Habari wana Jamvi,
Nataka kujua hii minada ya ubalozi ambayo univesal anaifanya ipoje na pia bei zao zipoje? Natamani nijue haya mapema kutoka kwenu kama mnauzoefu nayo.
Pia nmesikia mwishoni mwa week hii watakua na mnada mwingne. Kwa ambao walishawahi kufika nilitakani nipate dondoo tu. Ahsante.
Haina haja ya mimi kusoma huko wakati wewe ndo umeleta hoja hapa! Km una hoja kwenye hzo sheria za FIFA ambazo zilimpa uhalali Feisali kuvunja mkataba leta sasa zijadiliwe sio kukaa na kusema nenda google kasome, hyo haiko sawa.
Wewe ndo ulete afu lijadiliwe...suala la feisal mbna lilikua wazi sana, nadhani wewe ndo ulikaza fuvu kutokuelewa sheria au mikataba ya kimpira ikoje. Ok fanya feisali kwl aliweza kuvunja mkataba, kwann haikutokea klabu yoyote kumchukua au kumtangaza wakati alikua huru???
Suala la Dube liko...
Pole kaka..
Kwahyo feisal wakat anasain pale yanga TFF walishirikishwa?? Au Prince dube alivyoomba kuondoka Azam TFF kashilikishwa pale??
Ufafanuzi upoje:
Feisal alitaka kuvunja mkataba isivyo halal, ndo maana yanga walienda TFF kupata tafsiri ya kisheria juu mkataba wa Feisali(mkataba uko...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.