Recent content by Tukuwoni

  1. T

    Hukumu anazoweza kupewa mtu aliyeua bila kukusudia

    Adhabu ya chini kabisa kwa mtu aliyetiwa hatiani kwa kosa la kuua bila kukusudia ni kuachiliwa huru bila masharti (unconditional discharge) na adhabu ya juu kabisa ni kifungo cha maisha.
  2. T

    TFF ilipiga marufuku mmiliki mmoja kuwa na timu mbili

    Kisheria kampuni na mmiliki wa kampuni ni watu wawili tofauti. Simba imeweka sharti kwamba lazima uwe mwanachama ili kuuziwa hisa. Bakheresa ni mwanachama wa simba. Azam FC inamilikiwa na Bakheresa Group of Companies na sio Bakheresa. Simba walifanya kosa kwa kuchukua fedha za MO wakidhani...
  3. T

    Mwanangu yupo njia panda athibitishe wapi kati ya UDSM na UDOM

    Udsm ni Chuo bora kuliko UDOM lakini kwa hizo kozi mbili nakushauri aende UDOM. Tahadhari: kama ni mtoto wa kike Dodoma sasa kuna vishawishi vingi kutokana na wafanyakazi kuhamia huko.
  4. T

    GPA ya 3.9 nimetemwa Master's Degree UDSM

    Upo sahihi, inategemea chuo alichosoma. Baadhi ya vyuo elimu yao haina ubora hivyo UDSM wakikuchukua wanaharibu CV yao. Sent using Jamii Forums mobile app
  5. T

    PLO Lumumba: Uchaguzi wa Rais kurudiwa Kenya.

    Seasoned Lawyer manake mwanasheria mkongwe au mwenye uzoefu wa muda mrefu. Sent using Jamii Forums mobile app
  6. T

    Mishahara ya wachezaji Simba SC msimu 2017/18 - Niyonzima kinara.

    Tusubiri wahusika wakanushe kama ni taarifa za kupika. Sent using Jamii Forums mobile app
  7. T

    Mkutano Mkuu wa Klabu ya Simba SC, MO kupewa timu leo

    Tatizo jingine ni kwamba Simba wanauza timu kwa bei iliyopangwa na mnunuzi, wao wenyewe hawajui thamani ya club na mali zake. Sent using Jamii Forums mobile app
  8. T

    Mkutano Mkuu wa Klabu ya Simba SC, MO kupewa timu leo

    Ukweli ni kwamba Simba haipati chochote kwenye haya mauziano. Mo atatoa bilioni 20 ambazo zitaingizwa kwenye akaunti ya Simba kisha atakabidhiwa timu. Baada ya hapo yeye ndiye atakuwa na maamuzi ya mwisho kuhusu kila kitu ikiwa ni pamoja na matumizi ya hizo fedha. Atakuwa na hiari ya kubadili...
  9. T

    Msaada wa Sheria, nahitaji wakili.

    Anaweza kuwa prominent lawyer lakini hafahamu vizuri sheria za ardhi. Kuna mawakili wachache hapa nchini ambao ni wataalam wa kesi za jinai, mirathi, na ardhi. Sent using Jamii Forums mobile app
  10. T

    Niagize mimi gari lako, nitakuletea kwa bei nafuu kabisa

    Harrier 4WD ya mwaka 2007 bei na kodi inakuwa kiasi gani? Post sent using JamiiForums mobile app
  11. T

    Msaada: Kaka yangu anateswa bila ya hatia

    Nenda karipoti ofisi ya Mwanasheria Mkuu wa Serikali MKoa wa Dsm ipo jengo la Mafuta House/ Benjamini Mkapa Towers ghorofa 8
  12. T

    Sababu ya Vifo vya Wachezaji wa Kiafrika Uwanjani

    Kudanganya umri kunachangia. Matokeo yake mchezaji anapewa mazoezi, lishe na matibabu ambayo hayaendani na umri halisi.
  13. T

    NECTA wagoma kubadili jina langu. Nina ushahidi wa mahakama kukana jina la cheti cha kwanza

    Hili ni sawa na kuezeka nyumba ya tope Kwa vigae.
  14. T

    Kuna dalili za simba kufanyiwa figisu fainali ya FA

    TFF wametoa taarifa mechi ya fainali FA itachezwa uwanja wa Jamhuri Dodoma.
  15. T

    Kwa Wataalam wa Sheria: Affidavit ni nini?

    Kama unataka kubadili jina unatakiwa kuandaliwa Deed Poll isainiwe na Wakili kisha unakwenda kuisajili kwa Msajili wa Hati Wizara ya Ardhi.
Back
Top Bottom