Recent content by Tsidekenu

  1. T

    JamiiForums Tanzania Career women: Nisaidieni katika hili

    Im a director in one of the companies.. I got my second child nikiwa director. Na Sasa hivi nina mimba nyingine.. Nilichokifanya kwangu mimi Ni kutengeneza systems na kuhakikisha I have good team under me, equip and coach them...and so safari Ndogo Ndogo they can go.. Mtoto akiwa Mchanga huwa...
  2. T

    JamiiForums Tanzania Eti bati, Kagera tuna Kiwanda cha Sukari tunaomba mtuuzie kilo kwa Mia tano

    Duu pamoja na ubishi wangu wote..kwa hili una mantiki na unavyosema.. Ngoja na Mie niombe tulioko tegeta tuuziwe buku Mbili.. Maana Twiga cement wako Karibu..
  3. T

    JamiiForums Tanzania Diploma Saga at UDOM: Our Audacity to Lie

    Mhh nahitaji kujifunza kidhungu tena.. Ngoja nitafute dictionary kisha nitakuja..
  4. T

    JamiiForums Tanzania Hivi Ugonjwa wa mama mkwe unanihusu kweli?

    Lol...hivi wanaume huwa hawapewagi mafunzo kabla ya ndoa eeh...hebu nichangamkie fursa mimi..maana on a seious note sio kila mwanaume anafaa kuwa mume...
  5. T

    JamiiForums Tanzania Hivi mke wangu anajiandaa kuachana na mimi au?

    Hahaa....The Boss njoo umpatie huyu ndugu guidelines za kuchepuka maana lol...wacha nisije nikala ban... Back to topic Mkeo Ni mwanamke shoka lol...na atakuwa anajitambua haswaa maana wale wanaokurupukaga Na mabegi ooh naenda kwetu or sijui takataka gani....hw wanatania tu... Dada kashajivika...
  6. T

    JamiiForums Tanzania Sheria mpya ya mifuko ya hifadhi ya jamii,Wafanyakazi wa umma na wasio wa umma kufa masikini

    Msinipopoe mawe...ila niwaulize swali..nani asiyejua kuwa watu wengi baada ya kustaafu maisha huwa magumu Sana na wengi hutegemea kutunzwa na watoto wao...mimi Ni mfanyakazi pia ila ninachofikiri mimi Ni kuwa tufight tulipwe 60-75 percent halafu hy nyingine ndio ilipwe kama formula yao inavyosema..
  7. T

    JamiiForums Tanzania Msaada kwenye tuta; bei ya tiles za kichina Arusha

    Wadau habari, Naomba Msaada kwa walioko arusha au wanaofahamu bei za tiles arusha. Naomba msaada ufuatao. 1. Bei za Ceramic Tiles per sqare metre na bei za porcelain tiles(za jikoni na bafuni zisinyonya maji) 2. Maduka gani wanauza na yako sehemu gani arusha asanteni sana.
  8. T

    JamiiForums Tanzania Tanzania Oil and Gas Corporation PLC, wapewe vitalu vya Tanzanite Mererani na kwingineko

    Sijapita huku siku nyingi lakini pia mimi nilishtuka kidogo nilivyoona tangazo jana kwenye gazeti kuhusu hiyo kampuni na limesainiwa na mengi. Pamoja na kwamba naikumbuka nicol na naogopa kidogo lakini kama capital markets walikataaga hii kitu ya kukusanya mtaji?(I stand to be corrected though)I...
  9. T

    JamiiForums Tanzania Hii ya kufungua Club ya dini imekaaje wakuu?

    Tuelekeze ilipo means wengine ni walevi wa mziki was yes.
  10. T

    JamiiForums Tanzania MADA: Tatizo la Watoto kuchelewa kuongea. Ni kipi chanzo chake? Je, nawezaje kutatua tatizo hili?

    Nina jambo kama hilo, insababishwa na nini? So unategeeza hyo gahwa kabisa?
  11. T

    JamiiForums Tanzania MADA: Tatizo la Watoto kuchelewa kuongea. Ni kipi chanzo chake? Je, nawezaje kutatua tatizo hili?

    Yaani nina tatizo kama hilo, exactly the same, wa kwangu ana miaka mitatu na nusu.
  12. T

    JamiiForums Tanzania Mtume/Nabii Josephath Mwingira kufunga ndoa kwa gharama ya Mil200

    Hahaa mtakoma mwaka huu!efatha inawagusa pabaya eeh!tumieni akili na nyie,efatha ina waumini zaidi ya 30000, hivi kiongozi wetu akiandaa sherehe na akatualika wote tuhudhurie mnafikiri itacost kiasi gani.kakuambia nani kuifanya hiyo sherehe ni mzigo kwa efatha.?
  13. T

    JamiiForums Tanzania Operation Kimbunga Dar ,Pwani ya kiuka Kauli ya Kikwete

    Hahaa!kusanyiko limewaharibia eeh! Mtatia akili mwaka huu!mtazusha hadi mchoke! Mwingira - mbele kwa mbele baba!tuko na wewe!mwah!mwah!
  14. T

    JamiiForums Tanzania Eti, na wewe ukioa ntakupa hadi uchoke....

    Hakuna string attached, kijana hawezi kumganda dada, pia adabu itakuwepo maana kutakuwa hakuna kupigiana simu usiku wa manane kuharibiana.
  15. T

    JamiiForums Tanzania Muongozo: Vitu vya kuzingatia unapotaka kununua kompyuta

    Utusaidie na jinsi ya kununua tv maana siku hizi mara kuna sijui plasma,lcd mara sijui led!
Back
Top Bottom