Ponjoro wa Kinondoni
JF-Expert Member
- Jan 5, 2024
- 3,535
- 9,607
Haiwezekani watu wanauawa, wanatekwa, yeye yupo tu. Kama kweli wanaofanya matukio haya ni wahalifu wasio julikana basi yeye ndiye chanzo.
Huenda watu wanaotekeleza mauaji haya wanajua kuwa yeye ni dhaifu na hana cha kuwafanya.
Unapokuwa Rais jukumu kubwa ni kulinda ustawi wa watu wako na kulinda mipaka ya nchi yako.
Haiwezekani watu watu wanauawa kwa silaha za moto (october 29 nakuendelea) wewe upo tu.
Raia zaidi ya 200 including aliyekuwa mteule wako wanatekwa wewe upo tu.
Mauaji ya October, utekaji si mambo yaliyotokea kwa bahati mbaya, ni either uliyapanga wewe au udhaifu wako umepelekea matukio hayo yatokee.
Tafadhali tuachie Tanganyika yetu. Mpe hata fisadi Nchimbi mtanganyika mwenzetu ila wewe kwakweli HAPANA.