simplemind
JF-Expert Member
- Apr 10, 2009
- 16,764
- 9,680
JK kupitia operesheni kibunga amefunguwa milango ya dhulma vidi ya wahamiaji.
Hahaa!kusanyiko limewaharibia eeh! Mtatia akili mwaka huu!mtazusha hadi mchoke! Mwingira - mbele kwa mbele baba!tuko na wewe!mwah!mwah!
INVENTORY OF ITEMS BELONGING TO GLOBAL 2000(2010) INTERNATIONAL
LIST OF MEDICAL EQUIPMENT AND SUPPLIES IN STORAGE:
1 1 PORTABLE X-RAY MACHINE $900,750. Hii haizid hata $10000
2 5 ten leads EKG - $20,000
3 2 X ray film developer - $250,000
4 4-Exam tables $10,000
5 Medical supplies (gloves, bandages, needles, syringes, stethoscopes, towels, sterilizers, etc.) - 20 boxes $50,000
6 Rehabilitation bikes 2 ($4,000)
7 Thread Mill- 1-$5,000
8 Memo plus machine $1,020,000
9 Transfer Gunnies 2
hapa napo mshangao tu10 Miscellaneous Medical Supplies (20 boxes) - $750,00
hii nayo beo haizid hata $10,00011 1 hemodialysis machine cost price $2,500,000
nguo tu za bei hizo???????12 Clothes - $850,000
vitu vya nyumbani tu vya bei hizo????!!13 House hold goods - $750,000
nina wasiwasi na hizo bei ulizoweka hapa chini!
hapa napo mshangao tu
hii nayo beo haizid hata $10,000
nguo tu za bei hizo???????
vitu vya nyumbani tu vya bei hizo????!!
inawezekana mleta mada hujui exchange rate ya dollar!
Swali langu kwa mleta maada.
Ni kwavipi vitu hivyo vilifika mikononi mwa Mwingira?
Je alifitaifisha vikiwa bandarini?
Alivunja ghala mlivyokuwa vimehifadhiwa?
Alishirikiana na mke wake huyo Dr kuvihamishia kwake Kibaha?
Au vilitumwa kwa address yake Mwingira naye akahamua kutumia mwanya huo kumdhurumu huyo Dr Morris?
Kama vilitumwa kwake yaani vipokelewe na Mwingira, kwanini huyo Dr alifanya hivyo?
Hahaa!kusanyiko limewaharibia eeh! Mtatia akili mwaka huu!mtazusha hadi mchoke! Mwingira - mbele kwa mbele baba!tuko na wewe!mwah!mwah!
hayo majungu sasa. Suala la kupata uraia linafahamika na taratibu zake zipo. Kuoa au kuolewa si kigezo cha kuwa raia. tena PhD holder, inashangaza hakushughulikia suala la uraia mapema. pili Vifaa vyake vilifikaje kwa Mwingira. Basi huyo raia wa Liberia mwenyewe ----- au tapeli tu.Raia Wa Liberia anayefahamika kwa jina la Willium Tetto Morris amekamatwa na kwa sasa yupo makao makuu immigration.
Raia huyu anayo ndoa harali na Mtanzania na Imebinika kwamba mnamo tarehe 28/12/2001 , Raia wa Liberia Dr Willium Tetto Morris (PhD) alifunga ndoa na Raia wa Tanzania aitwaye Dr Philis Mishek Nyimbi mfanyakazi wa Hspitali ya Taifa Mhimbili kama Dokta katika kanisa la Angilikani Tanzania makao makuu ST .ALBANI DSM mtaa wa POSTA MPYA na aliyewafungisha ndoa hiyo ni Mch Willium G Kambanga na kupewa Cheti Cha ndoa Namba 0638572 kilichotolewa na Jamuhuri ya Muungano Tanzani.Miazi mitatu baada ya Ndoa hiyo Dr Morris alisafiri na Kwenda USA na kuanza kutafuta VISA ya Mkewe ambaye alikuwa anafanya kazi Mhimbili Hospital.VISA hiyo ilianza kusumbua ndipo Bi Phiris alipokwenda EFATHA Kwa Mwingira kwenda kuombewa na alikutana na Mwingira Uso Kwa Uso.
Taarifa zinaonyesha kuwa Nabii Mwingira alianza mapenzi na Mwanamke huyo na kufanikiwa kuzaa mtoto ambaye jina lake ni Daudi wakati mume yupo USA. Taarifa za awali zinaonyesha kuwa Bi Nyingi na familia nzima walisha kaa kikao na kulalamika bayana suala la yeye kuzaa na Mwingira na taarifa hizo zimeripotiwa Kwa RPC Kibaha kwa jarida KBA/PE/23/2011.Nabii Mwingira anafanya njama hizi ili kukwepa kesi hii ambayo ipo mbioni kufunguliwa ambapo mahakama imetarajiwa kutoa amri Mwingira apime DNA
Hata hivyo Dkt Morris ana kampuni hapa nchini ambayo ina malengo ya Kuanzisha hospital kubwa na vifaa vilisha letwa hapa lakini vinashikiliwa na Mwingira eneo la Kibaha kwa Utapeli.
Vifaa vinavyo shikiliwa vinathani ya Us$6.5mil kama ifuatavyo:
Imetajwa kuwa Mwingira na Emmanuel Nchimbi ni marafiki na hii ndo hila:
Vifaa vinavyo shikilia na Mwingira hadi sasa huku mhusika akifukzwa nchini ni kama ifuatavyo:
INVENTORY OF ITEMS BELONGING TO GLOBAL 2000(2010) INTERNATIONAL
LIST OF MEDICAL EQUIPMENT AND SUPPLIES IN STOREGE:
1 1 PORTABLE X-RAY MERCHINE $900,750.
2 5 ten leads EKG - $20,000
3 2 X ray film developer - $250,000
4 4-Exam tables $10,000
5 Medical supplies (gloves, bandages, needles, syringes, stethoscopes, towels, sterilizers, etc.) - 20 boxes $50,000
6 Rehabilitation bikes – 2 ($4,000)
7 Thread Mill- 1-$5,000
8 Memo plus machine – $1,020,000
9 Transfer Gunnies –2
10 Miscellaneous Medical Supplies (20 boxes) - $750,000
11 1 hemodialysis machine – cost price $2,500,000
12 Clothes - $850,000
13 House hold goods - $750,000
Waandishi muliopo Dar na Pwani fuatilieni sakata hili ili ukweli ufahamike
up date:
Dr William Tetto Morris amesha achiwa na immigration baada ya mgongano kutokea lakini taarifa za ndani zinaonyesha kuwa Maafisa hao wa immigration wamepanga kumufukuza nchini jumatano ya wiki ijayo.
Afisa wa immigration anayehusika anapatikana kwa simu 0767 161 296 .
View attachment 117385View attachment 117386
MASWALI YOTE HAYA YANA MAJIBU NA MWENYE MAJIBU NI HUYU HAPA
William T. Morris
On Thursday, September 19, 2013 12:33 PM, william morris <drwilliamm@yahoo.com> wrote:
Dear Supporter,
attached are letters to the United Nations Family and fellow NGOs like you reqyestin your kindest assistance and support as we fight against this very violent crime against women.
The case is now in the justice system awaiting prosicution and we CASE REFERENCE: TANZANIAN POLICE CASE FILE NUMBER:
KBA/PE/23/2011
Dr. Phillis Nyimbi morris who is the victim can be directly contacted at:
drwilliamm@yahoo.com
Tel + 255 766 020249