hamis77
JF-Expert Member
- Aug 20, 2013
- 18,286
- 26,685
Barcelona wapo hovyo Sana mkuuBarcelona wanashindwa hata kubypass pressing ya arsenal.
Sijawahi kushuhudia hili
Barcelona wapo hovyo Sana mkuuBarcelona wanashindwa hata kubypass pressing ya arsenal.
Sijawahi kushuhudia hili
NimekupataYupo vzr ,Castr anamjua ,Arsenal wanataka kumuuza wapate pesa
Hiko ni kiKosi Cha thamani kumbwa mkuuBarcelona wanashindwa hata kubypass pressing ya arsenal.
Sijawahi kushuhudia hili
Penalty wamuachie odegard tu mwenyewe au Jesus wawe wanamaliza shughuliSaka anazidi kuwa hatari, Alonso kalamba nyasi , kwasasa Penalty atafutwe mpigaji mwingine ,
Bukayo Saka anazidi kujipambanua kama moja ya Mchezaji ghari Duniani…Dogo kapikwa kapikikaView attachment 2700182
Nafikiri standard yao pia imeshuka,Hiko ni kiKosi Cha thamani kumbwa mkuu
Hauoni ubora wa Barcelona kwasababu arsenal ni Bora zaidi
Ni kweli ulisemalo, Hawa madogo tulichobakisha ni maturity tuNafikiri standard yao pia imeshuka,
Naufahamu fika ubora wa Arsenal kwa sasa.
Barca toka last season ,ni vile tu Laliga ni Ligi ya timu 2, Barca akija EPL lazima acheze EuropaNafikiri standard yao pia imeshuka,
Naufahamu fika ubora wa Arsenal kwa sasa.
Hawa wajinga huelewi mpira wanaocheza lakini ni balaa.Madrid naona ana viungo mafundi Sana , akimpata mbappe atakuwa hatari zaidi
Ni kweli Madrid ana viungo technical wengi Sana ,Hawa wajinga huelewi mpira wanaocheza lakini ni balaa.
Huyo mbappe bora wamkose
kwa nilichokishuhudia leo sisi manchester united bado hatuna uwezo wa kwenda nao jino kwa jino hususani kwa technical ability ya casemiro, rashford, wan bissaka, dalot.
Tunaweza sema ni friend lakini nafahamu kiundani level ya wachezaji wetu japokuwa si mchambuzi wa mpira.
Hawa barcelona nilishawaona kwenye mechi zetu mbili za europa, tuna uwezo wa kusimama nao muda wowote.
Phyisicality ya saka ni ya kiwango cha juu, jinsi anavyomnyanyasa luke shaw huwa natamani nivunje Tv.Ni kweli ulisemalo, Hawa madogo tulichobakisha ni maturity tu
So far they are so good
Osimhen anatoa watu roho.Arteta amenisikitisha sana kumsajili Kai Havertz. Hii inaonesha kwamba mpaka sasa hajafahamu mahali tatizo la Arsenal lilipo.
Paundi 65m kama angetulia na akaziongezea kwa kumuuza Balogun, Tavares na Nketiah angeweza kumleta pale Osimhen. Kai sijui amemleta kufanya nini.
Usajili wa Declan Rice na Timber ni mzuri na kwa sehemu utasaidia kuimarisha kiungo na ulinzi lakini still Arsenal inahitaji goalkeeper ambaye yupo serious.
Wachezaji wa kawaida kama Reiss Nelson, Fabio Vieira, Rob Holding, Cedric Soares, Nicolas Pepe na Sambi Lokonga wanatakiwa kuondolewa haraka.
Msimu ujao nategemea Arsenal itabakia kwenye top four lakini masuala ya ubingwa tuendelee kuyasahau.
Yaan osimhen anawatoa Sana watu roho kaakweliOsimhen anatoa watu roho.
Kwa Kai unatarajia nini na nini aweze na nini asiweze?
Mimi nimejiandaa na yeye kukosa magoli mengi. Lakini natarajia atatoa assists kadhaa kwa Martinelli na Jesus