figganigga
JF-Expert Member
- Oct 17, 2010
- 25,658
- 55,485
Heshima kwenu wakuu,
Naomba nitumie nafasi hii kumpongeza rais kwa mawazo mazuri ya kujenga na kutuinua wanakagera, hakika ana upendo wa hali ya juu.
Mimefarijika zaidi nliposikia akimwambia Mbunge wa Bukoba Mhe. Lwakatare kwamba atafute muwekezaji ili aweze kujenga kiwanda cha kutengeneza bati ili tuuziwe 1,000 kwa kila bati na rais atamsaidia. Kwakuwa kujenga kiwanda cha mabati kiwanda cha mati itachukua muda mrefu, tunaomba hiyo roho ya kutupunguzia bidhaa mbalimbali ianzie kiwanda cha kagera Sugar.
Mimi nakaa hapa Misenyi jirani na kiwandani yaani kwenda kiwandani natumia dakika kumi kwa mguu lakini sukari inauzwa 2,200/= .
Hakika uwekezaji tunao wa Sukari wa kiwanda cha Kagera Sugar. Hivyo wakati tunafanya mchakato wa kiwanda cha bati, tunaomba utupunguzie bei kwenye sukari hata ukitaka useme mia tano au mbili kwani Uwezo wa kusema unao just kutamka tu na hawa wawekezeji wapo chini yako sababu wewe ni rais wa watu wote.
Ukifanikiwa hilo nitatambua kweli kwamba wewe ni Msema kweli na Mpenzi wa Mungu na ntakuombea siku zote ili uendelea kutumbua majipu na kuwafanya mafisadi waishi kama mashetani.
Asante sana.