Msitari wa pambizo
JF-Expert Member
- Sep 25, 2014
- 3,059
- 5,319
Habari za weekend wana bandugu...
Nimetafakari sana na kupitia neno la Mungu juu ya suala la ndoa (nimeamua ku specy zaidi kwenye ukristo kwa sababu ndiyo dini ambayo nina ufahamu kwayo kuliko nyingine)
Suala la kuoa na kuolewa miasisi wake ni Mungu mwenyewe aliyemuumba Eva kutoka katika mwili wa Adam..
Kinacho nisikitisha ni mamna ambavyo wachungaji wa leo wamekiuka agizo la Mungu la kugungisha ndoa ambayo mwanamke ni mkubwa kuliko mwanaume..
Katika msingi wa ndoa ya Adamu na Eva mimi binafsi napata mambo mawili ambayo kwayo yaweza kuwa agizo la Mungu.
1. Mwanaume anapaswa kuoa mke mmoja tu kama ambavyo Mungu alimpa Adamu mke mmoja ambae ni Eva.
2. Katika muktadha wa mkasa huo unatoa agizo kwamba mwanamke anapaswa kuwa na umri mdogo kwa mwanaume kwa sababu Mwanume ndiyo alianza kuumbwa na baadae akaumbwa mwanamke kutoka kwa mwanume. Yaani Mungu alitoa mbavu za mwanaume ili amuumbe mwanamke. yaani baada ya adamu kupitiwa na usingizi (alikua tayari amesha umbwa) na baadae akatumia kumuumba Eva.
Swali langu kwenu wachungaji, mapadre na maaskofu mnatumia mamlaka ganu kufungisha ndoa ambayo mwanamke ni mkubwa kuliko mwanaume? ni lini ubavu wa huyo mwanamke ulichukuliwa kutoka kwa mwanaume na kumuumba? wakati mwanamke ameumbwa kabla?
Wachungaji tubuni na wew kama upo kwenye ndoa ya aina hiyo na unamcha Mungu vunja 'ndoa' hiyo haraka na urudi ukatubu kwa Mungu.....
Nawasalisha...
Student teacher