Zero Hours
JF-Expert Member
- Apr 1, 2011
- 12,942
- 18,693
Mi nacho ona bei si tatizo. Tatizo ni TAX TAX kibao huku bongoNaomba nikupe mfano huu;
Uhahitaji gunia la viazi, na masoko yote ya uuzaji viazi bei zinatofautiana, kuna zilizo juu na zilizo chini
Ila yote kwa yote, haiwezi kuwa sawa na bei ya shamba.
Unampigia simu ndugu yako aliyeko shamba, unamwambia unahitaji gunia la viazi
Anakununulia huko shamba, mpaka kuja kukufikia, ukipiga hesabu unakuta umeokoa fedha nyingi sana tofauti na ungeenda kununua kwa muuzaji
Hio ndio tofauti.
Sent from my SM-G950F using JamiiForums mobile app