Crocozilla
JF-Expert Member
- Oct 17, 2012
- 469
- 335
Huu utaratibu wa serikali kutia rasilimali chache za umma kusomesha wanafunzi bure kuanzia elimu ya msingi hadi sekondari ni mzuri. Lakini utaratibu huu umepelekwa mno kisiasa kuliko mahitaji ya soko pamoja na kuzingatia "terms and conditions"
Ebu ifike mahali utaratibu huu uwe wa kisera kuliko kisiasa na uwekewe "terms and conditions" kwa nia njema tu. Mfano katika levo ya sekondari mwanafunzi akifeli kidato cha pili basi jukumu lihamie kwa mzazi kama anataka mwanae aendelee kusoma maana tunachezea rasilimali chache za taifa.
Kuna sekta njeti zinamaliza watanzania kwa kukosa pesa mfano AFYA, nenda mahospitalini kuanzia nje hadi ndani shida tupu! Miundombinu mizuri ipo Dar es salaam pekee, nenda vijijini ovyo kabisa.
Utaratibu wa elimu bure ufanyiwe review!