Nilikuwa sielewi kwanini zilisifika sana hizo 504 mpaka nilipokuja kuendesha Peugeot St.
Kiujumla Gari za wazungu ziko vizuri sana ukilinganisha na washindani wake wa Kijapan.
Tangu uchaguzi wa 2020 "ulipobagazwa" zaidi ya asilimia 90 wakaingia wabunge wa chama kimoja, hata ka_imani kidogo nilikokuwa nako kuhusu huo mhimili kakatoweka.
Hizo gari ni nadra sana kumilikiwa na watu binafsi, nyingi huwa ni za taasisi. Na ukiiona ina full tint ndo kabisaa kaa nayo mbali.
Kama hiyo hizo namba ukicheki kwenye mfumo wa bima chassis inaanza na ACU hivyo gari halali yenye hizo namba ni Harrier maana ndo zenye chassis code hiyo.
Unafanya baada ya recommended km kama kawaida. Ila transmission fluid yake ni expensive kuliko ATF
Gearbox hiyo inapofanyiwa service inatakiwa kubadili na filter wakati upande wa conventional hamna filter
Gearbox hiyo iko delicate. Haivumilii endapo kama itawekewa transmission fluid tofauti na...
Kwani chargesheet imesomekaje mkuu.
Na itakuwaje madai kabla haijathibitika mkosaji ni nani?
Btw: iwe ni shambulio la kudhuru mwili au kumzuia askari kutekeleza majukumu yake yote ni mashtaka yanayoangukia kwenye kundi la jinai.
Sio halisi hiyo picha ni ya ku edit. Hapa Bongo hkuna barabara ya kufikisha speed hiyo kabla hujakutana na kikwazo chochote kama tuta, kona, watumiaji wengine wa barabara n.k
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.