City Rider
JF-Expert Member
- Jul 31, 2022
- 402
- 1,218
Happy new year 2023
Hivi inakuwaje wanaume wenzangu unaoa mwanamke
Anaongea sana iwe ndani ya nyumba, nje, kwenye simu yani yeye ni talkative unaweza kuwa unaongea nae kwenye simu huku akiwa anaongea na watu wengine -mnawezaje ndugu zangu kukaa na hawa watu[emoji23]
AU Mwanamke anajirekodi akiimba nyimbo zote, instagram kumejaa, whatsapp status kama shanga, vijembe vya kutosha ebwanaa eeh tunaomba huo uvumilivu wenu tutumie kwenye mapambano na maisha
Wakuu mnawezaje mi naona siwezi kuvaa viatu vyenu kabisa maana nikiona mwanamke mwenye sifa hizo hata kama ni jirani yangu huwa nakaa mita 100
Mnawezaje wadau