so trueNadhani JF pekee haitoshi, ni vyema wahusika wakatembelea vituo vya luninga ili kupata msaada zaidi pia waende na hiyo picha ili iweze kuonyeshwa na vituo hivyo. Naamini atapatikana mapema
mungu baba uliyeumba mbingu na nchi na macho yako yakimtazama kila mmoja,ambaye wajua hesabu hata za nywele zetu na uliyetuchora ktk vitanga vya mikono yako, ninaomba popote alipo mtoto benedicto tungaraza aweze kujitokeza kwa njia yoyote ile na arudi akaungane na familia yake,ninaomba malaika zako wamlinde na mabaya yote na aweze kurudi kwa ndugu zake salama,nashukuru kwasababu umesikia na utatenda,ktk jina takatifu la baba,mwana na roho mtakatifu. Amen!!!
pole sana mkuu, mungu ni mwema atajalia kheri...
Ameeeen!In Jesus Name, the name above all names mtoto huyo tuna-declare kwamba yuko salama na kwamba jama kuna namna yoyote ile mbaya basi ishindwe na mtoto huyu atarudi na kuungana na familia yake akiwa hai na mwenye Afya. Sisi tunamwamini MUNGU na MUNGU huyu ndie atakayemrudisha mpendwa wetu