Hali tete Barrick Gold Mine huko Dominica

Kila kwenye neema kuna fitna.

Ya kwetu ni madogo sana na tusiombee yakakuzwa kufikia laana ya mali.

Matokeo yanakuwa kama Iraq, Libya, Congo na hata ukifatilia vizuri vita ya wenyewe kwa wenyewe huko Angola. Na hapa kwetu yalitukuta kwa LONRHO, sakata la kuoneshana ubabe Nyerere na Tiny Rowlands (Unafikiri nani Aliumia? ).

Tukumbuke tu kuwa nchi za kimagharibi ukizinyima mgao wa mali hazikuwachi salama hata kidogo.

Wamesema wazi wazi "you're either with us or you are against us".

Tunapo deal nao tuwe makini sana na diplomasia ya hali ya juu. Huu uwekezaji wao makwetu una direct impact na economic ya makwao. Tazama board members wa Barrick utanielewa.

Dunia ya saaa si ya zamani. Hawana nguvu hao. Sasa hivi tunaweza kudeal nao. Wazungu walikuwa zamani. Sasa hivi wote tuna tunajua. Ndio maana waliohusika na wanaotumiwa wanaweweseka.
 
Akina Zitto, Tundu walishaanza kuyaongelea haya kabla hata ya 2013. Hii ilikuwa ni habari ambayo pengine ingetuamsha na kuanza kuipitia upya mikataba yetu na hii kampuni inayoelekea kulaghai kila sehemu inapofanya biashara.
tatizo la nchi hii kelele zitoke kwa njiwa zitasikilizwa zikitoka kwa bundi anazibiwa masikio yashakuwa mabaya ndo tunashtuka...
 
  • Thanks
Reactions: Auz
Mwenyekiti wa barrck accacia mwenyewe alikiri hadharani kuwa waliiba Dominican republic na saudi arabia.ndugu zangu watanzania tumuunge rais magufuli.
Vipo vingi vya kuunga,kwa hili tusilazimishane.
 
Kila kwenye neema kuna fitna.

Ya kwetu ni madogo sana na tusiombee yakakuzwa kufikia laana ya mali.

Matokeo yanakuwa kama Iraq, Libya, Congo na hata ukifatilia vizuri vita ya wenyewe kwa wenyewe huko Angola. Na hapa kwetu yalitukuta kwa LONRHO, sakata la kuoneshana ubabe Nyerere na Tiny Rowlands (Unafikiri nani Aliumia? ).

Tukumbuke tu kuwa nchi za kimagharibi ukizinyima mgao wa mali hazikuwachi salama hata kidogo.

Wamesema wazi wazi "you're either with us or you are against us".

Tunapo deal nao tuwe makini sana na diplomasia ya hali ya juu. Huu uwekezaji wao makwetu una direct impact na economic ya makwao. Tazama board members wa Barrick utanielewa.

Tupa huko
 
Barrick Group of Companies ni watu wahatar mnooo kwa dunia ya sasa na huko nyuma kwetu hapa watatupiga mdomo na tutatulia wanajuwa fitna za gem mnoo

Wanaakili sanaaa sio watu wakuwachukulia powa hata kidogo na ukienda tofauti na wao hawajawahi muacha mnafiki swalama

We only need to play very smart with care

Unaibiwa halaf unaacha mwizi akuibie. Wew ni MTU kamili au nusu MTU . only in Tanzania
 
Tunajikumbusha hali ilivyokuwa huko nyuma kwa kampuni hii,

Sisi wananchi tulilala mnoo, huko Dominica Public pressure ilisababisha serikali isikilize sauti za wananchi wake, hapa kwetu hadi tusubiri kiongozi mwenye uthubutu ndo achukue hatua????? kweli??
Na akichukua hatua wananchi wanampa mgongo. Waliopita waliona kama watanzania kazi yao kulia lia tu lakini ni wanafik ndio maana wakapitisha hio mikataba mibovu maana ingepitishwa ilokuwa sawa wangelalamika kwanini tunawabana wawekezaji.
 
Dunia ya saaa si ya zamani. Hawana nguvu hao. Sasa hivi tunaweza kudeal nao. Wazungu walikuwa zamani. Sasa hivi wote tuna tunajua. Ndio maana waliohusika na wanaotumiwa wanaweweseka.
Nafikiri hujui unachokiongea. Nchi yako hadi toilet paper inaomba msaada useme wazungu walikuwa zamani? Acha ujinga wewe.
 
Kila kwenye neema kuna fitna.

Ya kwetu ni madogo sana na tusiombee yakakuzwa kufikia laana ya mali.

Matokeo yanakuwa kama Iraq, Libya, Congo na hata ukifatilia vizuri vita ya wenyewe kwa wenyewe huko Angola. Na hapa kwetu yalitukuta kwa LONRHO, sakata la kuoneshana ubabe Nyerere na Tiny Rowlands (Unafikiri nani Aliumia? ).

Tukumbuke tu kuwa nchi za kimagharibi ukizinyima mgao wa mali hazikuwachi salama hata kidogo.

Wamesema wazi wazi "you're either with us or you are against us".

Tunapo deal nao tuwe makini sana na diplomasia ya hali ya juu. Huu uwekezaji wao makwetu una direct impact na economic ya makwao. Tazama board members wa Barrick utanielewa.
Ahsante mkuu kwa kunikumbusha habari ya Tiny Rowlands. Nimekuelewa sana hiyo tahadhari uliyotoa, nafikiri na Mh.Rais ameona au amepewa ushauri juu ya hili ndio maana amechukua tahadhari sana ktk maneno na maamuzi yake baada ya kupokea ripoti ya tume ya pili ya makinikia.
 
Dunia ya saaa si ya zamani. Hawana nguvu hao. Sasa hivi tunaweza kudeal nao. Wazungu walikuwa zamani. Sasa hivi wote tuna tunajua. Ndio maana waliohusika na wanaotumiwa wanaweweseka.
Kwani libya imerugwa lini?Ni kipindi cha dunia hii ya sasa au ya zamani?
 
House niggas Tundu Lisu na Zito Kabwe wawaishe mara moja huko Dominikan kuwatetea Barrick!
Acheni umburula sometimes ndio mana twaweza wamewaambia mnakubalika na wananchi wenye uwezo mdogo wa akili! Kumbe hata nyie wenyewe uwezo wenu ni mdogo,,,,,, hivi ni mtanzania gani asiejua kazi aliyoifanya Zito kuhoji mkataba wa Buzwagi? Sizonje alikuwa hajui chochote zaidi ya kuhesabu km za barabara,,,,,,, acheni umburula
 
House niggas Tundu Lisu na Zito Kabwe wawaishe mara moja huko Dominikan kuwatetea Barrick!
MKUU MUELEWE KWANZA MH LISU NDO USEME YULE NI MWANASHERIA ANAJUA ADHARI YA KUVUNJA MIKATABA KINYEMELA ELEWA KWANZA NDO USEME BOSS,HII ISSUES YA MIKATABA YA MADILI ILIKUA KAMA WIMBO WA TAIFA
 
Back
Top Bottom