NIMEKUTANA NA ----- HUU KWENYE MTANDAO MMOJA WA URAFIKI NA UCHUMBA NA NIME SENSE HARUFU YA UTAPELI, KWA KUWA NAJUA WABONGO WENGI HUWA TUNATAPELIKA KIRAHISI, NIMEAMUA KUSHARE NA WATANZANIA WENZANGU ILI KUZUIA UWEZEKANO WA KUTOKEA UHALIFU UNAO FANYWA NA KIJANA HUYU KIJANA WA KIUME ANAYE JIFANYA MWANAMKE MTOA 0173
Naomba nianze kwa kuweka descriptions zake kama alivyo zibandika katika mtandao huo.
Jina lake anajiita " NATOA 0713 "
Umri : Ameandika ana Miaka 26.
Mahali Anapoishi : Ameandika anaishi Arusha.
Jinsia : Anasema ni mwanamke.
MAELEZO YAKE SASA ( NI MACHAFU MNO , NIMEYA EDIT KADRI YA UWEZO WANGU, NA MENGINE NIMEYAFUTA KABISA )
Msome mwenyewe :
Napenda kuliwa 0713 zaidi kuliko............Nimezoea Mwanaume Mwenye ( .........................maneno yamefutwa kwa sababu ni machafu sana, na hayawezi kuandikika hapa JF ) !Nataka nimpate mwenye sifa hiyo.Pili asiwe mwanafunzi,mwanachuo au tegemezi kwa wazazi na ndugu zake.Awe na kazi au biashara incase ikitokea tunataka kuishi pamoja iwe rahisi kusaidiana.Napenda kwenda mbali kufanya mambo yangu nakuwa huru coz niwe mkweli nina mwanaume lakini hatuendani kitandani.Kwahiyo nataka kumwacha bila ya yeye kushtuka.Sifanyi biashara nafanya ngono kwastarehe coz naipenda sana napia naiweza haswa.Nimejaliwa uzuri kwa kiasi changu ninamvuto wa aina yake kitandani. Napendelea ( .................................................maneno yamefutwa kwa sababu ni makali ........... ) .Mwanaume ntakayempata nataka awe anapenda 0713 zaidi kuliko ..........Kama nikimpata mwanaume mwenyehisia kama hizi zangu kitandani tukazoeana tukaelewana niko tayari anioe nitulie naye kuliko niwe na huyu kesho yule.Hatari ya magonjwa napia kwa hadhi yangu nafaa kuwekwa ndani.So Kama umeyaelewa maelezo yangu nitafute 0713567596. Kama huna sababu tafadhali usipige au kutuma sms.Nitakuhesabu kama MSUMBUFU alafu nitakujibu vibaya.NB;Kuna wanaume wanaopiga alafu wanajisifia eti wanakazi nzuri na nafasi kubwa kubwa na wengine hujifanya ni watu wa madili makubwa kwamba wanasafiri sana kikazi/kibiashara.Kama na wewe una tabia hizo usipige.Kazi yako na madili yako hayahusiani na mchezo wa kitandani.Alafu wengi waongo unakuta ni mwanafunzi anakula kulala kwa mama eti anakwambia ninashuhulikia makontena bandarini au nakwenda dubai nikirudi nikutafuta huwa nawashtukia nawapuuzia au nawa umbua.Mwanaume aliye tayari tu ndiyo nitampa nafasi sitaki wale anakwambia ntakuchek mwisho wa mwezi sijui nina safari ntakuchek baada ya mwezi.Ngoja ngoja huumiza maumbo.Liwezekanalo Leo lisingoje kesho.Chelewa chelewa utakuta Mwana siwako.Siwezi kumsubiri mwanaume wa hivyo.Na ahidi nikikupata wewe mwanaume mwenye hisia kama zangu ntakupa raha hujawahi pewa.(kwa aliye siriaz Tu nitamtumia picha kwa email)NA SIKU HIYO NTA-DELETE PAGE YANGU HAPA MARAFIKI. " ( MWISHO WA KUNUKUU )
Bandiko hili nililiona tangu mwaka jana mwezi Septemba, nilikuwa nalipuuzia but siku moja nikaamua kufanya uchunguzi wangu , nikampigia ikapokea sauti ya mwanaume anaye igiza sauti ya kike........nilipo ligundua hilo moja kwa moja nikagundua jamaa ni tapeli, so sikumfuatilia tena nikaachana naye.
But mara kwa mara nimekuwa nikiona profile lake mtandaoni na amekuwa akibadilisha maelezo kila baada ya siku tatu jambo linalo onyesha uwezekano wa kuwepo kwa wapuuzi wanao tapeliwa na tapeli huyu asiye ni viwango. Jumatano ya juzi nikampigia tena, nikamwambia nimeona tangazo lake kwenye mtandao wa so am interested with " her?" services. Akajifanya kuuliza " mtandao gani?", nilipo mtajia jina la mtandao akasema " ahaa, ni wewe mwenyewe tu ". Nikamuuliza upo wapi ? Akaniambia mimi ndo niseme nipo wapi.. ( MARA ZOTE HUWA ANAULIZA SWALI HILI, ILI UKIMWAMBIA UPO MKOA FULANI ,AKWAMBIE YUPO MKOA MWINGINE, ILI IWE SABABU YA YEYE KUKWAMBIA UMTUMIE PESA YA NAULI ). Nilipo mwambia nipo Dar akaniambia yupo Arusha. so nilipo mwambia tukutane akaniambia nimtumie nauli kwa tigo pesa, nikamuuliza sh ngapi? akasema kiasi chochote nitakacho ona kinafaa? Nikamwambia ok nitakutumia.. Nikamsahau kwa muda, leo tena nikiwa mtandaoni nikaona bandiko lake tena, nikakumbuka nikaamua kumpigia tena, ilikuwa ni saa 5 kamili asubuhi, kama kawaida yake akaniuliza nipo wapi, nikamwambia nipo DAR akasema yupo Arusha, nilipo muuliza kuonana, akasema nimtumie nauli, nikamwambia namtumia..Nusu saa baadaye nikatumia namba nyingine nikampigia, bila kusubiri kuniuliza nikamwambia " NIPO ARUSHA" upo sehemu gani tuonane? akajibu yupo dar? Nikamwambia, ok nikitaka tuonane? " Nitumie nauli kwa tigo pesa kupitia namba 0713567596....MAMBO YOTE HAYA YANATOSHA KABISA KUTHIBITISHA UTAPELI WA HUYU MTU, ACHILIA MBALI USHENZI ANAO UTANGAZA MTANDAONI'.
NIMEAMUA KUSHARE TAARIFA HII NA WATANZANIA WENZANGU, KWANZA KUWAEPUSHA WATU NA UTAPELI WA HUYU JAMAA ( wapo watu wenye upeo mdogo ) LAKINI PILI KUPAMBANA NA KAZI ZA SHETANI, NAJUA JAMAA AKIJUA WATU WANA TAARIFA NA NAMBA ZAKE, ATAOGOPA NA ANAWEZA KUTUPA LINE YAKE, NA MAY BE KUTAFUTA MBINU NYINGINE...........
Marafiki.com - making friends has never been so easy...