PASSED LIKE A SHADOW.
Ni kipindi ambacho nilianza mambo ya ujana mihemuko mingi, nilipokisoma kile kitabu kilinisha sana, ghafla tabia, mienendo nilibadiri hadi home walishanga.
Urafiki na mabinti ndo ikawaga kwa heri.
hapo hapo mkuu, naomba kuuliza, kuhusu namna ya kufanya selection. Kwa mfano labda ningetamani mzigo wangu utokee Marekani na sio HongKong nafanyaje kufanya uchaguzi huo?
HATA HIVYO TUMECHELEWA mchakato wa katiba mpya ni wa mhimu sana kwenye hili Taifa.
Hata akipoteza uraisi 2025 ni sawa tu, cha msingi Watanzania tupate katiba mpya, katiba kwetu ni bora zaidi yeye kuingia 25.
Mimi namshauri miongoni mwa vitu ambavyo atajenga historia Watanzania wamkumbuke daima...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.