Recent content by TS 103M8

  1. TS 103M8

    Can a single mother teach her son how to be a man?

    Yes why not? Sent using Jamii Forums mobile app
  2. TS 103M8

    Natafuta mke wa kuoa

    Niko hapa mtumishi, mke mwema...... Sent using Jamii Forums mobile app
  3. TS 103M8

    Mwanamke kakimbia na akili yangu

    Ulisema kuna siku ulirudi nyumbani ukataka mkeo akufanyie kama mdigo alipokataa ulimbaka,au ulimuingilia kinyume?ikumbukwe maumivu aliyoyapata enzi ukistarehe ndio unayoyapata sasa ongeeni kila MTU awe huru Sent from my TECNO-L8Plus using JamiiForums mobile app
  4. TS 103M8

    Faida na hasara za kuoa mwanamke msomi na mwenye kazi na kipato kizuri

    Kwani mama wa nyumbani hafanyi kazi?hata wanaume wengine wasomi wanawaachia wake zao majukumu yote na hiyo ni vice versa mkubaliane na hali,ndoa huanza na urafiki then Upendo,uvumilivu,na kusaidiana,sasa wewe oa msomi au olewa na msomi kwa intention ya kusaidiana UTAJUTA* Sent from my...
  5. TS 103M8

    Ulishampiga Mwanamke? Imeniuma sana...

    Pepo hilo achana nalo hana akili ana michezo ya kitoto shenzi kabisa
  6. TS 103M8

    Muda mwingne bora kuwa single kuliko kuwa na mtu asiyekusikiliza

    Ishu za kuvumilia siziungi mkono hata kidogo. Kuna tabia ambazo ni ngozi huwa hazibadiliki atavumilia wee mwisho aibuke na magonjwa ya moyo na kisukari. Kwanza ghubu huondoa ladha ya mapenzi ajipimie mwenyewe akiona haifai aamue tu
  7. TS 103M8

    Imenikera sana, ukiomba unyumba unaambiwa nimechoka

    Mimi nachoamini tendo hilo ni hisia, labda wewe unajiandaa mwenyewe bila kumuandaa, nyakatu nyingi wanawake wanabakwa na waume zao, lkn pia msongo wa mawazo huondoa hamu ya tendo la ndoa, lkn pia hakuna forum ya kujadili masuala ya mapenzi pamoja thus why anakujibu amechoka , aongee na nani juu...
  8. TS 103M8

    Aliyekuwa house girl wetu amekuwa matawi ya juu mpaka nimetamani awe mke wangu

    Ukimuona mbuzi juu ya mti ujue kapandishwaaa......
  9. TS 103M8

    Utaratibu wa kusoma bure hata kwa waliofeli haukubaliki!

    Sio form two tu hata form four akifeli Mzazi awajibike kurudisha hela ya serikali ikiwa hivyo watasoma sasa hivi wanazembea mno!!!
  10. TS 103M8

    Ana mtoto, nawezaje kuwa salama?

    Mmh akili kumkichwa!!!!!
  11. TS 103M8

    Wachungaji mnaofungisha ndoa ambazo mwanamke ana umri mkubwa kuliko mwanaume mnamkosea Mungu, tubuni

    Nadhani ifikie mahali tuzame zaidi kwenye hoja za msingi, tutakuwa vichaa bure?Leo tunachunguza ndoa ya Adam na Eva?Isome mwanzo sura ya kwanza vizuri, siku ya sita Mungu alimuumba mwanaume na mwanamke.........akawabarikia akasema zaeni mkaongezeke......tusome vizuri na tusipotoke
  12. TS 103M8

    Kutoa harufu kwa mwanamke baada ya kufanya mapenzi, ni nini tatizo?

    Inawezekana sperms zake ndio zina harufu mbaya
  13. TS 103M8

    Namchukia sana mume wangu kwa sababu ya wivu wake..

    Mmh Poole, ila MTU mwenye wivu kupindukia huwa hajiamini ukicheza anaweza kukudhuru
  14. TS 103M8

    Kua single kuzuri sana

    No man no cry
Back
Top Bottom