Baadhi ya wazazi wamemuomba Waziri wa Elimu kuingilia kati suala la wanafunzi kufukuzwa kiholela katika shule hiyo baada ya bodi ya shule chini ya shinikizo la Mkuu wa Shule hiyo anayefahamika kwa jina la Kandoro kuwafukuza shule tarehe 03/06/2023.
Wazazi wanadai watoto hao walifanya makosa ya...
Yaani mtasababisha maisha yazidi kuwa magumu kwa wapangaji kwani walio wengi ni maskini. Ukimtoza mwenye nyumba automatically itamuathiri mpangaji. Mfano kama mpangaji analipa Kodi 30000 kwa mwezi bila tozo, mkimwekea makato ya tozo Nate ataongeza Kodi. Hivyo moja kwa moja atakaye athirika ni...
Katika pitapita yangu leo, nimekuta vipeperushi vilivyoandikwa na uongozi wa soko kuu Majengo ,linalo wataka kuwafukuza wadau wa soko (boda boda, bajaji na wabeba mizigo) kuondoka katika maeneo yao ya kazi kwa kisingizio wanaleta msongamano kuanzia tarehe 07/06/2019 .
Hoja hii haina mashiko na...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.