Wazazi wa Shule ya Sekondari Kisasa Dodoma wamtaka Waziri wa Elimu aingilie kati suala la Wanafunzi kufukuzwa Shule kiholela

Tukwa

JF-Expert Member
Aug 3, 2013
330
80
Baadhi ya wazazi wamemuomba Waziri wa Elimu kuingilia kati suala la wanafunzi kufukuzwa kiholela katika shule hiyo baada ya bodi ya shule chini ya shinikizo la Mkuu wa Shule hiyo anayefahamika kwa jina la Kandoro kuwafukuza shule tarehe 03/06/2023.

Wazazi wanadai watoto hao walifanya makosa ya utovu wa Nidhamu ambayo hayastahili watoto hao kufukuzwa shule. Pia, wazazi wanalalamika kuwa watoto hao wamekuwa wakijeruhiwa kwa kupigwa vichwani, kwenye nyayo na migongoni na wanadai ushahidi wanao.

Wazazi wanamuomba Waziri wa Elimu kushughulikia suala hilo haraka iwezekanavyo kwani wamechoshwa na mkuu huyo ambaye anadai anaweza kufanya lolote na hakuna wa kumtisha kwakuwa kuna mtu mzito anamtegemea Serikalini.
 
Baadhi ya wazazi wamemuomba waziri wa elimu kuingilikati suala la wanafunzi kufukuzwa kiholela katika shule hiyo baada ya bodi ya shule chini ya shinikizo la mkuu wa shule hiyo anayefahamika kwa jina la Kandoro kuwafukuza shule tarehe 03/06/ 2023. Wazazi hao wanadai watoto hao walifanya makosa ya utovu wa nidhamu ambayo hayastahili watoto hao kufukuzwa shule. Pia wazazi wanalalamika kuwa watoto hao wamekuwa wakijeruhiwa kwa kupigwa vichwani,kwenye nyayo na migongoni na wanadai ushahidi wanayo.Wazazi wanamuomba waziri wa elimu kushughulikia suala hilo haraka iwezekanavyo kwani wamechoshwa na mkuu huyo ambaye anadai anaweza kufanya lolote na hakuna wa kumtisha kwakuwa kuna mtu mzito anamtegemea serikalini
Habari ya uchochezi tu. Weka facts zote wazi.
 
Baadhi ya wazazi wamemuomba Waziri wa Elimu kuingilia kati suala la wanafunzi kufukuzwa kiholela katika shule hiyo baada ya bodi ya shule chini ya shinikizo la Mkuu wa Shule hiyo anayefahamika kwa jina la Kandoro kuwafukuza shule tarehe 03/06/2023.

Wazazi wanadai watoto hao walifanya makosa ya utovu wa Nidhamu ambayo hayastahili watoto hao kufukuzwa shule. Pia, wazazi wanalalamika kuwa watoto hao wamekuwa wakijeruhiwa kwa kupigwa vichwani, kwenye nyayo na migongoni na wanadai ushahidi wanao.

Wazazi wanamuomba Waziri wa Elimu kushughulikia suala hilo haraka iwezekanavyo kwani wamechoshwa na mkuu huyo ambaye anadai anaweza kufanya lolote na hakuna wa kumtisha kwakuwa kuna mtu mzito anamtegemea Serikalini.
Wewe itakuwa kuna mtu wako wa karibu kafukuzwa shule kwa utovu wa nidhamu basi unasingizia wazazi wote. Bodi na wao ni wazazi ambao watoto zao wanasoma hapo, mkuu wa shule pia anafaidika na nini mpaka afikie hatua ya kuitisha bodi kwa sababu ya kumfukuza mwanafunzi. Itakuwa kuna shida kweli kwa wanafunzi na wewe utakuwa na mtu wa karibu aliyefukuzwa. Waziri hawezi kuja kusgughulikia ishu ya mtendaji kata.
 
Baadhi ya wazazi wamemuomba Waziri wa Elimu kuingilia kati suala la wanafunzi kufukuzwa kiholela katika shule hiyo baada ya bodi ya shule chini ya shinikizo la Mkuu wa Shule hiyo anayefahamika kwa jina la Kandoro kuwafukuza shule tarehe 03/06/2023.

Wazazi wanadai watoto hao walifanya makosa ya utovu wa Nidhamu ambayo hayastahili watoto hao kufukuzwa shule. Pia, wazazi wanalalamika kuwa watoto hao wamekuwa wakijeruhiwa kwa kupigwa vichwani, kwenye nyayo na migongoni na wanadai ushahidi wanao.

Wazazi wanamuomba Waziri wa Elimu kushughulikia suala hilo haraka iwezekanavyo kwani wamechoshwa na mkuu huyo ambaye anadai anaweza kufanya lolote na hakuna wa kumtisha kwakuwa kuna mtu mzito anamtegemea Serikalini.
Na wewe ni mmoja wa wazazi au ulikuwa unapita ukasikia hayo maneno?Funzeni watoto wenu kuishi kwa adabu.Watafukuzwa hadi mkome.
 
Hizo ndo shule sasa zinazotakiwa, watoto wa siku hizi ukiwachekea utaambulia maumivu, zero watakujazia na bado watawajeruhi hata walimu wako, na mtaani wanavimba kuwa huwezi kuwafanya lolote.

File makosa yao, siku akijipindua fukuzia mbali akasemezane vizuri na wazazi wake huko.
 
Baadhi ya wazazi wamemuomba Waziri wa Elimu kuingilia kati suala la wanafunzi kufukuzwa kiholela katika shule hiyo baada ya bodi ya shule chini ya shinikizo la Mkuu wa Shule hiyo anayefahamika kwa jina la Kandoro kuwafukuza shule tarehe 03/06/2023.

Wazazi wanadai watoto hao walifanya makosa ya utovu wa Nidhamu ambayo hayastahili watoto hao kufukuzwa shule. Pia, wazazi wanalalamika kuwa watoto hao wamekuwa wakijeruhiwa kwa kupigwa vichwani, kwenye nyayo na migongoni na wanadai ushahidi wanao.

Wazazi wanamuomba Waziri wa Elimu kushughulikia suala hilo haraka iwezekanavyo kwani wamechoshwa na mkuu huyo ambaye anadai anaweza kufanya lolote na hakuna wa kumtisha kwakuwa kuna mtu mzito anamtegemea Serikalini.
Uzi wa Kiuchochezi, Watoto wahuni Walimu wananyoosha wakishindwa wanafukuza.
Wazazi vilaza wanataka watoto wakalize shule kizembe wategemee 4 au 00 tu.
 
Back
Top Bottom