Mwanangu yupo njia panda athibitishe wapi kati ya UDSM na UDOM

Mwanangu yupo njia panda athibitishe wapi kati ya UDSM na UDOM

Suip

JF-Expert Member
Joined
Sep 21, 2010
Posts
1,375
Reaction score
852
Mwanangu yupo kwenye kundi la multiple admission kwenye vyuo hivyo, kwa UDSM amechaguliwa B. com in Tourism and Hospitality Management na anatakiwa athibitishe tar. 10/Oct. na UDOM amechaguliwa B. Com in Finance,na anatakiwa athibitishe tifikapo tar. 08/Oct sasa wapi bora aka confirm?
Wenye ufahamu hizo program nahitaji ushauri unaomsaidia huyo mwanangu
 
Hiyo fani aliyochahuliwa udsm angekuwa ndio kachaguliwa udom ningekushauri aende udom

Kwa manufaa ya wote udom ni nafuu sana. Tena ana uhakika wa kuwa na mahali salama pa kuishi miaka yoote awapo chuo. Ila huko udsm ni hamsin kwa hamsini.
Nashukuru kwa ushari ila naomba ufafanuzi zaidi kwa hiyo fani aliyochaguliwa udsm ipo vipi na kwanini bora ingekuwa udom.
 
Angalia future yake Mara baada ya kuhitimu
 
Boss...Tourism iko poa na hata finance iko poa ila katika labour market BCom Finance ina comparative high labour market power ukicompare na BCom Tourisms so in my side aende BCom Finance ... Pili cost analysis ya hio miji vyuo vilipo yan DSM na DOM ts better aende DOM akasome hio BCom Finance.
 
Naona akasome UDSM, ila akifika aombe kubadilisha course kama inawezekana
 
Udsm ni Chuo bora kuliko UDOM lakini kwa hizo kozi mbili nakushauri aende UDOM. Tahadhari: kama ni mtoto wa kike Dodoma sasa kuna vishawishi vingi kutokana na wafanyakazi kuhamia huko.
 
Namshauri aende udom kwasababu B.com finance ipo vizuri na ina uwanja mpana zaidi wa ajira compared to tourism ya hapo department ya masoko Udsm bora labda ingekua b.com marketing ...lakini pia Kwa hapo UDBS Udsm ni ngumu kubadilisha course.
 
Mwanangu yupo kwenye kundi la multiple admission kwenye vyuo hivyo, kwa UDSM amechaguliwa B. com in Tourism and Hospitality Management na anatakiwa athibitishe tar. 10/Oct. na UDOM amechaguliwa B. Com in Finance,na anatakiwa athibitishe tifikapo tar. 08/Oct sasa wapi bora aka confirm?
Wenye ufahamu hizo program nahitaji ushauri unaomsaidia huyo mwanangu
Angechaguliwa finance udsm ningeshauri aende udsm ila tourim mmmh!! Bora aende udom maana hata akienda udsm akitaka kuchange kozi hawatamkubalia... All in all mpe nafasi achague anapopenda kutoka moyon... Usije ukamchagulia au ukamlazimisha asome kozi bila yeye kuipenda...
 
Nimeconfirm UDOM lakini naona msg haijawa derivered.Nani alive experience hii issue anisaidie.
 
Naona akasome UDSM, ila akifika aombe kubadilisha course kama inawezekana
Program yenyewe ina nafasi ya watu 26 na kama wengi wasipoenda sidhani kama kubadilisha itakuwa rahisi.
 
Udsm ni Chuo bora kuliko UDOM lakini kwa hizo kozi mbili nakushauri aende UDOM. Tahadhari: kama ni mtoto wa kike Dodoma sasa kuna vishawishi vingi kutokana na wafanyakazi kuhamia huko.
Ni mtoto wa kike hata hivyo nadhani anajitabumbua lah sivyo hiyo hali huwezi kuizuia akiamua mwenyewe.
 
Hizo ni programme mbili tofauti, hivyo achague anayopenda yeye zaidi. Hapa hutapata jibu sahihi zaidi ya ushabiki wa vyuo.
 
Angechaguliwa finance udsm ningeshauri aende udsm ila tourim mmmh!! Bora aende udom maana hata akienda udsm akitaka kuchange kozi hawatamkubalia... All in all mpe nafasi achague anapopenda kutoka moyon... Usije ukamchagulia au ukamlazimisha asome kozi bila yeye kuipenda...
Mimi binafsi nilitaka aende Udsm lakini sijaridhika na hiyo program ila yeye anataka aende Udom hataki mahangaiko ya kupanga nje ya chuo.
 
Back
Top Bottom