudie mara 1 tu ili kujua kama msela kajirekebisha, na kama hajajirekebisha itabidi arudie mara ingine moja tu ili shemeji asije akaenda kwa wahuni. Mwishowe mapenzi motomoto.

Kaka achana na mke wa mtu, ni noma aisee.
 
Iliwahi kunitokea miaka ya nyuma sana lakini. Nilikuwa naishi M'nyamala kwa uncle wangu.Nyumba ya familia ya goalkeeper moja maarufu.
Sasa mke wa kipa huyo,ingawa ye na mumewe walihama nyumba ya familia,alikuwa akija na mawifi,na hata mama mkwe wake,walikuwa wakija kuangalia TV. Na kuna nyakati nyumba nzima nilikuwa nashinda peke yangu. Sasa
Mke wa jamaa alikuwa anatoka kwa mumewe anakuja na mikanda kuangalia. Si siku moja akaleta mkanda wa ngono! Nikamwangalia na urembo wake,ilikuwa ngumu lakini nilimtolea nje.

Mke wa Golikipa? Duh.....aisee wanaume mateso!
 
Hivi kwanini nyinyi wanaume mnakuwa wagumu kumwambia mtu stop kutuma sms za kipuuzi, nashangaa sana hata mume wangu utakuta sms za ajabu katumiwa na mijanajike isiyo na haya nae hamwambiii. Huo ni ujinga na kukaribisha majaribu ya shetani. Mchane live kuwa aache tabia za kishenzi.
 
We wakati unashangaashangaa mkeo anatafunwa na madereva bajaji huko mtaani. Huyo shemeji kishageukia kibra, piga mashine, sepa fasta! Ukiringa ataenda kuliwa na mwingine tu. Ana kiu huyo.
 
Mwanangu we kula uo mzigo chamsingi jamaa asijue ila kumbuka ukifanya nawe utafanywa kama si wewe basi mkeo
 
Ni mke wa rafiki yangu, kwa jinsi nilivyo karibu na jamaa, tunaheshimiana.

Kama kawaida huwa tunatania mara kwa mara, utani wa kawaida.

Kuna hizi sms za vichekesho ambazo baadhi yetu tumekuwa tukitumiana.Wiki iliyopita niliona sms imeingia kwenye simu yangu, nikasoma, ilikuwa ni ya vichekesho, Mwandishi wa sms hiyo liandika:

"Baba na wanae wanachinja beberu la mbuzi, baba akaondoa "p.u..bu".za beberu, akaweka pembeni, mara mbwa akaja akachukua zile "pu..bu". Watoto wakamuona wakaanza kumfukuza wakisema kwa sauti kubwa...weeee mbwaa acha "p.u..bu". za baba!!!! akauliza, Je, ungekuwa wewe ndio baba ungesemaje???

Moyoni niliwaza nani huyu amenitumia sms hii? nilifanya hivyo kwa kuwa ilikuja kwa namba tu bila ya jina la mtumaji. Ikanilaazimu kuuliza, nikaandika . I see, imetulia, lakini nani mwenzangu? nikajibuwa:

"We shem kumbe umepoteza namba yangu? haya bwana, lakini mimi ni mkeo ..."S" (akataja jina). Kwa kweli sikutegemea,ujumbe ule ukatoka kwa mwanamke unaemheshimu kama huyo shemeji yangu. nikamjibu tu "duh, sorry, nimepitiwa tu, tupo pamoja.....

Toka hapo akaanza kunitumia sms nyingi nyingi, mara ananisalimu mara za vichekesho mbalimbali. Kwa kuhofia pekupeku za ma mamsapu wangu kwenye simu, sms zote anazotuma za hovyo hivyo nimekua nafuta.

Leo amenitumia ambayo nimeshindwa kabisa kumwelewa, hii ni ya matusi ya nguoni, sitaweza kuyaanika hapa kama yalivyo, lakini ameandika:

" TAHADHARI,anaweza kuwa mumewe huyo amehisi kitu,labda amehisi mkewe anatembea na wewe,labda amekuwa anakuzungumzia mara kwa mara wanapokuwa pamoja. kiasi kwamba imemstua kwahiyo anatafuta ukweli ,siamini kama shemejio mnaheshimiana halafu akaanza ghafla kutuma sms kama hizo jaribu nawewe siku kumpa mwanamke hiyo namba aongee labda utaujua ukweli.
 
Ebwana achaaaa!, mumewe/mkeo akiona tu hizo msg alizokutumia ujue umeisha. Maana hawezi amini kuwa hamjafaanya chochote.
 
Mumewe akiona awe katuma yeye au wewe hata elewa hata huo urafiki wenu utakwisha labda awe na akili za ziada kama mimi ndio anaweza kuelewa hiyo situation.
 
mmh ningumu sana kukwepa km unaona anavigezo vyako km vp mpe dushelele... if u can km ndio unajari acha usithubutu au ndio nayeye muathika wa mechi za ulaya mume kuka baa sana wanashkaji mzee wakugegeda atamnyoosha huyo shemejio oohhoooh
 
siyo busara hata kidogo kuwasiliana na mke wa rafiki yako bila sababu za msingi. mwambie wazi aache kabisa kuwasiliana na wewe labda tu kwa dharura tena inayojulikana na mumewe.
 

" Kwa mujibu wa Shirika la Kazi Duniani, mfanyakzi bora kwa mwaka 2012 ni (akataja kiungo cha uzaji cha mwanaume), akaendelea ....hakuna kiungo kivumili kama (.......... )kiungo hiki kina kaa katika mazingira magumu, yenye giza na joto, kina weza kutumika popote, kwnye harufu, matope.....lakini hakilipwi...........

kaandika mengiiiiii lakini mwishoni kauliza, Je wewe mwenzangu unajali vipi (akataja) yako? unaonaje ukiipa zawadi siku ya leo kwa kuipatia (akataja kiungo cha uzazi cha kike) tofauti na iliyozoa?.

Nimesoma ujumbe huu zaidi ya mara 3 na Nimebaki mdomo wazi!! Duh, sikumtarajia!!,
Vip mrejesho,uliishia wapi na shem wako
 
Aisee kuna moja naye alinikuwa ananitumia msg za hivo halafu huwa najibu short maana naogopa mme wake akikuta msg za mwanaume mwingine atampa timbwili.
Ila namlia mingo kwanza
 
Back
Top Bottom