Habari wana Jamvi,
Nataka kujua hii minada ya ubalozi ambayo univesal anaifanya ipoje na pia bei zao zipoje? Natamani nijue haya mapema kutoka kwenu kama mnauzoefu nayo.
Pia nmesikia mwishoni mwa week hii watakua na mnada mwingne. Kwa ambao walishawahi kufika nilitakani nipate dondoo tu. Ahsante.